umejuaje kama mimi gamba akiliza kuambiwa changanya na za kwako huwa mnakurupuka kushabikia siasa kama unajua historia ya marekani wale wote anaowaita magaidi mwanzoni walikuwa watu wao wa karibu sana kama osama au sadam sasa wewe ukiona mtu kaalikwa marekani meno yote nje ndio maana mnashangilia vyandarua vya misaada wakati wenzako wanachota dhahabuKwa hiyo unatakaje??
Anataka Dr Slaa aende kutembelea Afganistan au Somalia???
Au ulitakaje hasa we GAMBA!!
Ruzuku gani tena inatumika vibaya jamaniHapa tukubaliane kwamba ruzuku inatumika vibaya.
umejuaje kama mimi gamba akiliza kuambiwa changanya na za kwako huwa mnakurupuka kushabikia siasa kama unajua historia ya marekani wale wote anaowaita magaidi mwanzoni walikuwa watu wao wa karibu sana kama osama au sadam sasa wewe ukiona mtu kaalikwa marekani meno yote nje ndio maana mnashangilia vyandarua vya misaada wakati wenzako wanachota dhahabu
So you suggesting that they should support this flawed constitutional review just because is expedient to them politically?Pamoja na UKAWA kuikataa Katiba Pendekezwa kuwa ni ya CCM kuna ukweli mdogo ambao sijui kama wameutazama. Ndani ya Katiba Pendekezwa kuna kipengele kama sikosei kuhusu mgombea urais lazima apate asilimi 50 ya kura laa sivyo kuunda serikali ya Mseto. Sheria hii haipo katika katiba ya mwaka 1977..
Kama katiba Pendekezwa itakataliwa kabisa ama hata kupigiwa kura ina maana hata vile vipengele vinavyowapa nafuu Upinzani havitatumika katika uchaguzi huu, hivyo CCM atakuwa mshindi kwa vyovyote vile hata akipata asilimia 40 bado nina hakika atakuwa juu ya vyama vyote.
Na kama katiba Pendekezwa ikipewa kura ya NDIYO ina maana Katiba ya wananchi imekufa kabisa! hapa nampongeza Dr. Slaa kwa kusimama na wananchi. Kura ya HAPANA hata kama itawagharimu Ushindi...lakini tukubali kwamba CCM are masters wa kiini macho!
sharia inasema ukikaa na mtu ndani ya nyumba zaidi ya miezi sita ni mkeHuu ni uchizi safari ya kikazi kiongozi anaambatana na hawara,kwani hakuna wasaidizi makao makuu?