Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Habari njema hizi, safi sana Rais mtarajiwa..
Chadema kila siku mnalalamika kuwa rais Kikwete anakwenda Marekani kujipendekeza kwa wazungu lakini Slaa mnaona kafanya jambo la maana akijipendekeza kwa wazungu.
katika watu wajinga ni kama wewe ambao mmekuwa mkifurahia ama marais wenu au marais watarajiwa kwenda marekani ukweli urafiki wa marekani siku zote umekaa kimaslahi wao hawajali hata kama watanzania milioni kumi mfe ili mradi maslahi yao yalindwe tumeona walichofanya irak na libya
.Tatizo la nchi hii ni kuwa uswahili katika kila kitu.Hatutafika tusipoweka uswahili pembeni na kuembark science.
haha...jamaa wamefunguliwa Lumumba hawana plan B, wanazuga kupotezea ili lumumba watafute jibu la email iliyolick.
Gavana wa Indiana amekwenda uwanja wa ndege kumpokea katibu wa chama kimoja cha upinzani cha Tanzania?By Ron Tackket,
CHADEMA Secretary General, Dr. Wilbrod Slaa has arrived safely into the United States, in the State of Indiana, where he was met by the State Governor Mike Pence at Indianapolis International Airport‏