Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Status
Not open for further replies.
Mkuu picha nyingi wanasiasa wanatudanganya wanaleta picha za mwaka 2010 sijui ili iweje kwa hiyo usidanganywe na picha .

Sasa si utuwekee hizo hizo za 2010 ambazo mkutano wa Dr Slaa ulidoda utudanganye na wewe?
 
Endeleeni kushika kengere za mwigulu gaidi.
 
Sasa si utuwekee hizo hizo za 2010 ambazo mkutano wa Dr Slaa ulidoda utudanganye na wewe?
attachment.php



attachment.php


attachment.php
Kiomboi bila chenga
 
Nataka niweke picha hapa za kuonyesha namna ambavyo wana Iramba wamemsusia Dr Slaa, yani watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida huku Dr Slaa akiendelea kuhutubia miti na magari ya M4C.

Eeee bwn, tuwekee hizo picha umalize ubishi huu maana wewe ndo umeanzisha huu Uzi kwa maana kwamba upo kwenye eneo la tukio. Kwanza ulitakiwa uje moja kwa moja na picha, ila najaribu kujiuliza hivi upo eneo la tukio au upo mpirani na umeweka watu mkutanoni wakupe taharifa kwa simu? kama upo mpirani tuwekee picha za mpirani tulinganishe na za mkutanoni ili tupime wenyewe, vinginevyo itakuwa imekula kwako.
 
Kaa mbali mzee,CUF hamjaweka hadharani utaratibu wenu wa kukusanya maoni.Sitaki majibu yangu kwako yaonekane kuwa ni matusi.Please,Sitaki kukujibu kwa ajili ya heshima kidogo niliyobakiza kwa wanachama na viongozi wenu kama Ismail Jussa na Julius Mtatiro bila kumsahau ndugu Katani(JV-CUF) na Chalamila.Wote hao hawajawahi kuthubutu kunichokoza kama unavyotaka hapa.Usiwaige hawa wengine wanaotaka kutuondoa kwenye mjadala wa ibara zao za katiba hasa katiba yao ibara ya 94(14) na Ibara ya 94(15) inayowapa mamlaka viongozi wa mkoa kuwafukuza uanachama na uongozi Madiwani wao.

Sakata la Sheikh Ponda haliwezi kuisha kwa wewe kujiingiza kichwa kichwa kwenye mhadala huu mkuu.Tafakari upya!Alivyofanyiwa Sheikh Ponda ni Sahihi?

Haya turudi kwenye mada😛icha za mkutano wa Singida zinahitajika sasa.
Wacha ukasuku wewe nani alikwambia mimi ni CUF nikome umbea wako peleka palee Kinondoni
eti heshima kidogo uliyoibakiza kwa Jussa na Mtatiro unaji proud huna lolote kwanza hao uliowataja
hata hawakujui "who are you" na mambo ya sheikh Ponda yameingiaje huku:focus:​
 
Mbona hujadili mada unajadili ID za watu au ndio unawafundisha mods kazi "shame on you"

Mada bila piacha?Ungetaka tujadili mada ungekua mstari wa mbele kusisitiza umuhimu wa picha.Acha unafiki,JF haikufai!
 
Kiswali chenyewe hujui kuandika.Uongo wako una limit.Communication barrier.

Pia,leta picha kuthibitisha ubayosema.I recommend you,Jukwaa la Lugha litakufaa.Ni bora utumie muda mwingi kule kabla hujachangia hapa kwenye jukwaa la siasa.Kuna wenyewe,tuachie! Bitter pill to swallow.Pole!

We zuzu kweli, nikuletee picha za wanaozomea unataka za nani?
 
Wacha ukasuku wewe nani alikwambia mimi ni CUF nikome umbea wako peleka palee Kinondoni
eti heshima kidogo uliyoibakiza kwa Jussa na Mtatiro unaji proud huna lolote kwanza hao uliowataja
hata hawakujui "who are you" na mambo ya sheikh Ponda yameingiaje huku:focus:​

"Usibane pua......"

Eti 'Nikome'.......! Hahahahaa! Leo kazi ipo!

HAMY-D tunasubiri picha!
 
Last edited by a moderator:
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita (majira ya saa 8 mchana) na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!

Picha kwa HISANI ya HAMY-D...Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees

attachment.php
 
Kweli kabisa mkuu, Dr Slaa hana madhara tena kwa sasa, yani amekuwa butu mpaka huruma, sijui ataishi vipi maana nje ya siasa he's nothing. Sijui atarudi tena kanisani?

Umejua kama ni butu huwa unambinukia..wewe ni phine...
 
Kiswali chenyewe hujui kuandika.Uongo wako una limit.Communication barrier.

Pia,leta picha kuthibitisha ubayosema.I recommend you,Jukwaa la Lugha litakufaa.Ni bora utumie muda mwingi kule kabla hujachangia hapa kwenye jukwaa la siasa.Kuna wenyewe,tuachie! Bitter pill to swallow.Pole!
Kweli kamanda Ben Saanane we ni jeshi la mtu mmoja naona timu nzima ya vijana wa Lumumba umeisambaratisha hoiiii!!!. Chadema kuna majembe sio mchezo,,,. Long live
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom