Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Status
Not open for further replies.
Acha uongo wako Mkutano ndo unaanza !

Mpuuzeni huyu mtu kwa uongo wake huu.Nashindwa kuelewa kama ameweza kufanya uongo muda huu,je ni mangapi amedanganya?

Asante sana Ben, Kuna thread nimeomba live update. Tupieni nasi tuone. hawa magamba na simba Sc vs policcm wanatupotezea muda. Mi nimeongea na wananchi wa kijijini kwetu kisana wamekusanyana kwenda kuona mkutano wao wanaleta umbea.
 
mkuu ni bora umekuja kuwaumbua awa magamba make wenyewe uongo ndo dili yao.

Teh teh teh, yani wewe kabisaa una msikiliza Ben Saanane?

Kumbe humjui vizuri huyo kijana?, basi kwa taarifa yako Ben ni mtu wa mitandaoni tu na hana madhara yoyote kwenye siasa, hapo alipo ana subiri niweke update ili na yeye ajionee aibu aliyoipata babu yake huko Iramba.
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!

wapi ambapo mkutano wake haujadoda akili yako inapo pakumbuka?. ccm bana..hahahaaaaa....!!!. jiandaeni kuachia madaraka. mia
 
Uko field?My foot!

Subiri picha! Muongo mkubwa wewe.Kumbuka unaheshimika sana katika jamii!
Mkuu lawama zangu kwa Mods maana huyu mama ameshasema uongo mara nyingi lakini hatua za kinadhamu hazimkukumbi. Halafu hadhi ya JF ndiyo inashuka hivyo. Maana uongo ukitolewa mara nyingi wenye akili wanaweka alama ya kuuliza kuhusu jukwaa.
 
Alitaka kupimana nguvu na kijana machachari na gwiji la siasa mwigulu madelu lameck nchemba, kijana wa kidoti com, chezea nchemba weyeeeeeeeeee!

Gwiji la vyeo kibao IGP, DCI, KAMANDA MKUU NA AMIRI JESHI WA GREEN GUARD, GWIJI LA KUTOA USHAHIDI WA UGAIDI WA CHADEMA MBINGUNI... Na vingine kibao.
 
Inatia moyo kuona viongozi wa Magamba wakiwa wanafatilia kwa karibu ziara za Dr. Slaa sasa ni vyema kama mmeamua kuwa Ma PS wa Dr. Slaa mkatuwekea ratiba nzima ya huyu kiongozi maana tunasikia atazunguka nchi nzima ila hatuna ratiba kamili tafadhali HAMY-D , ZeMarcopolo and Ritz tuwekeeni ratiba kamili ya huyu kiongozi ikiwezekan na live uptades
 
Last edited by a moderator:
Kwani hamumjui huyu??Ndo mwenyewe naibu,mbunge wa Iramba so leo lazima nichonge na kuanzisha propaganda hata kama ni uongo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Teh teh teh, yani wewe kabisaa una msikiliza Ben Saanane?

Kumbe humjui vizuri huyo kijana?, basi kwa taarifa yako Ben ni mtu wa mitandaoni tu na hana madhara yoyote kwenye siasa, hapo alipo ana subiri niweke update ili na yeye ajionee aibu aliyoipata babu yake huko Iramba.

Kama uko feild kama unavyojigamba hapa si ulete picha?Au hizo picha unasafirisha kwa basi mkuu?

Kijana msomi unafanya kazi kijima kiasi hiki?Kama mimi ni wa mitandao tu utaona.Wewe na katibu wa itikadi na uenezi mlivyogomea mjadala kwenye kituo cha TV mlihofia nini?You are not in my league dude!Sana sana unaweza kuwapotosha wachache na kuwatembeza kama bango.Tafuta saizi yako au omba ushauri kwa katibu wako wa itikadi na uenezi.Sina tabia ya kubishana zaidi ya kutenda.
 
Teh teh teh, yani wewe kabisaa una msikiliza Ben Saanane?

Kumbe humjui vizuri huyo kijana?, basi kwa taarifa yako Ben ni mtu wa mitandaoni tu na hana madhara yoyote kwenye siasa, hapo alipo ana subiri niweke update ili na yeye ajionee aibu aliyoipata babu yake huko Iramba.

kwanini na nyie msiweke live update ya simba vs polisiccm mmeshikilia dr slaa....alikufanya nini huyu mzee kutwa unataja jina lake kuliko hata unavyotaja la mumeo?
 
Mkuu lawama zangu kwa Mods maana huyu mama ameshasema uongo mara nyingi lakini hatua za kinadhamu hazimkukumbi. Halafu hadhi ya JF ndiyo inashuka hivyo. Maana uongo ukitolewa mara nyingi wenye akili wanaweka alama ya kuuliza kuhusu jukwaa.

Acha kutuandikia pumba hapa maana ni hizi pumba zako ndizo zenye kushusha hadhi ya jukwaa letu, juzi hapa iliwekwa taarifa ya uongo kuwa Mulongo (mkt wa mkoa wa Arusha) amehamishwa Mtwara, mbona sikuona ukilalamika kuwa taarifa hiyo ina shusha hadhi ya jukwaa?

Hii taarifa yangu ni ya kweli na sio siri kuwa wana Iramba wamempuuza Dr Slaa kwa kutohudhuria kwenye mkutano wake.
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!

jamani mie niko maeneo haya ukweli ni kwamba mkutano umekosa watu kabisa,watu wote wamekwenda uwanjani kuwaona simba,nimeamini watanzania wanapenda soma,huwezi amini uwanja umetapika nakadiria zaidi ya watu efu tisa hawa,hakika tukunali tukatae ukweli utasema Mwigulu anakubalika kupita maelezo,huu umati ni ishara Tosha,yaani hii nyomi hakika sio ya kawaida
 
Mkuu lawama zangu kwa Mods maana huyu mama ameshasema uongo mara nyingi lakini hatua za kinadhamu hazimkukumbi. Halafu hadhi ya JF ndiyo inashuka hivyo. Maana uongo ukitolewa mara nyingi wenye akili wanaweka alama ya kuuliza kuhusu jukwaa.

Mkuu hapa ni lazima tulinde heshima ya jukwaa na siamini kama sasa kuna Mods wachache wananufaika na uongo wa hawa watu dhidi ya CHADEMA.Nimekua na JF tangu nikiwa kijana mdogo,siku zote tumekua tukilinda heshima ya JF.Wanachama tuliwajibika kuijenga JF na kuilinda dhidi ya maadui,Tusiiharibu.Tuwe makini na waongo hawa.
 
Gharama za kumtunza Josephine ndio zinamfanya mpaka sasa ajikongoje kwenye siasa. Hata hivyo wapenda mabadiliko ndani ya Chadema wameshaanza kuchoshwa na same old politics za Slaa. Chadema sio taasisi ya kutunza wasio na pensheni. Hana budi kukaa kando...

Umri wa Gombalemwiru na Samwel Malecela unauzungumziaje? Hawa si walikuwa viongozi ndani ya serikali na CCM hadi 2010? Au hawa ni vijana kwa mujibu wa tafsiri za magamba? Bahati mbaya wachumia tumbo wa Lumumba hawanaga kumbukumbu.
 
Kwa Mujibu wa Nape Nnauye hao wanasubiri kufa
 
Last edited by a moderator:
jamani mie niko maeneo haya ukweli ni kwamba mkutano umekosa watu kabisa,watu wote wamekwenda uwanjani kuwaona simba,nimeamini watanzania wanapenda soma,huwezi amini uwanja umetapika nakadiria zaidi ya watu efu tisa hawa,hakika tukunali tukatae ukweli utasema Mwigulu anakubalika kupita maelezo,huu umati ni ishara Tosha,yaani hii nyomi hakika sio ya kawaida

Mkuu, suala la Mwigulu kukubalika Iramba liko wazi, na hata kama huoni kwa macho yako, husikii kwa masikio yako, basi papasa kwa mikono yako utajua kuwa Mwigulu ana kubalika Iramba.

huyu kijana Mwigulu sio kama wana siasa wengine, yeye badala ya kujikweza na kujiona lulu kama afanyavyo Mbowe na wenzake, mhe Mwigulu amekuwa akijishusha na kunyenyekea wananchi na hii ni pamoja na kusikiliza matakwa yao na kuyafanyia kazi. Sasa kwanini wana Iramba wasimkubali kijana huyu?
 
poleni sana, ndugu wana cdm, hayo ndiyo mambo ya siasa, ila ni muhimu muwe wavumilivu na mpunguze matusi, wenzenu wanapoleta thread zao. sioni sababu ya wewe kutumia matamko kama hayo. Vumilia ndugu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom