Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Status
Not open for further replies.
Sikugombea Ubunge mwaka 2010 kwa kuwa nilichelewa kumaliza shule yangu nje ya nchi.Niliamini kuwa siwezi kulisaidia Jimbo langu na Tanzania kwa kukatiza masomo ikiwa ninajua kuwa kuna watanzania wenye uwezo wa kusukuma gurudumu.Nilichagua shule kwanza,nilichelewa kufika.Niliwaunga mkono marafiki zangu ambao wengi ni wao ni wabunge kwa sasa.

Sikutaka kulazimisha kwamba nirudi nyumbani nichukue fomu kisa niwasaliti eti kwa kuwa sijajiandaa kama alivyofanya huyo kijana Mwampamba na Mwenzake.Silly excuse!

Niliamua kuwa mwaminifu kwa moyo wangu,Familia yangu,chama changu,jimbo na Taifa langu.Maumivu hayo haliponywa na muda.Hakuna daktari mzuri katika mazingira hayo zaidi ya muda.Muda ni dawa.It's the best healing therapy.

Nina uhusiano mzuri na Mwenyekiti wa BAVICHA(Kitaasisi).Ningekua valueless kama ningeficha mipango miovu ya usaliti Inachekesha sana kuona kwamba wewe unataka nionekane valuable kwa kuisaliti CHADEMA.Really?Haiwezekani mzee!

Waambie ukweli kamanda Ben yani ccccm uwezo wao wakufilia umeishia kuamini kuwa mtu mwenye value ni yule anaye saliti halakati za CHADEMA. Nakuhakikishia kamanda Ben kuwa naamini sana Mungu atawazidisha zaidi wanao pigania na kuzilinda halakati za CDM katika kipindi hiku kigumu kwani CDM ni mpango maalumu wa Mungu kuwakomboa watanzania wanao ishi kwenye shimo la umaskini mkubwa ilihali Mungu wetu katupa kila kitu cha kufanya tuwe matajili. Songa kamanda Ben kwani najua hata wewe unajua mafanikio hayapatikani kwa urahisi. VIVA CDM
 
Dr. Slaa unawapa wakati ngumu sana ccm ndio maana wakilala wakiamuka ni Dr.Slaa tu.

Mungu akuzidishie afya na maisha marefu.!!
 
Kuna mzee kwenye picha hapo juu anatoa maoni. Huyo mzee amestaafu miaka sita iliyopita lakini umri wake ni mdogo kwa Dr. Slaa. Slaa anaogopa kustaafu kwa sababu hatakuwa na pesa za kumhonga Josephine...
 
JK haogopi kustaafu kwa kuwa anaweka rehani gesi kwa ajili ya kuhonga mabinti wa Kichina?Ina maana zile suti alizohongwa ilikua in exchange na Hotel kwa ajili ya Mabinti wa Kiarabu?Wikileaks ilaaniwe!
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita (majira ya saa 8 mchana) na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!

Wana Jamvi,
Kwanza nioneshe masikitiko yangu kwa uzushi huu wa Hammy D. Namfahamu vema huyu bwana, kwa sasa yuko field kwani anasoma pale Ardhi University mwaka wa pili. Ajabu anajitanabaisha kuwa yuko Kiomboi., haya maajabu makubwa haya. Habari za mkutano hazijaanza kutangazwa leo, na mahudhurio nadhani hata picha zinajieleza vema kwa kuwa tayari ziko mtandaoni. Mkutano umekwenda vema na umati uliokuwepo sio wa kawaida. Mbaya zaidi, mechi ya Simba S.C iliyopangwa kufanyika jioni ili kuvuruga mkutano wa CHADEMA ilichelewa kutokana na gari ya wachezaji kupata hitilafu ya kimakeniki njiani.
Kweli mfamaji haishiwi pumzi upesi..
 
From : Mwigulu Nchemba

Nawashukuru sana Wananchi wa Iramba,Tar.17/08/2013 mmevunja rekodi,tangu Uhuru haijawahi tokea mkusanyiko kama huo katika uzinduzi wa MWIGULU CUP ambapo timu 246 tokea kila kitongoji zitashiriki na kuunda timu za vijiji na baadae tarafa na ...hatimaye tutapata timu ya Wilaya itakayoshiriki ligi ya Mkoa.

Mmejitokeza kwa wingi sana kwa kuwa mnatambua kazi inayoendelea ndani ya Wilaya yetu ya Iramba na hata ngazi ya Kitaifa.

KWENYE BARABARA--Tumepasua upya barabara ya kidaru hata Tax zitashuka Mlima,tumechonga barabara ya Mtoa,tumeweka Daraja Mtoa,Daraja Sekenke na Mwezi ujao tunaendeleza Barabara ya Ntuike kwenda Tyulia na hatimaye Kidaru.

KWENYE MAJI--Tumezindua mradi Ndago(Shida ya Maji imekuwa historia),Mingela mradi wa maji uko hatua za mwisho.Tumesaini mkataba awamu ya pili mradi wa maji Kiomboi unaanza mapema tu.

Ng'anguli,Mbelekese,Ruvuruma,Mgongo,Kinambeu kazi imeshaanza.

UMEME-Mwaka huu kata ya Kiselya,Mbelekese,Mtekente,Kisiriri,Ntuike,Mgongo na vijiji vyote vya barabarani tayari Maluga umewaka.Kutukutu na Zinziligi wanaweka nguzo n.k.

Shule za kata zilizokuwa na Mwalimu 1 sasa zinawalimu zaidi ya 10 kama nilivyotoa taarifa ya Shule zote za Kata na Majedwali kwenye kikao cha Wanairamba.

Sasa mmenionesha Umoja>>pia katika kuendeleza Michezo kwa jinsi mlivyojitokeza kwa wingi kwenye ufunguzi wa michuano tajwa.

Maneno yalikuwa mengi ,Post moja ilisema nitaaibika katika uzinduzi huo kwakuwa Slaa anakuja,nyingine ikasema nilibaki pekee yangu na Simba Sport Club.

Picha zinasema kuliko maneno oneni hapa historia iliyowekwa jana ndani ya Wilaya ya Iramba.
Picha yenye jukwaa dogo mtu mmoja anaonekana kwa mbali ndio Mkutano wa Dr.slaa.

Slaaa!! Slaa!! Slaa!!! anakuja,Amekuja na kuishia kunitukana na kunilaani kwanini nimekuja Jimboni.Niko jimboni kwangu na ninaprogram mbalimbali za jimbo za kimaendeleo.Nampa pole kwa aibu aliyokutana nayo.

TUTAHESHIMIANA TU.See More
(photos)

View attachment Doc1.docx
 
Hata mimi nilishuhudia jinsi wana Iramba walivyotoa ushirikiano kwa mbunge wao, mhe Mwigulu. Picha acha ziongee zaidi.
 
Hata mimi nilishuhudia jinsi
wana Iramba walivyotoa ushirikiano kwa mbunge wao, mhe Mwigulu. Picha
acha ziongee zaidi.

Acha unafiki Juliana, unataka kutwambia mpaka sasa Nchemba hajakuserukamba?
 
From : Mwigulu Nchemba

Nawashukuru sana Wananchi wa Iramba,Tar.17/08/2013 mmevunja rekodi,tangu Uhuru haijawahi tokea mkusanyiko kama huo katika uzinduzi wa MWIGULU CUP ambapo timu 246 tokea kila kitongoji zitashiriki na kuunda timu za vijiji na baadae tarafa na ...hatimaye tutapata timu ya Wilaya itakayoshiriki ligi ya Mkoa.

Mmejitokeza kwa wingi sana kwa kuwa mnatambua kazi inayoendelea ndani ya Wilaya yetu ya Iramba na hata ngazi ya Kitaifa.

KWENYE BARABARA--Tumepasua upya barabara ya kidaru hata Tax zitashuka Mlima,tumechonga barabara ya Mtoa,tumeweka Daraja Mtoa,Daraja Sekenke na Mwezi ujao tunaendeleza Barabara ya Ntuike kwenda Tyulia na hatimaye Kidaru.

KWENYE MAJI--Tumezindua mradi Ndago(Shida ya Maji imekuwa historia),Mingela mradi wa maji uko hatua za mwisho.Tumesaini mkataba awamu ya pili mradi wa maji Kiomboi unaanza mapema tu.

Ng'anguli,Mbelekese,Ruvuruma,Mgongo,Kinambeu kazi imeshaanza.

UMEME-Mwaka huu kata ya Kiselya,Mbelekese,Mtekente,Kisiriri,Ntuike,Mgongo na vijiji vyote vya barabarani tayari Maluga umewaka.Kutukutu na Zinziligi wanaweka nguzo n.k.

Shule za kata zilizokuwa na Mwalimu 1 sasa zinawalimu zaidi ya 10 kama nilivyotoa taarifa ya Shule zote za Kata na Majedwali kwenye kikao cha Wanairamba.

Sasa mmenionesha Umoja>>pia katika kuendeleza Michezo kwa jinsi mlivyojitokeza kwa wingi kwenye ufunguzi wa michuano tajwa.

Maneno yalikuwa mengi ,Post moja ilisema nitaaibika katika uzinduzi huo kwakuwa Slaa anakuja,nyingine ikasema nilibaki pekee yangu na Simba Sport Club.

Picha zinasema kuliko maneno oneni hapa historia iliyowekwa jana ndani ya Wilaya ya Iramba.
Picha yenye jukwaa dogo mtu mmoja anaonekana kwa mbali ndio Mkutano wa Dr.slaa.

Slaaa!! Slaa!! Slaa!!! anakuja,Amekuja na kuishia kunitukana na kunilaani kwanini nimekuja Jimboni.Niko jimboni kwangu na ninaprogram mbalimbali za jimbo za kimaendeleo.Nampa pole kwa aibu aliyokutana nayo.

TUTAHESHIMIANA TU.See More
(photos)

View attachment 107651

Mimi naamini kuna siasa na kuna ujuha na ujinga. Kwangu swala la katiba na wananchi kuchangia mawazo yao ni suala la msingi sana kuliko chochote kwa sasa kwani katiba mpya ndiyo sauti ya wananchi ndani ya nchi huru.

Sasa inapofikia kiongozi yeyote amefanikiwa kuwadanganya wananchi wake kushindwa kuona lipi la msingi eti kwa sababu tu anayelisema ni mpinzani huo ni ufinyu wa upeo na ni kukosa uzalendo. Na sitashangaa kuona kuna mijitu mingine ya hovyo, itakayoshabikia huo upuuzi bila kujua wanaoumia ni wananchi in the end of the game.

Kwa hiyo wanaofikiria waanzie hapa na kuendela, wale vilaza waendelee kupigia makofi ushindi wa ujinga ndani ya nchi halafu tuone anayeathirika ni nani!
 
Watu wakiambiwa slaa alichuja wanahamaki na kuanza kutoa matusi kwa sasa mweupe tu hana hoja tena hata moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom