Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Status
Not open for further replies.
Mods piga ban waongo wote wa Lumumba

uzi huu umenifanya nimdharau sana Hamidu , hapana nimekosea , uzi huu umenifanya niidharau sana id ya HAMMY - D ( maana inasemekana inatumiwa na kijiji )
 
Babu kishajichokea ila hana jinsi maana akikubwa na ule ugonjwa wa money crisis lazima Josephine atamkimbia.Ngoja atafute rizki kwanza.

Josephine is TOO expensive to maintain na hilo ndilo linalomchanganya Babu...
 
attachment.php

Jabulani , kwani game ya simba na polisi jamii haikuwepo ?
 
uzi huu umenifanya nimdharau sana Hamidu , hapana nimekosea , uzi huu umenifanya niidharau sana id ya HAMMY - D ( maana inasemekana inatumiwa na kijiji )
Dawa ya hawa LB7 (lumumba buku7) ni kuwapotezea mkuu...
 
kweli kamanda ben saanane we ni jeshi la mtu mmoja naona timu nzima ya vijana wa lumumba umeisambaratisha hoiiii!!!. Chadema kuna majembe sio mchezo,,,. Long live

umeoona enh mshikaji kawafinya kinoma yaani chaliiii
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita (majira ya saa 8 mchana) na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!

Mkuu acha unafiki

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...oni-kumsikiliza-dkt-slaa-polisi-watumika.html
 
CHADEMA itakufa na kuondoka CCM mtetezi wa watanzania itabaki kuwepo milele!
 
Alafu kuna watanzania tena wenye akili timamu bado wanaamini kwamba ipo siku babu atakua rais wa nchi hii.Huo ni ujinga wa halimashauri ya vichwa vyao.
Na kama kweli watamsimamisha kugombea nafasi hiyo ktk uchaguzi ujao basi chama kitapoteza vitu vya ubunge na udiwani kwa 50%

uko fresh kweli ? Namaanisha kwamba unaandika ukiwa njwiii au la ?
 
Josephine is TOO expensive to maintain na hilo ndilo linalomchanganya Babu...
Hilo ndilo linalomsumbua babu kwa sasa!
Maana mikorogo anayoitumia Josephine ili azidi kuonekana binti wakati alisoma darasa moja na marehemu bi Kidude ni ghali sana.
 
Last edited by a moderator:
Uko field?My foot!

Subiri picha! Muongo mkubwa wewe.Kumbuka unaheshimika sana katika jamii!

Ben, unajishushia heshima. Huyo mbabaishaji anaheshimika sana katika jamii ipi? Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na stupid obsession kama aliyonayo huyo mhuni.

JF inapoteza hadhi yake kwa kuendekeza malumbano na wapuuzi kama hawa. Wahenga walisema ukibishana na mlevi itaiwia vigumu jamii kutofautisha nani mlevi nani mzima. Hawa ni wa kupuuzwa.
 
Mbona wewe ulibaniwa kuwa mwenyekiti wa BAVICHA?! vipi mahusiano yako na Heche?, Mtela angalau aligombea ubunge kupitia CHADEMA na alijipatia kura 32000 ambazo kwa sasa ni mtaji wa CHADEMA kwani wanapokea kisa cha takribani mil 4 kutokea Mbozi kwa jitihada za kijana Mtela.

Sasa wewe mwenzetu ni nani CHADEMA, mpaka sasa umeipa nini CHADEMA, na kutokuwepo kwako ndani ya CHADEMA kutaleta madhara gani?, dude, you're valueless!
Sikugombea Ubunge mwaka 2010 kwa kuwa nilichelewa kumaliza shule yangu nje ya nchi.Niliamini kuwa siwezi kulisaidia Jimbo langu na Tanzania kwa kukatiza masomo ikiwa ninajua kuwa kuna watanzania wenye uwezo wa kusukuma gurudumu.Nilichagua shule kwanza,nilichelewa kufika.Niliwaunga mkono marafiki zangu ambao wengi ni wao ni wabunge kwa sasa.

Sikutaka kulazimisha kwamba nirudi nyumbani nichukue fomu kisa niwasaliti eti kwa kuwa sijajiandaa kama alivyofanya huyo kijana Mwampamba na Mwenzake.Silly excuse!

Niliamua kuwa mwaminifu kwa moyo wangu,Familia yangu,chama changu,jimbo na Taifa langu.Maumivu hayo haliponywa na muda.Hakuna daktari mzuri katika mazingira hayo zaidi ya muda.Muda ni dawa.It's the best healing therapy.

Nina uhusiano mzuri na Mwenyekiti wa BAVICHA(Kitaasisi).Ningekua valueless kama ningeficha mipango miovu ya usaliti Inachekesha sana kuona kwamba wewe unataka nionekane valuable kwa kuisaliti CHADEMA.Really?Haiwezekani mzee!
 
Ben, unajishushia heshima. Huyo mbabaishaji anaheshimika sana katika jamii ipi? Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na stupid obsession kama aliyonayo huyo mhuni.

JF inapoteza hadhi yake kwa kuendekeza malumbano na wapuuzi kama hawa. Wahenga walisema ukibishana na mlevi itaiwia vigumu jamii kutofautisha nani mlevi nani mzima. Hawa ni wa kupuuzwa.

Anzisha forum yako yenye hadhi, halafu ndio ujifunze kufunga watu midomo.
 
hilo ndilo linalomsumbua babu kwa sasa!
Maana mikorogo anayoitumia josephine ili azidi kuonekana binti wakati alisoma darasa moja na marehemu bi kidude ni ghali sana.

mnataka kuhamisha mada kama mna tatizo la kutikisika ubongo vile poleni sana
 
Last edited by a moderator:
Duh kweli HAMY-D umeshatolewa posa na CCM sasa unatumikia nd...a yako
 
Kwanza mimi sio Mwigulu ila mahusiano kati yangu na Mwigulu ni kwamba; he's my role model and inspirational leader.

Jambo lingine, hivi unajua kinacho fanywa na CHADEMA huko mikoani au na wewe ndio wale wale walaghaika?, kubwa hapa ni posho na sio kweli kwamba CHADEMA ina lengo la kukusanya maoni.
Kijana unahatari kubwa, yaani na wewe unatamani kumwaga damu za watu wasio na hatia kama anavyofanya Mwigulu! kwanini usife tu maana huna faida yoyote katika jamii ya wastaarabu!
 
Sikugombea Ubunge mwaka 2010 kwa kuwa nilichelewa kumaliza shule yangu nje ya nchi.Niliamini kuwa siwezi kulisaidia Jimbo langu na Tanzania kwa kukatiza masomo ikiwa ninajua kuwa kuna watanzania wenye uwezo wa kusukuma gurudumu.Nilichagua shule kwanza,nilichelewa kufika.Niliwaunga mkono marafiki zangu ambao wengi ni wao ni wabunge kwa sasa.

Sikutaka kulazimisha kwamba nirudi nyumbani nichukue fomu kisa niwasaliti eti kwa kuwa sijajiandaa kama alivyofanya huyo kijana Mwampamba na Mwenzake.Silly excuse!

Niliamua kuwa mwaminifu kwa moyo wangu,Familia yangu,chama changu,jimbo na Taifa langu.Maumivu hayo haliponywa na muda.Hakuna daktari mzuri katika mazingira hayo zaidi ya muda.Muda ni dawa.It's the best healing therapy.

Nina uhusiano mzuri na Mwenyekiti wa BAVICHA(Kitaasisi).Ningekua valueless kama ningeficha mipango miovu ya usaliti Inachekesha sana kuona kwamba wewe unataka nionekane valuable kwa kuisaliti CHADEMA.Really?Haiwezekani mzee!
India???????
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita (majira ya saa 8 mchana) na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!
LB7 (lumumba buku 7)...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom