Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Status
Not open for further replies.
Leo josefine kajionea kuwa mzee hafai tena itabidi atafute mwingine yeye ni mtu wa maslahi tu na siyo vinginevyo,

iramba wanajua mbichi na mbivu hawadanganyiki kabisa.
 
Mkuu, leo lazima watutukane kwani hiyo aibu aliyoipata Dr Slaa huko sio ndogo.
Mbaya zaidi alikwa na hawara yake aliyempora kwa mzee mahimbo, amepata aibu ya karne, ndio mana vibaraka wake wana hasira kweli humu
 
Ushahidi wa Picha au Video ndio utakaohukumu, kumbuka mkono mtupu haulambwi.
 
Leo kwa thread hii ndiyo nimepata uhakika kamili who is hammy d!
 
Ushahidi wa Picha au Video ndio utakaohukumu, kumbuka mkono mtupu haulambwi.
Mkuu picha nyingi wanasiasa wanatudanganya wanaleta picha za mwaka 2010 sijui ili iweje kwa hiyo usidanganywe na picha .
 
Mkuu, leo lazima watutukane kwani hiyo aibu aliyoipata Dr Slaa huko sio ndogo.

Zaidi ya ile uliyoipata pale dar ulipowaita wanaIramba wakakuchunia...jamani mwenye picha atuwekee mwigulu akiongea na wanairamba wasiozidi kumi na waandishi wa jambo leo, uhuru na magazeti ya udaku wapatao 30...
 
Kwanza mimi sio Mwigulu ila mahusiano kati yangu na Mwigulu ni kwamba; he's my role model and inspirational leader.

Jambo lingine, hivi unajua kinacho fanywa na CHADEMA huko mikoani au na wewe ndio wale wale walaghaika?, kubwa hapa ni posho na sio kweli kwamba CHADEMA ina lengo la kukusanya maoni.

ID hii inatumika na watu wanne; Mwigulu Nchemba, Juliana Nchemba, Mtela Nchemba, Habibu ...kati ya hawa wewe ni nani?
 
Kuna ID mbili nina wasiwasi mkubwa na uhakika wa asilimia takribani zaidi ya 50 kuwa zinamilikiwa na mtu mmoja. ID hizo ni "baba yako" na Harmy D". Na ukiniuliza kwanini nitakuambia kuwa kwa uzoefu wangu ID ya Harmy D uwa inaanzisha Thread na ya Baba yao uwa ina comment. Na zote uwa zina dilli na watu wawili tu Slaa na Mbowe. Hakuna kingine zaidi.
 
kama unajiamini na ulichokiandika si utuwekee picha tuone? Tunataka picha
 
Zaidi ya ile uliyoipata pale dar ulipowaita wanaIramba wakakuchunia...jamani mwenye picha atuwekee mwigulu akiongea na wanairamba wasiozidi kumi na waandishi wa jambo leo, uhuru na magazeti ya udaku wapatao 30...

Nataka niweke picha hapa za kuonyesha namna ambavyo wana Iramba wamemsusia Dr Slaa, yani watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida huku Dr Slaa akiendelea kuhutubia miti na magari ya M4C.
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA huko Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!

Nilijua utakuja na threat yako kama hii baada ya kuona ile nyingine ya live up-dates. Siku hizi uko Iramba au umeambatana na SIMBA SC????
 
kama unajiamini na ulichokiandika si utuwekee picha tuone? Tunataka picha

Mkuu, huku ni kijijini, network iko very poor, ila jitihada zinaendelea za ku-upload picha.
 
Nilijua utakuja na threat yako kama hii baada ya kuona ile nyingine ya live up-dates. Siku hizi uko Iramba au umeambatana na SIMBA SC????

Kwani mkuu hujui kama Mwigulu ni mbunge wangu?
 
Nataka niweke picha hapa za kuonyesha namna ambavyo wana Iramba wamemsusia Dr Slaa, yani watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida huku Dr Slaa akiendelea kuhutubia miti na magari ya M4C.

Weka lakini ionyeshe na dr Slaa akiwepo halafu ulinganishe na ya kwako ukiwa Dar na wanaIramba na ya waziri wa Aridhi jana akiwa dar...twende kazi...
 
Uzuri wa Hamy-D na kundi lake ni wabunifu sana na ni wajasiriamali wa hali ya juu. Inapokuwa weekend mbaya kwao kifedha, huanzisha uzi wa kijinga (kwa walio wengi) na wa maana (kwa wale wa Lumumba) alafu wanachangia kwa wingi ili kuongeza kipato kwa wiki husika. Angalia BABA YAKO, ZEMAKOPORO na wpuuzi wengine wamechangia mara ngapi kwenye thread hii pekeyake tu. Wewe unadhani kufika saambili au tatu watakaponyamazishwa na picha kutoka eneo la tukio watakuwa wamekusanya kiasi gani toka Lumumba.
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA huko Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!

Acha uongo wako Mkutano ndo unaanza !

Mpuuzeni huyu mtu kwa uongo wake huu.Nashindwa kuelewa kama ameweza kufanya uongo muda huu,je ni mangapi amedanganya?
 
habari za uhakika kutoka iramba ni kuwa uwanja umejaa pomoni na shughuli ya kuhamasisha ndo inaendelea,wasiwasi ulikuwa ni mabomu yaliyotoka china lakini mpaka sasa hali ni shwari.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom