Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,196
- 7,532
kueni makini sana kwenye huu uzi wakuu. Wengi watakula ban kupitia uzi huu. Nikiangalia kwa haraka haraka tayari naona kuna watu washakula ban. Chukueni tahadhari.
Mkuu Ben Saanane hawa jama usihangaike nao sana. Wenzako wako kwenye Assignment.Leta picha hapa.Otherwise, you are just another useless chap!!! Stay away dude!
kueni makini sana kwenye huu uzi wakuu. Wengi watakula ban kupitia uzi huu. Nikiangalia kwa haraka haraka tayari naona kuna watu washakula ban. Chukueni tahadhari.
Jana alikuwapo tanga kidogo tangamano ilijaa ila kilichonirhangaza ni yeye kuzomewa kila mara. Kumbe watu wakijaa kwenye mikutano yake wengine wanaenda kumchora.
Jana alikuwapo tanga kidogo tangamano ilijaa ila kilichonirhangaza ni yeye kuzomewa kila mara. Kumbe watu wakijaa kwenye mikutano yake wengine wanaenda kumchora.
na jana hapa tanga palidoda ivyoivyo japo alijishauwa kutua na ka helcopta loo akafie uko
Ni kweli mkuu na wamewaweka vijana ambao niliwafundisha mimi jinsi ya kutumia mitandao.Eti kijana wa Mbozi ndiye don wa public communications.!Really? Wamefilisika vibaya.Wajipange upya!
Afisa habari wa vijana wa ....(kama anavyojiita) mwenyewe alishindwa kutumia mtandao kistaarabu akaambulia ban. Sasa inaonekana timu yao ina hasira na inataka kuwasababishia ban watu wengi kadri watakavyoweza. Sasa naona kuna vijana wanaingia kwenye mtego one after another.Tehe! tehe! tehe!Ni kweli mkuu na wamewaweka vijana ambao niliwafundisha mimi jinsi ya kutumia mitandao.Eti kijana wa Mbozi ndiye don wa public communications.!Really? Wamefilisika vibaya.Wajipange upya!
Mkuu, Dr Slaa tangu atoe kauli zake za ajabu ajabu ikiwemo ya kumkosoa rais kuhusu suala la kagame, kutukashfu wananchi na viongozi wetu wa kiimani kuwa sisi tunao ombea taifa letu amani ni wanafiki na kauli zingine za ajabu ajabu, Watanzania wametokea kumchukia kweli huyu babu Slaa.
Ni kweli mkuu na wamewaweka vijana ambao niliwafundisha mimi jinsi ya kutumia mitandao.Eti kijana wa Mbozi ndiye don wa public communications.!Really? Wamefilisika vibaya.Wajipange upya!
Kama uko feild kama unavyojigamba hapa si ulete picha?Au hizo picha unasafirisha kwa basi mkuu?
Kijana msomi unafanya kazi kijima kiasi hiki?Kama mimi ni wa mitandao tu utaona.Wewe na katibu wa itikadi na uenezi mlivyogomea mjadala kwenye kituo cha TV mlihofia nini?You are not in my league dude!Sana sana unaweza kuwapotosha wachache na kuwatembeza kama bango.Tafuta saizi yako au omba ushauri kwa katibu wako wa itikadi na uenezi.Sina tabia ya kubishana zaidi ya kutenda.
Kwanza mimi sio Mwigulu ila mahusiano kati yangu na Mwigulu ni kwamba; he's my role model and inspirational leader.
Jambo lingine, hivi unajua kinacho fanywa na CHADEMA huko mikoani au na wewe ndio wale wale walaghaika?, kubwa hapa ni posho na sio kweli kwamba CHADEMA ina lengo la kukusanya maoni.
na jana hapa tanga palidoda japo alijishauwa kushuka na kandege alafu kanamsubiria amalize aondoke nayo tena kweli mwisho wake sasa naisi slaa anajifananisha na obama duu mana izo mbwembwe alafu bora mrudie kule mnakokubalika marakwa mara huku kwengine ni aibu tuu mnapata hamtakiwi kwa kweli huwezi kujua kama alikuepo tanga jana hakuna aliejishuhulisha loo shame cdm
Mkuu usijali,Ban itarudi kwao.Tuliwafunza sisi kutumia mitandao.Afisa habari wa vijana wa ....(kama anavyojiita) mwenyewe alishindwa kutumia mtandao kistaarabu akaambulia ban. Sasa inaonekana timu yao ina hasira na inataka kuwasababishia ban watu wengi kadri watakavyoweza. Sasa naona kuna vijana wanaingia kwenye mtego one after another.Tehe! tehe! tehe!