CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Mkuu, Dr Slaa tangu atoe kauli zake za ajabu ajabu ikiwemo ya kumkosoa rais kuhusu suala la kagame, kutukashfu wananchi na viongozi wetu wa kiimani kuwa sisi tunao ombea taifa letu amani ni wanafiki na kauli zingine za ajabu ajabu, Watanzania wametokea kumchukia kweli huyu babu Slaa.
Mkuu HAMY-D dr slaa amejitangaza vyakutosha na watanzania wasiomjua wanatamani sana kumjua ila anachoongea haeleweki na anadhauraulika sana. Yaani ni kama mcheza mazingaombwe vile.
Last edited by a moderator: