mkuu ben kuna watu wananishangaza sana, watu wanasema mkutano haukuwa na watu singida leo.. Wadau wameleta picha zaidi ya mbili,... Sasa hao watu waliokuwa wanawataka wao waonekane katika mkutano ni wangapi?/ sijui kwao neno wengi ni kuanzia ngapi?? Na kibaya zaidi mods wanaacha hizo thread zinaendelea kuwepo...
Lakini cha kushangaza hao wanaobeza kuwa mkutano wa chadema haukuwa na watu.. Mbona hawaleti mikutano yao ya chama chao cha kuuza madawa ya kulevya,.... Ni aibu sana hili taifa, watu wanatafuta maoni ya wananchi tuandae katiba ya leo na ya kesho kutwa kwa wajuku zetu wao wanaleta ushabiki... Lakini kama mwenyekiti wa chama chao anategemea waganga wa kienyeji kumlinda.. Je hao wanaomfuata watakuwaje??