Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Status
Not open for further replies.
attachment.php

attachment.php

attachment.php
Kiomboi bila chenga

Mods piga ban waongo wote wa Lumumba
 
kumbe thread nyingine inaweza kukudhalilisha uliyeanzisha eeee !
 
Acha kupotosha wewe, kama pangejaa ni wazi humu JF pasingetosha kwa kusambaza mapicha ya kwenye mkutano kama ilivyo ada kwenu.

Ila kwa kuwa mpaka sasa hazijazagaa picha zenu, wacha mimi niweke hiyo aibu iliyomkuta Dr Slaa huko Iramba.

Net imekaa sawa?
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita (majira ya saa 8 mchana) na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!

Naamini lengo la CHADEMA halikuwa kukusanya dunia yote pale Iramba. Chama kama taasisi kimeamua kutumia fursa inayoainihwa na sheria ya katiba ya kukusanya maoni ya wananchi. Pamoja na porojo zote naamini lengo limefikiwa pamoja na njama za serikali kutishia wananchi na polisi kama ambavyo picha zinaonyesha. Kwa ninavyoona watu waliohudhuria wanatosha kuwakilisha wananchi na bado ni wengi kuliko wanohudhuria mikutano ya mwenyekiti wa Chama cha Mafisadi. Mtu akibisha basi ana moyo mgumu kama fisi.View attachment 107556View attachment 107555
 
kama na wewe siyo juha kuna mada ya kujadili hapa...
Kama hakuna cha kujadili ni kiherehere gani kimekuleta huku lakini sikushangai

wewe ni nyoka wa Ben uko kazini lakini watu wa Arusha hawana kiherehere kama wewe
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita (majira ya saa 8 mchana) na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!
Wee mchawi, gaidi, mwizi wa wake wa makada wako, Savimbi a.k.a CHINA BOY. Soma link hii...
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/506787-picha%3B-kiomboi-iramba-wajitokeza-kutoa-maoni-kumsikiliza-dkt-slaa-polisi-watumika-wananchi-waga-new-post.html
 
Hahahaha... naona watoto wakutosha kwenye mkutano, wengi wao ni viongozi wa wilaya na mkoa wakiwa na familia zao. Dr Slaa kachokwa.
 
WanaJF!

Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita (majira ya saa 8 mchana) na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.

Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.

Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!

Ili uaminike,weka picha au video hapa. Ndivyo jukwaa la great thinkers linavyotaka. Nje ya hapo,stori ya 'kupika' hii.
 
Mkuu, atakubali kustaafu kwa hiyari?, au ndio mpaka asombwe na koleo?

Halafu si unajua hana pensheni?, sijui atamlea vipi Josephine?

Slaa kwakweli amechoka,siasa anatakiwa awaachie vijana akina zitto.
 
Hahahaha... naona watoto wakutosha kwenye mkutano, wengi wao ni viongozi wa wilaya na mkoa wakiwa na familia zao. Dr Slaa kachokwa.
Ulisema hapakuwa na watu , sasa unasema watoto na Moods wanakuvumilia tu......ok let's go.
 
Babu kishajichokea ila hana jinsi maana akikubwa na ule ugonjwa wa money crisis lazima Josephine atamkimbia.Ngoja atafute rizki kwanza.
 
Hahahaha... naona watoto wakutosha kwenye mkutano, wengi wao ni viongozi wa wilaya na mkoa wakiwa na familia zao. Dr Slaa kachokwa.
Huna hata aibu kidogo? Jinsi yako wewe kama ni mwanamke utakua Menopose.......
 
Alafu kuna watanzania tena wenye akili timamu bado wanaamini kwamba ipo siku babu atakua rais wa nchi hii.Huo ni ujinga wa halimashauri ya vichwa vyao.
Na kama kweli watamsimamisha kugombea nafasi hiyo ktk uchaguzi ujao basi chama kitapoteza vitu vya ubunge na udiwani kwa 50%
 
Alafu kuna watanzania tena wenye akiri timamu wanaamini kwamba ipo babu atakua rais wa nchi hii.Huo ni ujinga wa halimashauri ya vichwa vyao.
Na kama kweli watamsimamisha kugombea nafasi hiyo ktk uchaguzi ujao basi chama kitapoteza vitu vya ubunge na udiwani kwa 50%

Mkuu, wadau wameshashtukia kuwa babu kachuja. Babu ni sawa na single ya Mwanameka...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom