Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Unataka ushahidi uufanyie nini wakati tumekwambia Lowasa sio Fisadi.
Mbowe na wenzake walituaminisha kwa ushahidi kuwa Lowassa ni fisadi.
Unataka ushahidi uufanyie nini wakati tumekwambia Lowasa sio Fisadi.
Wacha wee tuachane na mengine yote nijibu tu kwa ithibati ufisadi wa Lowassa
Hii sio ithibati hizi ni tuhumaUfisadi wa Lowassa anajua Mbowe na viongozi wenzake hao ndio waliotuamisha kuwa Lowassa ni fisadi.
Hii sio ithibati hizi ni tuhuma
Ndio nataka huo ushahidi tangu mwanzoNi tuhuma zinazosemwa kwa ushahidi.
Mbowe na wenzake walituaminisha kwa ushahidi kuwa Lowassa ni fisadi.
Mkuu naomba uyu kirikou niachie mm nataka nimkimbize jukwaa la siasa namuwezaHii sio ithibati hizi ni tuhuma
Umewajuaje kama ni wafuasi wa chadema wale wanaomsema kwa maneno mabaya Dr slaa? huwa nasikitishwa sana nisomapo comment ya kijinga kama hiyo yako. Hivi hawa unatumia kichwa chako kufikiri japo kiduchu? pia jaribu kuficha upunguan wako japo kidogo najua uwezi ficha woteWafuasi wengi wa Chadema kwa sasa wamempa jina la usaliti Dr. Slaa, hii imetokana na kuaminishwa na viongozi wao. Na katika siasa tunasema wengi wape hata kama wewe hujaweka hilo bandiko la kumtukana Slaa, lakini waswahili wanasema samaki mmoja akioza wote wameoza. Kwa hiyo nyie wafuasi wa Chadema kwa sasa wote mmeoza!
Poa nakukabidhiMkuu naomba uyu kirikou niachie mm nataka nimkimbize jukwaa la siasa namuweza
Mbowe ameshakwambia sio Fisadi...wewe unataka nini tena?
Poa Asante mkuuPoa nakukabidhi
Kusema sio fisadi haitoshi, walete ushahidi mbona wakati wanatuaminisha ni fisadi hawakusema ni 'fisadi' tu, walisema kwa ushahidi tena mzito ambao ulitufanya watanzania tumuogope Lowassa!
Kwanza huku wana UKAWA wengi wanamuonea huruma
alivyoingizwa mkenge na Magufuli
Sasa watu wanao kuonea huruma wataku dhuru vipi?
Kwani idara ya usalama wa viongozi wa ccm na vibaraka wao wameshindwa kumhakikishia usalama wake?! Dhambi ya usaliti inamtafuna, atajikuta kaomba hifadhi burundi kwa interahamwe Pierre!
Mi nadhani wakisikia hivi ndo watamfungia vioo kabisa maana iko siku atawageuka kama alivyowageuka wana CDM.CCM wakisikia hili watampa ubunge yaishe
inadhalilisha nchi hii habari
Nani anaye mkimbiza? na atishwe na nani anajitisha mwenyewe kwa aibu tu na fadhaa alizo beba,nenda mwana kwenda na nyuma usigeuke,kaishi hata na Waeskimo Canada kuna Watanzania lukuki.Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Hizi story za ufisadi wa Lowassa bila ithibati miaka sasa hamjisikii aibu kuendelea kuzileta hapa?