Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Anayemtisha ni kivuli chake mwenyewe cha usaliti
Bado hamjajifunza tu kuweka akiba ya maneno? Jifunzeni mfano huu kutoka kwa Zitto, mlimwita msaliti na kila aina ya majina ambayo hakustahili kupewa. Leo kwa unyenyekevu mme.muinamia Zitto na kumlamba miguu nyie pamoja na viongozi wenu bado hamjajifunza tu?