myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Haya mambo ya mtandaoni
Leo ni aibu kuona comment za kejeli na matusi ambayo wanachama wamekua wakimkosea heshima Dr Slaa.
Kwa namna mzee huyu alivyopambana kwa jasho na damu shukrani aliopatiwa haikustahili,
Hivi kama mti mbichi mmeutenda hivi je mti mkavu utaufanyaje?
Hii ndio inayoitwa shukrani ya punda,
Kwa namna chama hiki kinavyoongozwa kibabe ni wazi wengine wanaofikiri wamesimama basi na wajiandae.
L'su,mny'ka,na wengineo mjiandae siku yenu inakuja
Kuna CHADEMA ASILI na kuna CHADEMA LOWASSA. Hawa CHADEMA LOWASSA hawawezi kumuelewa Dr. Slaa alichosema, watamtukana na kumkashifu sababu hawa ni wahamiaji tu, hawajui uchungu wa CHADEMA. Hawajui mchango wa Dr. Slaa kwa CHADEMA.Hawa ni "friends of Lowassa" 4U MOVEMENTS; ni wahamiaji tu, hawa ndio kila siku wanaandika "ulipo tupo". Lowassa alipokuwepo CCM walikuwa nae. sasa hivi yupo CHADEMA wako nae. Lakini kuna kundi la wanachama, hawa ni CHADEMA asili. CHADEMA asili wanajua uchungu wa CHADEMA, wanamuheshimu Dr. Slaa kama CCM wanavyomuheshimu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere! Hawa CHADEMA asili wanaujua mchango wa Dr. Slaa kwa CHADEMA. Wanafahamu wazi kuwa Dr Slaa ndio aliyekijenga CHADEMA na kufikia hapo kilipo. Kamwe maisha yao yote hawawezi kumpuuza na kumdharau Dr. Slaa. CHADEMA asili ndio wanajua walipotoka na CHADEMA mpaka leo hii. Hawa ni vijana ambao kwao Dr. Slaa ni "hero". Hawa vijana ndio watakao washa moto usiozimika CHADEMA! ....."friends of Lowassa" ni wahamiaji tu, na hawana uchungu na CHADEMA. Kilicho wapeleka pale ni Lowassa tu. Hawa ni watu wasiomjua Dr. Slaa na kwao hana dhamani yoyote ile, hawa ndio watu tunao waona hapa JF wakimtukana Dr. Slaa kwa kila aina ya matusi. Viongozi wa CHADEMA dhambi hii itawatafuna siku zote za maisha yenu. Dhambi ya kuuza chama kwa "fisadi Lowassa" kamwe haitawaacha mkae kwa amani.Leo ni aibu kuona comment za kejeli na matusi ambayo wanachama wamekua wakimkosea heshima Dr Slaa.
Kwa namna mzee huyu alivyopambana kwa jasho na damu shukrani aliopatiwa haikustahili,
Hivi kama mti mbichi mmeutenda hivi je mti mkavu utaufanyaje?
Hii ndio inayoitwa shukrani ya punda,
Kwa namna chama hiki kinavyoongozwa kibabe ni wazi wengine wanaofikiri wamesimama basi na wajiandae.
L'su,mny'ka,na wengineo mjiandae siku yenu inakuja
Leo ni aibu kuona comment za kejeli na matusi ambayo wanachama wamekua wakimkosea heshima Dr Slaa.
Kwa namna mzee huyu alivyopambana kwa jasho na damu shukrani aliopatiwa haikustahili,
Hivi kama mti mbichi mmeutenda hivi je mti mkavu utaufanyaje?
Hii ndio inayoitwa shukrani ya punda,
Kwa namna chama hiki kinavyoongozwa kibabe ni wazi wengine wanaofikiri wamesimama basi na wajiandae.
L'su,mny'ka,na wengineo mjiandae siku yenu inakuja
Hata shetani alikua ni Malaika kabla hajaasi...! Sasa huwezi kuendelea kumsifu shetani kwa kofia ya malaika, Unaweza ukajijengea heshma kwa miaka mingi na ukaibomoa ndani ya nusu saa...! Ndicho kilimpata Dr Slaa, ajilaumu mwenyewe kwa kuelemewa na mapenzi kuliko chama chake alichokipigania kwa nguvu zake zote.
Kwa kuwa amekuwa mzalendo na mwanaharakati kwa muda mrefu,na kwa kuwa amekuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuendeleza chama,na kwa kuwa aliwekeza rasilimali akili na moyo wa dhati na kwamba aliweka maisha yake shakani na kupata misuko suko mingi kufanikisha haya heshima yake itakuwa active hadi 01/09/2015. Kwa umri atakaojaaliwa na mwenyezi Mungu kuishi ajue database ya heshima yake haitokuwa updated!Amewaudhi sana waliomwamini!
Leo ni aibu kuona comment za kejeli na matusi ambazo wanachama wamekua wakimkosea heshima Dr Slaa.
Kwa namna mzee huyu alivyopambana kwa jasho na damu shukrani aliopatiwa haikumstahili,
Hivi kama mti mbichi mmeutenda hivi je mti mkavu mtaufanyaje?
Hii ndio inayoitwa shukrani ya punda,
Kwa namna chama hiki kinavyoongozwa kibabe ni wazi wengine wanaofikiri wamesimama basi na wajiandae.
L'su,mny'ka,na wengineo mjiandae siku yenu inakuja