Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Kila mtu anamapungufu yake, wacheni aseme anachijisikia, ila tambueni kuwa kama siyo yeye chadema leo isinge kuwa hapo ilipo.
Wengi inatuuma sana kuona amebadilika ila ni busara kumpa heshima yake, huenda sikumoja akabadilika.
Hakuna asiyemuheshimu Dr.Slaa kwa MCHANGO wake kwa UPINZANI.Ila kimoja tu alikosea,kuusikiliza moyo kuliko AKILI.
Alitakiwa kunyamaza au kuamua hata kuwasaidia vijana aliowatrain kwenye kampeni.Lakini yuko wapi???Anaenda kuwasaidia wale tuliotaka tuwatoe.
Wale walioikataa RASIMU yetu,hapo ndipo anaponishangaza.