Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Kamanda piga moyo konde ,kaungane na wenzako kupambana na adui .freedom is caming tomorrow
 
Shujaa gani anakimbia vita? We nae jiongeze kidogo... A hero would rather lose a fight than miss the war
 
dogo huzijui mbinu za kivita , baada ya muda mfupi utarudi hapa kuomba radhi.
 
Slaa bhana,anavyosusa anaona faida ni kwa nani?huyu bwana anajiona mungu mtu,yeye siye mleta mabadiliko,,mabadiliko yapo tuu,mabadiliko ni kiu mwenyezi Mungu amewapa wananchi,ni upepo tuu Mungu ameleta,yeye aje asije wananchi tunasongambele
 
Nimemsoma Dr.Slaa twiter, huwa namfuatilia tangu mwanzoni wa mwaka huu, UKAWA furaha mnazo jipa ni za muda tu, kasema ataongea, na Edward Lowasa ni Adui mkubwa wa maendeleo...subirini moto uwake, nahisi anasubiri muda muafaka
 
Hao wageni waliokuja na Lowasa ndo wanamtusi!!
hivi ccm mlifikiri huyu mzee slaa ni cheap sana? yaani mnatukana ccm halafu mnasingizia wafuasi wa lowasa?

huwezi ku frame watu kirahisi hivyo na hata slaa anajua jinsi mnavyojifanya leo mnampenda wakati kila siku huwa mnasema eti ni padri mzinifu. leo amekuwa almasi kwa ccm
 
Nimemsoma Dr.Slaa twiter, huwa namfuatilia tangu mwanzoni wa mwaka huu, UKAWA furaha mnazo jipa ni za muda tu, kasema ataongea, na Edward Lowasa ni Adui mkubwa wa maendeleo...subirini moto uwake, nahisi anasubiri muda muafaka
dua la kuku .
 
Wanaomtukana Dr.Slaa sio wanaCHADEMA na kama wapo basi ni wa kuhurumiwa Dr.Slaa ana heshima kubwa sana hasa kwa siasa za upinzani na kuifikisha CHADEMA hapa ilipo.
 
Dr. Slaa amekuwa nguzo ya CDM na lazima aheshimiwe na kuenziwa kadri iwezekanavyo.
Kombinesheni ya Dr na Mbowe sio rahisi kuipata, kama kuna analoweza kufanya Mbowe basi asimwache Dr.
 
amina mkuu .
 
Wanaomtukana Dr.Slaa sio wanaCHADEMA na kama wapo basi ni wa kuhurumiwa Dr.Slaa ana heshima kubwa sana hasa kwa siasa za upinzani na kuifikisha CHADEMA hapa ilipo.

Always u remain on ma mind when i think of cdm..nakuona ww kama mwasisi wa kweli.
Kila la kher dk
 
Back
Top Bottom