Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Kwani nani hamuheshimu? kwenye majukwaa ya Ukawa ushasikia anasemwa? yeye ndio hajiheshimu umekimbia kambi lakini wairushia mawe kama mwendawazimu tukueleweje doctor?
 
Huyo mmoja ndiyo ndiyo shida kule waliko mamia hakuna shida???Hata kichaa akisikia atashangaa

Lowasa sio mtu. Lowasa ni mtandao kuna wengi tu wapo bado CCM na serikalini ambao ni wana mtandao wa Lowasa. Unamfahamu Rostam? yule mshirika wake kwenye RICHMOND/DOWANS, yule tuliyemlipa Bil 120 kutokana na ufisadi wao wa RICHMOND/DOWANS? unadhani anapenda Magufuli ashinde? MAFISADI yote ya CCM hayamwamini Magufuli hata kidogo. Mchana yapo naye lakini usiku yapo kwa mwenzao. Mafisadi hayatupani hata siku moja.
 
Ni maoni yako mkuu, uko sahihi! kimtazamo wako

ila kwa wengine tunaamini zitto ndio mpinzani halisi, ambaye mmempa majina yote mabaya, pas kuwa na ushahidi

taratibu tu utaelewa muda si mrefu

ila inauma kwa mtu wa umri wako kulishwa maneno na kuyaamini!

Wewe acha zako ZITO sio mpinzani ila amewapiga upofu hamjamjua tabia na mambo aliyonayo na anayofanya.katika wanasiasa ambao hawafai ni huyu ndugu yako.
 
Huna llt dr slaa ni msaliti sn na ni mtu mwenye tamaa anayependa kujiangalia mwnyw
 
Erythrocyte, mimi adui mkubwa wa taifa naamini ni CCM na yeyote anayetoa ushirikiano kwa adui huyu ni adui yangu. Nilimkataa Zitto, nikamkataa Lipumba na hivyo hivyo japo kwa shingo upande, namkataa Dr. Slaa. Anayeunga mkono harakati za kuing'oa CCM madarakani ni rafiki yangu hata kama zamani alikuwa upande wa pili...hayo ndio mabadiliko. Katu sitamfuata mtu, nitaunga mkono juhudi za kuifuta CCM. Ndio maana ya hiyo signature yangu hapa chini.

Umenisemeaaaaa.............
 
Yeye Dr.Mihogo ndo alitakiwa ajiheshimu,hata kama akupenda Lowasa kuja chadema,toka mwanzo angeongea kabla ya process za uraisi hazijafikia tamati naakika tungemuunga mkono,lkn alikaa kimya mpaka Lowasa anachukua fomu,tume wanamaliza mchakato ndo eti unakuja kutuambia huwezi kuwa na fisadi ndani ya chama,hivi muda huo wanachadema na wataka mabadiliko wakueleweje,na tungefanya nini sasa,au alitaka tumsikilize ili ccm iendelee kutawala kwani isingewezekana tena kumwambia Lowasa basi na wakati mchakato wa tume ulishafungwa,kwa hiyo yeye ndo hana adabu na heshima na alikua si mtu wa mabadiliko ya dhati.
 
Aliyeshindwa kujiheshimu ni Dr Slaa. Mchakato wa kumpokea Lowasa aliufahamu na kama kulikuwa na sababu ya kuupinga angefanya hivyo mwanzo kabisa, na sio kusubiri achukue form apitishwe na tume, na harakati za kampeni zimeanza ndio ayaanzishe. Alitaka Lowasa aachie Ngazi ili Magufuli apite bila kipingwa? Alikuwa na maana gani hasa kama sio kutojiheshimu?

Nilimheshimu sana huyu mzee, lakini baada ya kutojishimu nimejikuta nampuuza kuliko maelezo.
 
Lowasa sio mtu. Lowasa ni mtandao kuna wengi tu wapo bado CCM na serikalini ambao ni wana mtandao wa Lowasa. Unamfahamu Rostam? yule mshirika wake kwenye RICHMOND/DOWANS, yule tuliyemlipa Bil 120 kutokana na ufisadi wao wa RICHMOND/DOWANS? unadhani anapenda Magufuli ashinde? MAFISADI yote ya CCM hayamwamini Magufuli hata kidogo. Mchana yapo naye lakini usiku yapo kwa mwenzao. Mafisadi hayatupani hata siku moja.

Na JK mtandao wake ni Upi???Chenge je???Hivi toka 2008 mpaka leo RUSHWA,WIZI,UFISADI na UBADHIRIFU wa mali za umma umepungua???

Escrow account ni ya nani???

Napenda kuwa mkweli kwa moyo wangu,Lowassa anaweza kuwa mchafu lakini kuna wachafu zaidi ya Lowassa wapo ndani ya CCM na serikali.JK na Mkape hawa je,mtandao wao ni akina nani???Maana mpka mtu kufikia kutuita malofa basi ujue yeye ni Lodi Lofa.

Ukiwa mkweli kubali kuchomwa na SINDANO ya UKWELI ,najua unauma,hata mie ukweli huu unaniuma kuona wanaoingia wakiwa masikini kama mimi wanatoka matajiri wachafu kabisa.

Jiulize kwanini kutumia pesa nyingi kumpinga mtu mmoja tu???
 
angekuwa na nia nzuri,asinge simama pale Serena na kuanzia kuiponda chadema.
angekuwa na nia nzuri angewasaidia vijana wake,wakina mnyinka,lisu,sugu,heche,na wengine kampeni majimboni,hata Kama asingeshiriki kampeni za mgombea uraisi.angejikita kwenye kampeninza majimbo ili tupate wabunge wa Kutosha
 
Kesha uza heshima huyo from hero to zero bei chee mke a mahimbo kamsomesha somo
 
dr slaa au nes
 
Attachments

  • 1444365358665.jpg
    1444365358665.jpg
    24.9 KB · Views: 160
natangaza rasmi kukudharau kabisa kwa kipindi chako chote kilichosalia hapa duniani .

Mkuu sindano imekuingia vizuri sana!Acha hasira ukipona hutalalamikia maumivu,zaidi utashukuru
 
Heshima yake ameiuzà so aende akalime mihogo tena kilimo cha kisasa; nitàmtafutia soko la kuuza chips dume
 
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ?

Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.

vipi mkuu bado heshima yako ipo pale pale kwa Dr Rais wa moyo wako? mlikuwa mnatuambia ni daktari wa kweli sio wa kupewa kama Rais Kikwete, leo hii ndugu zako wanamuita Dr. mihogo teh teh teh vipi na wewe ushambatiza jina au bado uko na msimamo wako. Bravo Dr slaa
 
Aheshimiwe kwa uzinzi na kupigwa limbwata uzeeni..limekuwa kama zezeta na mimacho yake kama linakata gogo
 
hakuna cha kumheshimu wala nini tena na hisi huyo mzeee.....ni.......
 
Na JK mtandao wake ni Upi???Chenge je???Hivi toka 2008 mpaka leo RUSHWA,WIZI,UFISADI na UBADHIRIFU wa mali za umma umepungua???

Escrow account ni ya nani???

Napenda kuwa mkweli kwa moyo wangu,Lowassa anaweza kuwa mchafu lakini kuna wachafu zaidi ya Lowassa wapo ndani ya CCM na serikali.JK na Mkape hawa je,mtandao wao ni akina nani???Maana mpka mtu kufikia kutuita malofa basi ujue yeye ni Lodi Lofa.

Ukiwa mkweli kubali kuchomwa na SINDANO ya UKWELI ,najua unauma,hata mie ukweli huu unaniuma kuona wanaoingia wakiwa masikini kama mimi wanatoka matajiri wachafu kabisa.

Jiulize kwanini kutumia pesa nyingi kumpinga mtu mmoja tu???
mada ni maghufuli na lowassa na siyo .wengine
 
Back
Top Bottom