Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Mkuu mimi ni cdm tokea zamani lakini siwezi kukubali kuendeshwa na sugar mammy mshumbushi kamwe

Sidhani kama ww ni cdm wa hivyo nadhani hata kama ww ni cdm basi ulikuwa team Zitto. Kwa kazi aliyoifanya Slaa sidhani kama leo ungekuwa unamporomoshea matusi na kejeli za namna hii eti kisa ni EL kisa tu tunataka mabadiliko. Hebu tuambie lini wangalau EL aliwahi kuonyesha kuisadia cdm hata kwa maoni tu. Kumbuka wakati wa uchaguzi mdogo Nassari alipigwa sana kwa amri ya EL. Ungeweza kutumia maneno ya busara tu kupinga msimamo wa Slaa lakini si kama unavyofanya hapa jukwaani toka Slaa aonyeshe msimamo wake, kwani naye ni binadamu na ana mapungufu yake. Naomba umuheshimu kwani ana mchango mkubwa mpaka EL akaona cdm ndio sehemu ya kumalizia hasira zake achia mbali afya yake tata na taswira tata mbele ya umma.
 
Hili kundi ni la ajabu kweli linatukana kila kiongozi wa Chadema anaehoji au kupingana na misimamo yao.

Ni kundi lenye nguvu na ushawishi mkubwa sana, na Vijana wa Chadema bila kujijua wamesombwa na mafuriko ya kundi hili kiasi cha kukashifu viongozi wao waliokuwa pamoja kwenye jua na mvua usiku na mchana.

Ni kundi lisilo na uchungu na Chama, lenyewe linawaza madaraka tu, halijui miiko, misingi, itakadi wala taratibu za Chama.

Ni kundi linalowaza madaraka tu, lina uchu na tamaa ya madaraka bila kujali yatapatikana kwa njia gani au kwa kumwathiri nani.

Halina msimamo, wala halijali kitu asubuhi litakusifia jioni litakuponda halina uvumilivu wa kisiasa.

Limeua slogan zote za CHADEMA , sasa hivi huwezi kusikia nguvu ya uma, M4C wala kukemea ufisadi ...... Hili kundi limeua slogan ya Chadema safari ya uhakika, sasa hivi wote tunaimbishwa safari ya matumaini Na Lowassa tu.

Muda sio mrefu tutaona rangi halisi ya kundi hili, wale waliosombwa na mafuriko ya kundi hili watajikuta wako kondeni mithili ya takataka zilizosombwa na maji... na maji yamekauka.

Nawaasa Team Lowasa japo mmekaribishwa mpaka Chumbani muwe na nidhamu kwa wenyeji wenu.!

Chadema wanawahitaji sana Team Lowasa kuliko Team Lowasa wanavyowahitaji Chadema. Na kama unataka kutengwa na kukashifiwa kama Dr Slaa jaribu kupingana na Team Lowasa.
 
mkuu uko sahii kabisa wanaomtukana ni pro lowasa ambao hawajaonja machungu ya Kuwa cdm
Ni kweli wanomtukana Dr Slaa ni wale hata Mwembe Yanga hawaujui ulipo ,ni wale ambao kitu kinaitwa maandamano hawakijui,ni watu ambao virungu na mabomu ya polisi hawayajui,wakuja ndiosasa wameishika Chadema ,na muda si mrefu Chadema itwekwa mfukoni na mafisadi,si mnaona wanavyohama kwa fujo,na hamjiulizi wanafuata nini Chadema na kwa nini hawajiungi vyama vingine?leo hii Chadema imekuwa lulu ,hawahawa wanaojazana Chadema si ndio tuliwaona kwenye bunge la katiba na bungeni wakiwazomea hao ambao sasa ndio wamekuwa maswahiba,wanasau kuwa bila Dr Slaa wasiingeikuta Chadema hapo ilipo,huyo Mbowe si alikuwepo miaka mingi pamoja na Mtei kuna lipi walilolifanya ,Chadema imekuwa ni chama kikuu cha upinzani kutokana na Dr Slaa hilo ndio mjue na msiotaka kujua shauri yenu lakini huo ndio ukweli wenyewe hawa akina Mwaimu wanaopiga makelel jukwaani hata akichukua fiomu ya udiwani pale Mchambawima hakuna atakaye mchagua,bado ni chekechea kwenye siasa.
 
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ?

Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.

Barua kwa Dr. Slaa

Ninaomba upate dakika chache upitie hiki kibarua kifupi ili upate mioyo ya wapenzi wako chini ya chadema inavyopiga kutokana na sintofahamu iliyopo kuhusu shughuli zako katika chama chako cha CHADEMA.

Dr. Slaa, mimi pamoja na maelfu ya Watanzania waliopo ndani ya nchi na nje ya nchi tunafuatilia kinachoendelea kuhusu kutopatikana kwako katika kusukuma hili vuguvugu la mabadiliko.

Dr Slaa ninaomba upokee ujumbe mfupi kama ifuatavyo:

1. Hakuna siri wewe ni shujaa na mtenda haki ya kweli ktk siasa za hapa nchini.

2. Hakuna siri wewe ni mtetea haki ya kweli kwa watanzania walio sahauliwa.

3. Hakuna siri kuwa katika historia itakayo andikwa kuhusu kupigania mabadiliko ya watanzania jina lako litakuwa na nafasi ya pekee.

4. Hakuna siri kuwa kwa mtu yeyote awe kiongozi wako mkuu au wa chini yako hatatenda haki kama hatakuwa tayari kufahamu mchango wako katika mafanikio ya chama chenu.
5. Dr. Slaa yapo mengi MAZURI ya kuandika kuhusu WEWE.

Hitimisho:

Dr. Slaa kilio changu na cha wengi ni kuwa tunakuhitaji haraka sana katika team ya kampeni itakayo anza hivi karibuni. Wengi wetu tunajua kuwa hata pale historia itakapokuja kukujudge wewe na viongozi wenzanko, ikiwa ni hasi (negative) wewe hautakuwepo na ikiwa chanya (postive) basi wewe utakuwepo. Wengi wetu tunajua kinacho endelea na ndiyo maana uamzi wako wa kurudi kwenye meza moja na viongozi wenzako tutauchukulia kama ushindi kwako pamaoja na sisi. Tunakuomba ujitokeze na kuwapa matumaini watanzania ambao sasa hivi mioyo yao haina utulivu.

Mhs Mbowe angalia kuwa kwa gharama yoyote ile inabidi Dr Slaa awe katika team ya USHINDI.

Kwa wale watoa matusi mnaruhusiwa hata hivyo ujumbe umefika
 
CCM waliliona hilo wahuni hawawezi kuongoza CCM,sasa wnaleta uhuni wao Chadema,Chadema kilikuwa chama cha wastaarabu ila sasa hawa wakuja wanazidi kuipaka matope Chadema kisa eti wana PESA,tutaona kama pesa itawapeleka magogoni.
 
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ?

Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.

Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.

Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.
 
Kumtukana Dr. Slaa sii sahihi, ila inatakiwa apewe ushauri nasaa kwa sababu alimkaribisha Lowasa akitegemea atakuwa manager wake wa kampeni ikawa sivyo. Lakin sio lazima Mbowe awe mgombea kila mwana CDM ana haki. Mwana CDM ni yeyote km mimi mwenye kadi ya 1994 kabla ya Mh. Dr. Na yeyote aliechukua kadi leo. Wote sawa soma katiba ya CDM. Umoja ni nguvu, tumshauri Dr. Asiwe na wasiwasi tuko nae pamoja. Amen.
 
Mbowe katudhalilisha sana wanachadema,CCM wameingia CHADEMA baada ya Mbowe kumleta Lowassa na wale chadema wasafi wakiumiwa.

Leo CHADEMA imegeuka gafla chama cha kupokea mafisadi huku mbowe na wafuata upepo wakiongea tutoe kwanza CCM madarakani.

Kweli tunaitoa CCM madarakani kwa UKAWA kumsimamisha lowasa aliyekuwa fisadi!

Bila uso wa haya mnamsafisha lowasa na kumwita mkombozi.

Mafisadi wameingia chadema na CCM imebaki bila mafisadi imewatema halafu chadema mliojipambanua mnapinga ufisadi Leo mnamleta fisadi asimame kwenye UKAWA .

Kama Dr Slaa hatakwepo kwenye safu ya UKAWA nitafurahi UKAWA washindwe kabisa heri CCM iendelee tu,mafisadi wamekuja kusimama kwa upande mwingine na tumewacha kuwathamini waliotoa maisha yao kwa ajili ya chama.

Wakati watu wakipigwa risasi,mabomu arusha,wakipigwa risasi ya moto morogoro na nzega Lowassa alikuwa wapi Leo anaibuka tu kama mzimu.

Kina Dr Slaa wakipelekwa polisi,mpaka mke wa Slaa alipigwa na polisi na kumwagika damu,kina Tundu Lissu walichaniwa mpaka nguo kudhalilishwa na hawa CCM sera za majukwaani ilikuwa kuwaponda hao mafisadi wa CCM.

Leo Lowassa kaingia chadema analeta jopo la mafisadi wa CCM watu mnashangilia.

NITAFURAHI UKAWA ISHINDWE UCHAGUZI MKUU KAMA DR SLAA HAYUPO NA KAMA Mgombea ni Lowassa.

Nahakikisha mwaka huu kwa madudu anayofanya mbowe lowasa akisimama UKAWA na wakashindwa upinzani ndo utakuwa umekufa rasmi mpaka hapo itakapokuja chama makini na siyo ACT wazalendo.
 
Umeongea kijazba bila kujenga hoja za maana by da way unamatatizo unaposema utafurahi ukawa wakishindwa inamaana hutaki mabadiliko alafu sisi tushaona mfumo wa ccm hautufai tunahitaji changamoto mpya nyie vilaza ndio maana hitler alikuwa hawaachi mzidi kuongea mihemko yenu hakuna uthibitisho lowassa ni fisadi kwa kauli yake na jibu la serikali kushindwa kumchukulia hatua inamaana alikuwa mkubwa kuzidi serikali au ?????
 
Mbowe katudhalilisha sana wanachadema,ccm wameingia chadema baada ya mbowe kumleta lowasa na wale chadema wasafi wakiumiwa,Leo chadema imegeuka gafla chama cha kupokea mafisadi huku mbowe na wafuata upepo wakiongea tutoe kwanza CCM madarakani
.

Kweli tunaitoa ccm madarakani kwa UKAWA kumsimamisha lowasa aliyekuwa fisadi!

Bila uso wa haya mnamsafisha lowasa na kumwita mkombozi.

Mafisadi wameingia chadema na ccm imebaki bila mafisadi imewatema halafu chadema mliojipambanua mnapinga ufisadi Leo mnamleta fisadi asimame kwenye UKAWA .

Kama Dr Slaa hatakwepo kwenye safu ya UKAWA nitafurahi UKAWA washindwe kabisa heri ccm iendelee tu,mafisadi wamekuja kusimama kwa upande mwingine na tumewacha kuwathamini waliotoa maisha yao kwa ajili ya chama.

Wakati watu wakipigwa risasi,mabomu arusha,wakipigwa risasi ya moto morogoro na nzega lowasa alikuwa wapi Leo anaibuka tu kama mzimu.

Kina Dr Slaa wakipelekwa polisi,mpaka mke wa Slaa alipigwa na polisi na kumwagika damu,kina Tundu Lissu walichaniwa mpaka nguo kudhalilishwa na hawa ccm sera za majukwaani ilikuwa kuwaponda hao mafisadi wa ccm.

Leo lowasa kaingia chadema analeta jopo la mafisadi wa ccm watu mnashangilia.

NITAFURAHI UKAWA ISHINDWE UCHAGUZI MKUU KAMA DR SLAA HAYUPO NA KAMA Mgombea ni lowasa.

Nahakikisha mwaka huu kwa madudu anayofanya mbowe lowasa akisimama UKAWA na wakashindwa upinzani ndo utakuwa umekufa rasmi mpaka hapo itakapokuja chama makini na siyo ACT wazalendo

Na wakishinda utafanyaje?
 
acha washindweee. Kwa kweli, Sipigi kura ukawa kama Lowasa ndo kasimamishwa na Slaa katimuliwa indirect. Nashawishi wafuasi wangu pia wasipigie kkura CDM ktk ngozi ya UKAWA
 
Mbowe katudhalilisha sana wanachadema,ccm wameingia chadema baada ya mbowe kumleta lowasa na wale chadema wasafi wakiumiwa,Leo chadema imegeuka gafla chama cha kupokea mafisadi huku mbowe na wafuata upepo wakiongea tutoe kwanza CCM madarakani
.

Kweli tunaitoa ccm madarakani kwa UKAWA kumsimamisha lowasa aliyekuwa fisadi!

Bila uso wa haya mnamsafisha lowasa na kumwita mkombozi.

Mafisadi wameingia chadema na ccm imebaki bila mafisadi imewatema halafu chadema mliojipambanua mnapinga ufisadi Leo mnamleta fisadi asimame kwenye UKAWA .

Kama Dr Slaa hatakwepo kwenye safu ya UKAWA nitafurahi UKAWA washindwe kabisa heri ccm iendelee tu,mafisadi wamekuja kusimama kwa upande mwingine na tumewacha kuwathamini waliotoa maisha yao kwa ajili ya chama.

Wakati watu wakipigwa risasi,mabomu arusha,wakipigwa risasi ya moto morogoro na nzega lowasa alikuwa wapi Leo anaibuka tu kama mzimu.

Kina Dr Slaa wakipelekwa polisi,mpaka mke wa Slaa alipigwa na polisi na kumwagika damu,kina Tundu Lissu walichaniwa mpaka nguo kudhalilishwa na hawa ccm sera za majukwaani ilikuwa kuwaponda hao mafisadi wa ccm.

Leo lowasa kaingia chadema analeta jopo la mafisadi wa ccm watu mnashangilia.

NITAFURAHI UKAWA ISHINDWE UCHAGUZI MKUU KAMA DR SLAA HAYUPO NA KAMA Mgombea ni lowasa.

Nahakikisha mwaka huu kwa madudu anayofanya mbowe lowasa akisimama UKAWA na wakashindwa upinzani ndo utakuwa umekufa rasmi mpaka hapo itakapokuja chama makini na siyo ACT wazalendo

CCM itoke kwanza madarakani
 
We ndo umeleta jazba,kama sio uwehu ni nini mjenge chama mkipinga ufisadi na kuonyesha misingi ya kusimamia hali Leo wale mliowaita mafisadi mnawakaribisha na kuwafanya wagombea ,mnawasafisha tena,mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya ujinga kama huo eti kisa mnaondoa mfumo wa ccm uliopo wakati mmeuhamisha kwenu,wananchi wanaweza kuwavumilia hata mkipoteza uchaguzi mgekuwa wenyewe,mkipoteza tu hamna atakayewaamini tena.

Btw kama lowasa akishinda UKAWA ndo itakuwa dampo la watu wachafu na ccm kugeuka wasafi

Kweli chizi kalogwa tena nani kamsafisha lowassa??? Nadhani juzi hukumsikia hata mh vai nahodha alikiri lowassa siyo fisadi kwakuwa hamna mwenye ushahidi je wewe unaushahidi wa lowassa ni fisadi ili twende mahakamani ndugu????? Usiwe kilaza lowassa anamapungufu yake kama slaa tuu mliekuwa mnamuita mzinifu mara malaya ila leo mnajifanya mnapenda sana ila tunajua nyie lumumba fc hamuwezi kututakia mema hvyo kile mnachopondea sisi ndio tunafanya kwakuwa ndio kitakachowaua jipangeni ukawa ndio tumaini letu wananchi pia pia kati ya ccm na chadema wapi kunawatuhumiwa wengi wa ufisadi......baada ya lowassa kuna epa, escrow, rada, uuzaji nyumba za serikali hao wahusika wote bado mmewakumbatia na bado mnaongea machizi
 
Umeongea kijazba bila kujenga hoja za maana by da way unamatatizo unaposema utafurahi ukawa wakishindwa inamaana hutaki mabadiliko alafu sisi tushaona mfumo wa ccm hautufai tunahitaji changamoto mpya nyie vilaza ndio maana hitler alikuwa hawaachi mzidi kuongea mihemko yenu hakuna uthibitisho lowassa ni fisadi kwa kauli yake na jibu la serikali kushindwa kumchukulia hatua inamaana alikuwa mkubwa kuzidi serikali au ?????

Maccm ayo yanakesha kuchochea hawajui kwamba tumeamua kuwaua rasmi wamepata chakuongea
 
Back
Top Bottom