Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

TBC ndo wamechemsha kabisa hapo alitakiwa aitwe Mbowe na siyo Dr.Slaa haiwezekani ukamwita rais wa TANGANYIKA na Mukama ktbu wa chama nadhani siku nyingine amuite Dr.Slaa rais wa TANGANYIKA nawa tanzania pamoja na wa zanzibar hapo ndo angalau tunaweza pata manufaa ya mdaharo wewe unamuita Dr. aje apambane na 4m leaver unategemea nini wananchi watafaidi nini?
 
Hivi Slaa anaweza akakimbia Vihiyo kama Magamba?
 
Nimeona katika gazeti moja la kila siku. dk Slaa amekacha mjadala uliipangwa kufanyika hapa kwa kushirikiana na chombo kimoja kikuu cha habari yaani TBC1 katika kipindi cha JAMBO LEO.
Katika mjadala huo ambao Mukama alipanga hoja za msingi na kutaka kumuonyesha dk slaa kwamba anayozungumza mengi hafanyi utafiti.lkn pia kuzungumzia magaidi waliongizwa na CHADEMA IGUNGA na mengine mengi juu ya CHADEMA
katika hali isiyoyakawaida katika Chama cha chadema. Dk slaa amekacha mjadala huo.
Jee Dk slaa ameanza kuogopa mijadala ya wazi?
What next?
Kikwete hakimbiagi mijadala?
 
naungana na wewe, nimelizungumza sana huko nyuma, lakini watu kwa kupenda mtu wanashindwa kutetea haki wanatetea uovu. kama ni kweil alialikwa na akakubali kuhudhuria SLAA katukosea, lakini kama alialikwa akakataa mwaliko ndo hawa UHURU wakaamua kumwashia moto huu, hakika yake wataumbuka tu mda si mrefu

Kama kweli alifanya hivyo nadhani kwangu ni sahihi kwa vile ametuma ujumbe kwa watu wengi zaidi kuwa hata ukishiriki na usiposhiriki ni sawa kwa vile hakuna haki sawa. TBC inatakiwa itafakari namna inavyoendesha majadiliano kati ya watu wenye mitizamo tofauti. Haistahili kupendelea upande moja.

Dr anatakiwa atuambie kama kweli amekataa kwa njia hii ili tufahamu ukweli, au aende kwenye sehemu ambayo umma utafahamu sababu
 
Usimshawishi modes kufuta kwa kuwa katajwa Dr. slaa.
kama aliahidi kuhudhuria, ikatangawzwa kuwa kwenye mjadala atakuwepo halafu ikatokea hajahudhuria, taswira yake kwa jamii itaharibika. Kuna ukweli kaukimbia. Viongozi kama hawa hatuwahitaji tz, kwani kama anakimbia media akiwa katibu wa chama, Je akiwa rais si atazifuta kabisa?

Muulize mwenyekiti wa CCM atakueleza Dr. Slaa ni nani. Ni mmoja kati ya wanaokifanya chama chako kipukutishwe kura kwa landslide ya kutisha. Ni mtu ambaye anatishia existence ya chama chako. Ni mtu ambaye wafanyakazi wa serikali wazalendo wanamletea data za ufisadi wa chama chako cha magamba every other day.

Bado muda si mrefu atashiriki kuhakikisha kuwa wezi wote wanaenda kukaa where they belong.
 
kwa nini alithibitisha kuhudhuria? si angekataa kwa kuanzisha ratuba nyingine kabisa?
Give us evidence kwamba aliitwa na TBC, tuanzie hapo. Concrete evidence please. Then tuanzie hapo.
 
Dk. Wilbroad Slaa ameingia mitini licha ya kuthibitisha kushiriki kwenye kipindi cha Jambo kinachorushwa na TBC1 ambacho kililenga kumkutanisha na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Wote walithibitisha kushiriki lakini ghafla Dk. Slaa akaingia mitini.

Narudia tena: Chadema ni system kamili.

Kwanza magamba waseme kwanini Mwamunyange (Davis) alikimbia waandishi wa habari pale alipotakiwa kutoa taarifa ya mkasa wa Gongolamboto?
 
Slaa ni mtu wa kujipanga, hakurupuki hovyo eti ili mradi kaitwa kama magamba wafanyavyo na mwisho huwa wanaongea wasivyofikiri
 
Kwa mawazo haya lazima unafanya kazi BAKWATA.[/QUOTE



Tazama juu ya kuporomoka kwa kasi kwa heshima yako.Huna tofauti na Kibwetere wa Uganda kutokana na uchochezi wako wa HILA katika ''imani za watu'' zisizo zako.Tambua kuwa BAKWATA ni taasisi ya Kiislam kama ilivyo TEC na vyombo vinginevyo vya dini hivyo shurti kuheshimiwa na madhaifu yake kama yapo.

Kwa nembo yako ya REV inaonyesha kwa kiasi gani ulivyo mdini na mpuuzi katika waungwana.Huu ni mjadala wa siasa usiogusa imani za watu,hivyo jihadhari na kauli zako chafu na za ''udini'' zenye kutaka kuchafua hali ya hewa.Usijaribu kutaka kuudharirisha Uislam kwa mgongo wa ''invisible'' uwe mstaarab na tutakuheshimu.
 
Pale ilikuwa yaongelewe maendeleo na mikakati ya vyama kuwaletea maendeleo Wtanzania, Slaa na magwanda wote hawana cha kuonga katika hilo, Slaa angekwenda kuongelea watu, akaona mnhhhh, ntaumbuka, kaingia mitini.
 
Wee FF, kila siku naona unazidi kupendeza. Sijui ni macho yangu tu au........????
Pale ilikuwa yaongelewe maendeleo na mikakati ya vyama kuwaletea maendeleo Wtanzania, Slaa na magwanda wote hawana cha kuonga katika hilo, Slaa angekwenda kuongelea watu, akaona mnhhhh, ntaumbuka, kaingia mitini.
 
Hapa ndio tunapoumbuka kwa kuona ni namna gani tunaojiita great thinkers tulivyo watupu kichwani. Hivi kuitwa kwenye kipindi ni binding contract? Dr Slaa hahitaji kujieleza kwa yoyote eti kwa nini hakwenda TBC1. Ni vizuri ieleweke kwamba Daktari hayuko hapa ku parade u comedy, kuna watu wengi sana humu hawako kiharakati wala kusaidie kupigania haki za watanzania, wao hawaelewi vichwa vyao vibovu, ndio maana wanaangalia harakati na mchango mzima wa watu kama wakina Dr slaa kimaigizo. Shut up! mnacheza na mtaji wa watanzania wa ukombozi. so what kama kaonekana mjiini? kwani ni lazima? wamepambana vya kutosha humu ndani kazi ya watu wengine ni kujadili ki third party. Pili, si kila muita wazungumzaji anaheshimika na hivyo kuhudhuriwa. Confidence ya watu wanaoitwa kuja inatokana na heshima ya huyo anayeita, kama huheshimiki utaitia kuita hao hao wakina tambwe hiza maana ndio size zako. TBC hawana heshima ya kukubaliwa na lengendaries wa ukombozi wa nchi hii, wao wawasubiri wakina hawa ngu'umbi tu, watu kama daktari watakuja kwenye vipindi vyenye heshima vinavyosimamiwa na watu wenye heshima. Ndio maana mwaka jana nchi nzima ilimuangalia kule ndiko kwenye level zake hawa wakina marine Hassan wana size zao, acha wawahoji wakina hadija kopa na Nyalandu ndio size zao jamani.
 
Kwanza Mukama siasa hajui .Pili TBC ilikuwa ni mtego kutaka kuhalalisha matokeo wakati Chadema wanaenda Mahakamani .Wakae na TV lao na Chadema watafanya siasa itakuwa covered na wengine .Mbona wasimwite KM wa KAFU au Mukama alikuwa ana wawakilisha KAFU pia ?
 
Hivi jamani kufikiri kwa masaburi ni hatari kuliko hata ukoma,hivi Magamba mnawahi kusema Dr Slaa amekimbia kipindi,hivi jamni tuwe wakweli na sio unafiki,kwani W.Mkana na Lusinde wa jimbo la mtera kuna tofauti gani?Dr Slaa si wa kumkimbia mkama taja mtu mwingine kama yupo na kama ni mtu makini kutoka magamba mi nitakwambia hapo kweli,lakini sio mkama,nape na wenzie wote
 
Mkuria anapoizimia Peoples Power...... its amazing and you are a senior member.
 
Back
Top Bottom