Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

Dk. Wilbroad Slaa ameingia mitini licha ya kuthibitisha kushiriki kwenye kipindi cha Jambo kinachorushwa na TBC1 ambacho kililenga kumkutanisha na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Wote walithibitisha kushiriki lakini ghafla Dk. Slaa akaingia mitini.

Kumpambanisha Dr Slaa na Mukama ni kama kupambanisha maumivu ya kichwa na HIV.......Namshukuru Dr Slaa kwa kutohudhuria huo mjadala,maana sioni mtu wa maana wa CCM anayeweza kukaa na Dr Slaa,wote vichwa tope....Indeed,TBC1 ni TBCCM kwa sasa naona Dr alisoma alama akaona uharo wa hawa jamaa........Mukama akakae kiti kimoja na Nape au Lusinde....
 
mjadala usio na tija ............ awe amekimbia ama ameudharau namuunga mkono. jakaya mrishop kikwete hakuwahi kuingia mitini. TULIPOKUWA KABLA HATUJACHAGUA RAIS uliandaliwa mdahalo wenye tija kwa watanzania wote, na hiyo ingetusaidia kuwajua wagombea wa nafasi hiyo nyeti ktk nchi yetu , CCM IKAPIGA MARUFUKU wagombea wao wooote kushiriki midahalo yoyote, leo hii mnatuendesha puta maisha yamepanda mara kadhaa ndio mnataka mjadala ili iweje............... HONGERA SANA BOB SLAAAAA
 
Slaa vs Mukama ie Indian Ocean vs Bwawa la Mindu
 
MJADALA USIO NA TIJA ........ awe amekimbia ama amedharau safi sana, kipindi kabla ya uchaguzi mkuu nchi ilipokuwa ktk kipindi kigumu cha maamuzi, uliitishwa mdahal na ITV , kikwete na ccm yenu mkapiga marufuku wagombea wenu kushiriki aina yoyote ya mdahalo. leo hii mmenunua shahada igunga na kupata ushindi haramu ndio mnataka mjadala ILI IWEJE KWA MANUFAA YA NANI, MNATUPELEKA PUTA MAISHA YAMEPANDA MARA KADHAA KWA WIZI WA KURA ULIOWAWEZESHA KUISHIKA NCHI, KIKWETE ANGELIKUBALI ULE MDAHALO WANANCHI WANGEPIMA UWEZO WAKE KWA DHATI NADHANI HATA KURA ASINGELIPATA HIVYO MSINGEKUWA NA ZA KUIBA. NAMPONGEZA BOB SLAA, KWA KUTOSHIRIKI HUO MJADALA UESIO NA MANUFAA KWA WATANZANIA
 
Dr. Slaa hawezi kumkimbia Mukama bali siyo saizi yake, waambie TBC Dr. Slaa anataka apambanishwe na Dr. Kikwete siyo mzee wa mustachi. Mukama apambane na Prof. Rwaitama anamtosha.
 
Kamura ndiyo wale CCM haswaaaa ninaomanisha kwenye SAHIHI yangu hapa chini.

Kamura, "........You’re out of control. You’re the hater and unattractive inside"

Mihasira kibao na uso wake unaona umetoka gazeti lisilouzika, gazeti baya kama uso wake.... UHURU.

images

MIAKA 50 YA UHURU GAZETI LA UHURU HALILINGANI NA HADHI YA UHURU WENYEWE MAMBO YALIVYO KWA WALALAHIO INAFANANA NA HALI YA GAZETI LENYEWE.Mwenye data linatoa nakala ngapi na kati ya hizo ngapi zinafunia mandazi na vitumbua na samahani(kutumika kama toileti paper)
 
Jamani acheni mijadala isiyo na tija. Dr Slaa ameamua kutohudhuria mjadala huo kwa kuona hauna chochote chenye kuleta tija kwa chama chake na taifa. Mukama si wa saizi ya Slaa. Mukama ataongea nini wakati magamba wameshindwa kujivua wakati waliasisi wao? Mukama ana lipi jipya la kutueleza zaidi ya kumuangukia Rostam Aziz ili awasaidie kushinda Igunga. Slaa atakaaje meza moja na mtu anayekula matapishi yake? Nilidhani Mukana ni katibu mahiri kama alivyokuwa Mangula! Lakini kwa mwelekeo wake usio na mwelekeo nadhani itakuwa nafuu hata ya Makamba. Subiri tu muda utasema na mtakuja kukubali. Maana tangu aingie hakuna lolote badiliko na sasa hana anachokisimamia si gamba, si mafisadi kufukuzwa, si miradi ya chama.................. Dr Slaa umefanya la maana.
 
We need info from themselves i mean principal secretaries if they're available to remove this gossip.
 
Je ulimpangia siku ambayo unaweza kuwa tayari kwa mjadala? akakataa kuweka ratiba ya mjadala siku hiyo?

Kwani wewe unaogopa gazeti la uhuru? vipi mkuu unaogopa wapinzani wako wa kisiasa?
TBC1 wamedhihirisha kwamba ni chombo pumba kabisa wasiona code of conduct na hata ethical status,wamempigia Dr Slaa aende kwenye mdahalo na Mkama amewaambia hayuko Dar es Salaam,hawajamwambia kama watamtafuta tena mwandishi anakwenda kutoa habari za uongo CCM kwamba amekimbia mdahalo Dr.Slaa ni wa kumkimbia an empty Tin Mkama,mtu anaongea na kutoa mate ya kumlowesha kila mtu,hana mvuto ,wala hajui anafanya nini CCM,anaropoka utafikiri akili zake zimeliwa na viroboto ,amini usiamini Mkama atamfuata Makamba Kule alikotangulia kuwaandalia makao. kama katibu Mkuu wa chama chenye msimamo na watetezi wa wananchi ni bora alikataa, kuingia kwenye propaganda za CCM, Kwanza ningekuwa mimi Dr,Slaa kwa status kama zake ningekataa kabisa kwenda TBC1 kwani si chombo cha umma bali ni chombo kinachotumikia CCM
 
Wewe unapoteza muda wako huyu mzee Slaa ni mnafiki mkubwa.
Wanafiki ni CCM wanataka kuongea na Chadema kwa sababu gani si wamesema ni chama Janga la taifa,CCM chama mfu kabisa of all the people wanaweza wakawa na Katibu mkuu kama Mkama anaropoka kisirani hana maono,mukichwa mule tupu kabisa
 
Dr. Slaa hawezi kumkimbia Mukama bali siyo saizi yake, waambie TBC Dr. Slaa anataka apambanishwe na Dr. Kikwete siyo mzee wa mustachi. Mukama apambane na Prof. Rwaitama anamtosha.

Rwaitama si Profesa ni Dk. hivi naye ni nani ndani ya CHADEMA?
 
Dr.slaa hana jipya ndani ya siasa za nchi hii.huyu mzee atakacho jivunia ndani ya siasa za nchi hii ni kipindi cha uchaguzi mkuu mwaka jana wananchi wakihangaika kumnadi yeye alikua busy anatafuta mtoto wa uzeeni na mke wa mtu mshumbuzi.Huyu mzee atachuja zaidi ya mrema maana mrema kuna vitu alivifanya ndani ya nchi hii akiwa waziri ndio maana vunjo wamemzawadia ubunge wa heshima
 
Kamura tuliza munkari dogo ungefanya mashambulizi yako kwa staha kidoggo ingekusaidia hata wewe kuwa mwerevu. Tunu za mwanadamu ni mbili tu AKILI na HAYA. Tumia japo moja kti ya hizo vinginevyo utaendelea kudharaulika.......... Pole tena!!!!!!!!
Bukanga kama lilivyo jina lako lako ambalo chimbuko lake ni kanga jibu hoja nzito kwa hoja nzito si nyepesi. Slaa yupo na mtandao ulikuwa unaonyesha ana browese hii thread tangu asubuhi hadi mchana mbona hakujitokeza kujibu au wewe ndio Slaa sipendi kumwita Dk sababu hastahili. Unaonyesha ni FANATIC wa Slaa.
 
Dr. Slaa hawezi kumkimbia Mukama bali siyo saizi yake, waambie TBC Dr. Slaa anataka apambanishwe na Dr. Kikwete siyo mzee wa mustachi. Mukama apambane na Prof. Rwaitama anamtosha.
Lengo halikuwa kulimganisha mustachi bali hajo. Stick to the point.
 
Dr.slaa hana jipya ndani ya siasa za nchi hii.huyu mzee atakacho jivunia ndani ya siasa za nchi hii ni kipindi cha uchaguzi mkuu mwaka jana wananchi wakihangaika kumnadi yeye alikua busy anatafuta mtoto wa uzeeni na mke wa mtu mshumbuzi.Huyu mzee atachuja zaidi ya mrema maana mrema kuna vitu alivifanya ndani ya nchi hii akiwa waziri ndio maana vunjo wamemzawadia ubunge wa heshima
Dr Slaa ndio amemfanya Dr Jakaya Mrisho Kikwete awe na miserable face,confidence yake imekwisha kabisa,akiongea sauti imekauka,akienda kwa wanachi ni nduki,ndie aliyechuja kisiasa sana hana ile vibe ya kuwa head of state,ni nguvu aliyonayo Dr Slaa,mwaka unaisha sasa na bado anatikisa nchi amewakoroga CCM wamebaki wanaropoka tuu mara magamba,mara chama hakina mvuto mara wasiliti waondolewe upo hapo
 
Feminist angle wrong argument. Slaa hana nguvu zozote si za kisiasa wa za kijamii.
 
Feminist angle wrong argument. Slaa hana nguvu zozote si za kisiasa wa za kijamii.
Do you think so the truth is Dr Jakaya Mrisho Kikwete is a lonely and rejected man by his people, a head of a failed state ,For example leo alikuwa anaenda Msoga na bonge la escort Madefender mawili na skari na msururu wa msafara na ambulance nyuma,hofu woga vimemtawala what went wrong five years back he was a happy smiling man ,now he is in fear accompanied with anxiety he doesnt trust in himself,tell me why ni nguvu ya Dr Slaa Kisiasa na Kijamii this man he has changed the public political view ,things have changed in this country it will never be the same,Jakaya will remain a complaining president for the rest of his term
 
Wewe unapoteza muda wako huyu mzee Slaa ni mnafiki mkubwa.

Infact wewe ndiye mnafiki kwani hutaki kuelewa ukweli huku ukijua kwamba chombo cha habari kama TBC hakina credit za kumhoji mpinzani yeyote kwani kilishapoteza credibility yake zamani kwa kuwa huonesha habari za upendeleo tangu mmwondoe Tido. Hivyo Dr wa ukweli ni sahaihi hayonekani kwani mlishapanga ujinga wenu
 
Back
Top Bottom