Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

Je ulimpangia siku ambayo unaweza kuwa tayari kwa mjadala? akakataa kuweka ratiba ya mjadala siku hiyo?
" hata hivyo Mukama niliisha kumjibu na jibu langu lilitolewa na TBC1 hivyo sidhani kama kuna sababu ya kujibu zaidi kwani Mukama hajatoa ushahidi, Polisi nao wamemtaka atoe ushahidi na hajatoa".
.......Rudia tena kusoma majibu ya Dr. naona una tatizo la kuelewa. wapange kujadili nini tena!

Kwani wewe unaogopa gazeti la uhuru? vipi mkuu unaogopa wapinzani wako wa kisiasa?
......Hakuna hoja ya kuogopa gazeti hapa. hoja ni je kwa mtiririko wa tukio ulivyokuwa wenye akili tunajiuliza, kuna uhusiano gani kati ya TBC1 na gazeti la uhuru?
 
Dk. ndiye mzushi hawezi kukuahidi kuhudhuria akakacha.
mkubwa acha kushambulia kikaragosi hiyo si hoja ya msingi waambie waliokutuma(MAGAMBA) Wa-TZ hatudanganyiki watafute hoja mpya....YAKO WAPI MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA??
 
Back
Top Bottom