Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

Status
Not open for further replies.
Ni maisha yake binafsi. Kama hujawahi kukwea pipa pole sana

Lizaboni mategemeo yako yamekua tofauti yani slaa katupiga teke kudhani anatukomoa kumbe katuongezea kasi ya ajabu.kwa hio ccm mmeliwa tena pabaya baada ya kuliwa mkaoge mtoe shombo mwilini.
 
picha hiyo ya mwaka jana usituzuge na kutuharibia siku kwa umbea na uongo wako.

Kama ya mwaka jana kawaite Cyber crime waje watukamate!! huwezi zuia mafuriko kwa mikono au tinga tinga
 
kamaliza kazi hapa akipongweza na gaidi la tanzania

11225994_908155875946166_2885182629670908933_n.jpg
 
Jamani Huyu jana si aliuambia umma wa Watanzania kuwa yeye na Familia yake wanashindia mihogo na maharage, Leo hii anakwea pipa?? katoa wapi huo mpunga!!?? Nina maswali mengi sana ya kujiuliza.TAFAKARI, FIKIRI, CHUKUA HATUA
 
Dr. Binduki nasikia nae anaenda kufanya utafiti wakiuchumi marekani, kuangalia ni jinsi gani marekani imeendelea kiuchumi
 
Katika dunia ya watu wanaomtegemea mungu huwezi kuacha kusema ukweli kisa utatengeza uadui kwahiyo waachwe wapige dili kwa ufisadi wasisemwe kisa nini hakuna hiyo.

Sasa kama hata nyumba Mbowe alimsaidia, hii jeuri katoa wapi kalaghabaho. Hii inaonesha Slaa deserved to be desserted in this mabadiliko rally. Hakuwa kiongozi thabiti na ni mnafiki kwa kuanzia career yake yote. Dini, Ndoa, Siasa na sasa kwaheri. UKAWA haturudi nyuma na hata mmoja wao akitoka bado tumeapa kutokurudi nyuma wala kuahangaika na maiti ya kamanda mwisho mbele mita mia mapambano.
 
labda tusishinde chaguzi huu. lakini tukishinda lazima tutahoji nani amegharamia safari yake na kama ni serikali hapo ndipo serikali mpya itakapoanzia makali yake. tutahoji na gharama za serena na vituo vya media zimelipwa na nani.
Kama ailivyokuwa kwa mwenzake Pof. Lipumba mara baada ya kufanya press conference alikwea pipa. Vivyo hivyo Dr. Slaa naye kakwea pia leo. Habari za uhakika ni kuwa anaelekea USA.

11951889_10203657338754355_8273820177259980967_n.jpg

11951248_10203657337074313_6252291186441749736_n.jpg

11988613_10203657337994336_3016629590105493389_n.jpg
 
Mmmh! Kazi ipo! Hivi Slaa na Lowassa nani anamatatizo makubwa. Lowassa wengi tumejua habari zake, hebu mnisaidie wanajamii katika kutafakari kwangu huku. Slaa alikuwa padrii, akatofautiana na wenzake, akaacha utumishi huo, akaoa, akatofautiana na mkewe, akamwacha hadi leo, akaingia kwenye siasa ccm, akaona sivyo kwa nmna ajuavyo yeye, kaachana nao, kaingia chadema, ametofautiana na uongozi kwa jambo moja la kumkaribisha Lowassa, ameachana nao. Kwa kifupi akitofautina tu na wenzake anakuwa wa kwanza kukimbia, je, hizo ni sifa za kiongozi mzuri? Na je, kila sehemu hizo alizozikimbia zote yeye tu ndiye yuko perfect by 100%? Nina mkanganyiko hapo, tusaidiane wanajamii forum.
 
Hiyo picha ni South African Airways naona jarida lao lenye maneno SAWUBONA hapo nyuma ya siti.
 
kuuza utu na heshima yako ni dhambi moja kubwa sana huyu mzee hii kitu itamsumbua maisha yake yote dahh
 
Wanaopiga kelele humu sio chadema asili ni chadema urais a.k.a.lowasa cdm asili wanamachungu na walioifikisha cdm ilipo
 
Kama kweli kanunuliwa basi hao jamaa walioandaa Plan nakupendekeza wanatakiwa kufukuzwa chamani kwakuwa wamepoteza hela bure. Wangemnunua kipindi kile kabla lowasa hajapitishwa rasimi na ukawa na wananchi hawajakuwa na mihemko naye. Pale wangekuwa wamefanya biashara yenye faida sana.
Yaani kwasasa ni sawa nakufanya biashara ya feni makambako tena mwezi wa sita.

Kwakweli kama imetolewa hela kumnunua Dr basi aliyeshauri afukuzwe
 
Wanaopiga kelele humu sio chadema asili ni chadema urais a.k.a.lowasa cdm asili wanamachungu na walioifikisha cdm ilipo
\

CDM imefikishwa hapa ilipo kwa manufaa ya nani? Kama ni kwa ajili ya Watz basi ndio waliojaa humu, kama ni binafsi basi ndio maana wengine wamekimbia!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom