Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

Status
Not open for further replies.
Inawezekana maisha ni kuchagua unaweza shindia hata maji wakati una mamilion ndani tena sio benki ndani ya nyumba yako.
Huo sasa ujinga na mtu wa aina hiyo hafai kuwa Kiongozi, sio mfano mzuri kwa jamii. Familia yake inaishi kwa shida, yeye kachimbia mamilioni ndani !!
 
Kama ailivyokuwa kwa mwenzake Pof. Lipumba mara baada ya kufanya press conference alikwea pipa. Vivyo hivyo Dr. Slaa naye kakwea pia leo. Habari za uhakika ni kuwa anaelekea USA.

11951889_10203657338754355_8273820177259980967_n.jpg

11951248_10203657337074313_6252291186441749736_n.jpg

11988613_10203657337994336_3016629590105493389_n.jpg

Mla mihogo kila siku huwaanapanda ndege?Pesa katoa wapi?Anatuona watz kama misukule enheee?
 
Nenda Dr. nenda sisi tuna kazi moja tu ya kuichinja ccm. Owe jua owe mvua ccm lazima iondoke. Hakuna jinsi
 
Kama ailivyokuwa kwa mwenzake Pof. Lipumba mara baada ya kufanya press conference alikwea pipa. Vivyo hivyo Dr. Slaa naye kakwea pia leo. Habari za uhakika ni kuwa anaelekea USA.

11951889_10203657338754355_8273820177259980967_n.jpg

11951248_10203657337074313_6252291186441749736_n.jpg

11988613_10203657337994336_3016629590105493389_n.jpg

Kaenda kula mihogo.
 
Muache Mzee wa akapumzike...ameshatoa duku duku lake la chuki moyoni...amedhani ameharibu...ameharibu dhamani yake kuitwa doctor...heri sisi walala hoi tuna busara kuliko slaa alivyatamka matamshi ya chuku,ubinafsi na uchochezi uusio na mashiko kwa jamii ya kitanzania...ninafurahi wanachi ni waelewa na wana uwezo kutambua uongo au mtu mwenye kutoa maneno wivu chuki mbaya katika kazi au serikali au hata katika mtaa na katika kaya ..watanzania wanajua na wamempuza dr slaa na kupuza maneno yake ya chuki..haifai mtu alishakua Padre atoe maneno ya chuki na uongo tena dunia inatazama na kusikiliza..Waumini wote walio katika kweli na hofu Mungu hawafanyi aliofanya Mzee slaa..Amefanya vibaya katika nafsi yake na familia yake yamkini itaonekana kutomshauri vizuri...Rais mtarajiwa EDWARD LOWASA NDIO CHAGUO LETU SISI WALALA HOI KAMA ALIVYOTAMKA slaa.
Yeye akatafute watu maarufu wapigie kura...LOWASA HOYEEEE...WATAZANZANIA SHIME TUWE TAYARI KURA KWA CHADEMA/UKAWA LOWASA LOWASA LOWASA LOWASA MPE KURA YAKO.
 
Kama ailivyokuwa kwa mwenzake Pof. Lipumba mara baada ya kufanya press conference alikwea pipa. Vivyo hivyo Dr. Slaa naye kakwea pia leo. Habari za uhakika ni kuwa anaelekea USA.

11951889_10203657338754355_8273820177259980967_n.jpg

11951248_10203657337074313_6252291186441749736_n.jpg

11988613_10203657337994336_3016629590105493389_n.jpg
GOOOOOOOO!! after all you were not meant for us any way!! Am extremely angry!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom