Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

Status
Not open for further replies.
Katika dunia ya watu wanaomtegemea mungu huwezi kuacha kusema ukweli kisa utatengeza uadui kwahiyo waachwe wapige dili kwa ufisadi wasisemwe kisa nini hakuna hiyo.

Kila mtu anamtegemea mungu mwizi jambazi wanamtegemea mungu
 
Katika dunia ya watu wanaomtegemea mungu huwezi kuacha kusema ukweli kisa utatengeza uadui kwahiyo waachwe wapige dili kwa ufisadi wasisemwe kisa nini hakuna hiyo.

Anamtegea MUNGU kwa lipi angemkimbia?
 
attachment.php

Kwa kweli naamini watu wote wako kazini, tangu lini hawa wakawa na urafiki wa namna hii !!!!!!! Yaani kwa elimu yangu ya photography, sioni hata sehmu ya photo editing !!! Maana wengine watakuja sema ni photoshop !!
 
Anaenda kula mihogo ya USA.
Huku wapambe wake wakuu wakiwa ni akina Lizaboni
 
Last edited by a moderator:
do hii noma maisha yake ya hovyo hovyo

Nimesoma kwenye kurasa kuwa Ma Koku alimtupia mabegi yake akalala ndani ya gari siku walipokubali Edo agombee urahisi. Wahaya kila mahali tupo kimaslahi zaidi
 
Akirudi anajifungia na kuishi kama mkimbizi katengeneza uadui na Wapenda mabadiliko plus viongozi wa dini kisa CCM. Nchi ina viongozi wa ajabu sana hii.

Ukisema unayoona kwa nafsi yako ni kweli unakuwa umetengeneza uadui?
 
Mwache aende hivi Dr. slaa alitaka aendele kuishi maisha kuwa mpinzani mpaka lini. hatuwezi kujua yamkini alikuwa na maslahi makubwa na maisha upinzani. wenzake tumeamka sasa NI mwendo wa mabadiliiko. we need change. asiyeyataka atupishe akae kabdo Lowasa oyeee

Unajua kuna watu wana akili nyingi Sana wenyewe wanajiita sijui GREAT THINKERS WA JAMII FORUM ,hivi na u great wenu hamjiulizi inawezekana vipi Lowassa akiwa chama tawala ababe mafuriko ya aina mpaka wana Ccm wakaimba mbele ya mwenyekiti Jakaya tuna Imani na Lowassa na Jakaya akajibu hii haijawahi kutokea ,na vivyo hivyo kabeba mafuriko alipoamia upinzani hivi mtu Wa aina ya Lowassa nisipo mpa support si nitaonekana MWEREVU NA SIO MPUMBAVU AU LOFA ??
#LOWASSAANATOSHA
 
Hana uthu wa kuombea watu huyo, kaacha Kanisa, kazaa na kuacha mke, kachukua mke wa mtu !! Mungu gani atasikiliza mombi yake ?

.
Kwa mujibu wa kitabu cha biblia katika sura ya 19:9
Matayo,
Hakuna binadamu wala malaika kutoka mbinguni anaeweza kumchomoa dr na dhambi ya uzinzi juu ya mke wa Mahimbo.
.
 
Hivi mtu anayeshindia mihogo anaweza kutumia usafiri wa nmana hiyo hata ule wa FastJet wa kulipia miezi sita kabla ya safari ? Lbda kapata mfadhi anaenda kusoma nje.

Inawezekana maisha ni kuchagua unaweza shindia hata maji wakati una mamilion ndani tena sio benki ndani ya nyumba yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom