Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

Status
Not open for further replies.
Hivi mtu anayeshindia mihogo anaweza kutumia usafiri wa nmana hiyo hata ule wa FastJet wa kulipia miezi sita kabla ya safari ? Lbda kapata mfadhi anaenda kusoma nje.

Asiekua na hoja utamjua,yani hili jambo la mihogo ishakua isue!
 
Tatizo ni kupanda ndege?
Tatizo ni kwenda USA?
Au tatizo ni nini?
 
Akirudi anajifungia na kuishi kama mkimbizi katengeneza uadui na Wapenda mabadiliko plus viongozi wa dini kisa CCM. Nchi ina viongozi wa ajabu sana hii.

hana akiba ya maneno huyo mzee ................ viongozi wa dini aliwahusisha ili iweje? alimis target ya adui yake!
 
attachment.php
 
Katika dunia ya watu wanaomtegemea mungu huwezi kuacha kusema ukweli kisa utatengeza uadui kwahiyo waachwe wapige dili kwa ufisadi wasisemwe kisa nini hakuna hiyo.


Kama jinsi Mungu aishivyo, ninakuamuru useme dili gani Dr. Slaa kalisema, Nani mpiga dili na ulete ushahidi sasa hivi utakaposoma huu uzi.

Ukithibitisha, thamani ya hekima na kweli yako iwe kwako na vizazi vyako.

La kama unaropoka maneno haya kwa sababu ya hila na ushabiki, gharama ya kauli zako za upotoshaji na hila iwe juu ya kichwa chako wewe mwenyewe ili liwe fundisho kwa wengine.
 
Nafsi ya mwovu soku zote hujitenga na macho ya wenye haki mwache akimbie lakini ni sawa na kenge akiingiza kichwa chake shimoni kwa kuwa hakuoni anajua na wewe humuoni. Makombora yatakufikia tu mitandao bado itakutumia salamu kimwili ondoka ila uliyosema bado tunayo huku.
 
East West home is best...BON VOYAGE KIONGOZI WETU.Huko uendako tuombee amani na utulivu wakati huu wa uchaguzi.uendelee kuomba hotuba yako ya tarehe 1 sept isilete mpasuko kwa watanzania katika imani zao za kidini.endapo utajaaliwa kupata maono kutoka kwa Mungu basi utujulishe watanzania kama ulivyotuhutubia kupitia waandishi wa habari.
Hana uthu wa kuombea watu huyo, kaacha Kanisa, kazaa na kuacha mke, kachukua mke wa mtu !! Mungu gani atasikiliza mombi yake ?
 
Mzee uko sawa ngoja niendelee kutafuta mabadiliko huku nikiwa nyuma ya keyboard 2_____015
 
Kama ailivyokuwa kwa mwenzake Pof. Lipumba mara baada ya kufanya press conference alikwea pipa. Vivyo hivyo Dr. Slaa naye kakwea pia leo. Habari za uhakika ni kuwa anaelekea USA.

11951889_10203657338754355_8273820177259980967_n.jpg

11951248_10203657337074313_6252291186441749736_n.jpg

11988613_10203657337994336_3016629590105493389_n.jpg

.
Kaondoka peke yake au na yule mke wa Mahimbo?
.
 
Yaani Ccm mna akili nyingi ,strategies zote mlizozitumia kwa Lipumba ndio mnazitumia kwa Slaa sasa utanidanganya vipi hamjamnunua ???
#LOWASSAANATOSHA

Mwache aende hivi Dr. slaa alitaka aendele kuishi maisha kuwa mpinzani mpaka lini. hatuwezi kujua yamkini alikuwa na maslahi makubwa na maisha upinzani. wenzake tumeamka sasa NI mwendo wa mabadiliiko. we need change. asiyeyataka atupishe akae kabdo Lowasa oyeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom