Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Ni maisha yake binafsi. Kama hujawahi kukwea pipa pole sana
Wewe ungekwea wapi kama siyo hisani ya wakubwa?jiandae kupanda sasa super feo,
Ni maisha yake binafsi. Kama hujawahi kukwea pipa pole sana
Katika dunia ya watu wanaomtegemea mungu huwezi kuacha kusema ukweli kisa utatengeza uadui kwahiyo waachwe wapige dili kwa ufisadi wasisemwe kisa nini hakuna hiyo.
Wameliwa waliompa hela,makamanfa bado safari ya mabadiliko iko palepale
Jana baada ya kuongea na wanahabari na kuwachana Lowasa na Sumaye Huyu babu ameingia mitini ajulikani anakwenda wapi
Bado nina imani na lowasa
Na hela yote aliyopewa bado anapanda economy , kweli njaa kalii Dr , pumzika kwa amani
Jamani naomba niulize tofauti na siasa huyu Dr. ni kazi ipi huwa anafanya?
Ndio speed imezidi hadi 300km kwenye kona
hajaondoka na mshumbusi?????
Wanaweseka,wamejaribu kina polepole,lipumba,dr slaa,sasa hao vjana,duh! wanaona treini haisimami,wanajaribu kuidandia kwa mbele wanakutana na upepo wa kisurisuri
Sana mkuu hawana jinsi