dazu
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 365
- 76
Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
weka ushahidi kwanza kama alikopa 140m.
Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
Huyu mzee mbona anataka kudanganya mchana kweupe!!! Watumishi wa chama hawawezi kukopa kwingine?????? Huyu mzee anadhani kila mtu anadanganyika kama nanihii...
fedha ya uma ipi wewe kimeo?ongelea majangili ya huko uccmuni huyaoni ambayo yamehamisha kila kitu,halafu nyie magamba fedha za cdm zinawahusu nini wakati hazichangi,sie wachangiaji tumeridhika na matumizi yake tunayajua lakini ninyi mnazibebea bango.wakati mmefuga majambazi na majangili kibao.leo wewe wa kujua ufusadi wakati unajua hata kipato chako sio halali!!!Acheni hoja dhaifu za kutetea ufisadi>
Ficheni nyuso zenu kwa unafiki mnaouonyesha hadharani.
Mnapata ujasiri wapi kukemea ufisadi serikali wakati nyie wenyewe mna mizizi ya ufisadi na kutetea ufisadi?
Mtumishi wa serikali "akijikopesha" fedha ya umma mtakuwa na uhalali gani wa kuhoji kama suala hilo vile vile litaishia vikao husika?
Kweli wezi hawana aibu!
Maso utasababisha tupigwe BAN acha kunyea mdomo! hivi unataka pay in slip ukiwa kwenye chama cha majambazi ili utume majambazi wakamvamia au! "Hela ya chama" We mas)($%ri yanakuwasha mbona hadi watu wa board wamejibu. Niambie ni jambazi gani kati ya viongozi wako ameshajibu!Mwambieni Dr Slaa the damage done is collosal and permanent, credibility ya uaminifu kwa hela ya chama ina dondoka kwa kasi kubwa.
CHADEMA inatumiwa kama kampuni binafsi
Maswali mengi kuliko majibu hapa.
Tutajuaje alikopa 20mil na si 140mil
Mkopo uliidhinishwa na nani?
Je CHADEMA kina utaratibu wa kukopesha wanachama wake
Slaa anasema hawezi kukopa kwingi -si ni uongo huu?
Hana hati ya nyumba kukopea benki?
Na kukmbukumbu za pay -in slips zipo?
Nani mwingine " kajikopesha " hela ya chama?
Something fishy around here!
Let us be principled. Kwa kitendo cha katibu mkuu wa chama(Dr.Slaa) kukopa fedha ya ruzuku ni uthibitisho tosha kuwa huyu ana uroho mkubwa wa fedha na mali za umma. Ni dhahiri kwamba chama kinahitaji fedha hizi kwaajili ya kujiimarisha ya aina yoyote ile. Wanafanya kazi kwa kujitolea. Dr. Slaa analipwa kila mwezi mshahara wa sh.mil.7 plus other benefits. Huyo huyo anakopa fedha ya walalahoi ya ruzuku. Kitendo hiki alichofanya Dr. slaa ni cha kihuni, amepoteza moral authority ya kuwa kiongozi anayeweza kuaminika ktk nchi yoyote ile.Kama alikuwa na shida Je hakukuwa na namna nyingine ya kupata fedha, mpaka akope za ruzuku?
Watu wanaropoka majukwaani kuwa wanapigania haki za wananchi, kumbe wanapigania matumbo yao.
This is very bad, it is double standards.Dr. Slaa sasa awaachie vijana kazi ya ukatibu mkuu. Wakpo wengi wenye uwezo mkubwa sana zaidi yake.
SUMAYE NSSF hajarudisha viinua mgongo vyetu!Mtoto wa Mkulima.Nilimsikia ktk 1 of his speech.For more ref p'se mtafute mwenyewe.
Kwanini hataki kujibu hoja zote zilizoelekezwa kwake na masalia? Kuanzia za magafu wa mwanza, mwampamba wa mbozi, juliana na kisandu? Kwanini anachagua anayopenda yeye? Nadhani katibu mkuu anapaswa kuufahamisha umma kwa uwazi zaidi kuhusu haya mambo..
Mbowe ni mfanya biashara, ana assets nyingi, anakopesheka popote, Dr,Slaa atakopeshwa wapi?Viongozi wa vyama vya siasa wangekuwa hawawezi kukopa Mbowe angekuwa hadaiwi na NSSF. Yaani na wewe unadanganyika haraka na kirahisi namna hiyo?! au ndio ile mtu akipenda chongo huita kengeza? Mikopo ipo kwa watu wote wanaokopesheka.Kama hakopesheki basi tatizo ni lingine lakini siyo kwa kuwa ni mwanasiasa. By the way, Slaa na mshahara wa milioni 7 alikuwa na ulazima gani wa kuchukua tena milioni 20 za chama?
Kwani Tuntemeke ni nani? Unamjua? si masalia haohao. Huyu sio mtu mmoja.Mkuu, issue ni kwamba swala hili lililetwa hapa JF kwa mara ya kwanza na TUNTEMEKE ambaye alipigwa ban kwa kosa la kuleta "taarifa ya uongo". More than 14 months later, ndio babu anajitokeza kukubali kuwa alichukua pesa za chama.
Mbaya zaidi, babu anakuja na porojo kuwa watumishi wa vyama vya siasa hawaruhusiwi kukopa. Halafu babu huyuhuyu anataka aaminiwe kuachiwa Ikulu. Bado huoni issue ilipo Jasusi?
kwenye hizo mil 20.mchango wako ulikuwa sh. ngapi??Viongozi wa vyama vya siasa wangekuwa hawawezi kukopa Mbowe angekuwa hadaiwi na NSSF. Yaani na wewe unadanganyika haraka na kirahisi namna hiyo?! au ndio ile mtu akipenda chongo huita kengeza? Mikopo ipo kwa watu wote wanaokopesheka.Kama hakopesheki basi tatizo ni lingine lakini siyo kwa kuwa ni mwanasiasa. By the way, Slaa na mshahara wa milioni 7 alikuwa na ulazima gani wa kuchukua tena milioni 20 za chama?
WanaJF,
Nilidhani walioko humu ni great Thinkers. Nilisema hakuna hoja ya kujibiwa hivo sina muda wa kupoteza kujibu hoja za kufikkirika. Ni jukumu la mwenye kuleta hoja kutoa ushahidi si jukumu la mtuhumiwa. Ndio maana wakati wa EPA/B0T. Nilitoa account no, bank husika, majina ya wahusika, tarehe ya transaction na kadhalika. Kama ni kutamka anybody anaweza kutamka chochote hat a kichaa. Hivyo watanzania, nikikaa kimya maana yake nimepuuza kwa kuwa hakuna hoja ila wanaoleta wanadhamira tu ya kutuondoa kwenye hoja za msingi. Nagpenda kwa Mara ya mwisho niwahakikishie woe wenyewe mapenzi MEma Chadema iko makini, yote tunayofanya ni kwa mujibu wa taratibu zetu tulizojiwekea. Iwapo mwenye nia Njema anahitaji kufahamu jambo milango ya makao makuu yako wazi saa zote alimradi unafuata taratibu za kawaida za kiofisi.
huyo red hapo hana, na kama analo ni lakuzuga tu, mwizi mkubwa huyo...We usituletee arguments za kifala hapa jf,kwani Dhaifu hana madeni?Hana mkopo?Sasa kamuulize kama ameshayalipia akupe na ushahidi utuletee hapa.Majitu mingine kama matoto yaani...!
Kwanini hataki kujibu hoja zote zilizoelekezwa kwake na masalia? Kuanzia za magafu wa mwanza, mwampamba wa mbozi, juliana na kisandu? Kwanini anachagua anayopenda yeye? Nadhani katibu mkuu anapaswa kuufahamisha umma kwa uwazi zaidi kuhusu haya mambo..
Aliyetoa tuhuma alete ushahidi kuwa ni 140m.
pesa zilishalipwa kwahiyo tunabishania deni ambalo ni non exist watanzania sisi kwanini tunapenda kubishana vitu vya kijinga na kuacha mambo msingi utakuta mtu anabishana mpaka mishipa inamtoka kubishania simba na yanga wakati mali za taifa zinapotea hata habari hana halafu anashangaa kwanini huduma za jamii zinadidimia.
Options
Willibrod Slaa
Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.
2. Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya
Vipi Mbowe alishalipa au amefutiwa deni?SUMAYE NSSF hajarudisha viinua mgongo vyetu!
WanaJF,
Nilidhani walioko humu ni great Thinkers. Nilisema hakuna hoja ya kujibiwa hivo sina muda wa kupoteza kujibu hoja za kufikkirika. Ni jukumu la mwenye kuleta hoja kutoa ushahidi si jukumu la mtuhumiwa. Ndio maana wakati wa EPA/B0T. Nilitoa account no, bank husika, majina ya wahusika, tarehe ya transaction na kadhalika. Kama ni kutamka anybody anaweza kutamka chochote hat a kichaa. Hivyo watanzania, nikikaa kimya maana yake nimepuuza kwa kuwa hakuna hoja ila wanaoleta wanadhamira tu ya kutuondoa kwenye hoja za msingi. Nagpenda kwa Mara ya mwisho niwahakikishie woe wenyewe mapenzi MEma Chadema iko makini, yote tunayofanya ni kwa mujibu wa taratibu zetu tulizojiwekea. Iwapo mwenye nia Njema anahitaji kufahamu jambo milango ya makao makuu yako wazi saa zote alimradi unafuata taratibu za kawaida za kiofisi.
Kawabane kwanza hayo majizi menzio huko kwenye lichama la majizi! Huna hoja we kilaza tu!!Dr. Slaa ni mbumbu wa sheria. Kukaa kimpya maana yake umekubali, siyo umepuuza.Silence presuposes concerned.
Kama mnautaratibu wa viongozi wakuu wa chama kukopeshana fedha za ruzuku(fedha za umma, siyo za kibiashara), basi utaratibu huo ni mbovu, na hauna uhalali wowote kimaadili.Kwasababu hilo siyo lengo la ruzuku. Ruzuku ya fedha ya walipa kodi kwaajili ya kuimalisha demokrasia nchini. Pia, kwanini utarajibu wa kukopeshana ruzuku anufaike nao katibu mkuu tuu wa chama na si mlalahoi mwingine wa chama hichohicho? Dr. Slaa hapa umechemka. Huna mlango wa kutokea. Huu ni ufisadi wa kimkakati!