Mwambieni Dr Slaa the damage done is collosal and permanent, credibility ya uaminifu kwa hela ya chama ina dondoka kwa kasi kubwa.
CHADEMA inatumiwa kama kampuni binafsi
Maswali mengi kuliko majibu hapa.
Tutajuaje alikopa 20mil na si 140mil
Mkopo uliidhinishwa na nani?
Je CHADEMA kina utaratibu wa kukopesha wanachama wake
Slaa anasema hawezi kukopa kwingi -si ni uongo huu?
Hana hati ya nyumba kukopea benki?
Na kukmbukumbu za pay -in slips zipo?
Nani mwingine " kajikopesha " hela ya chama?
Something fishy around here!