ndo mlivyoaminishwa? au unaushahidi?
Ushahidi upo ndugu yangu. Ulimsikia Lowassa akimchallenge Kikwete kwenye kikao cha CCM kuhusu maamuzi ya Richmond? Kwamba ni Kikwete aliyeshinikiza Richmond ipewe mkataba wa kuleta umeme. Kikwete akashindwa kujibu. Richmond ikageuka kuwa Dowans. Zote hizo ni kampuni za Kikwete. Huyu ni mwizi wa mali za umma na ushahidi upo, lakini ninyi mnashupalia tu mtu aliyekopa na kulipa. Watu wa ajabu sana ninyi.