Hoja hapa siyo kukopa hoja kubwa ni kwamba mbona habari hii ilipotolewa miezi saba iliyopita Dr. Slaa hakuja kutoa ufafanuzi huu anaoutoa leo kwani hii si habari mpyaSijawahi changia thread za kijinga kama hii ila ngoja nifanye once and last. Kwani kama unafanya kazi sehemu ya kwanza kukopa ni kazini kwako au bank? Na je unapoishi utaanza kuulizia wakukukopesha jirani wa karibu au utatafuta mtaa wa tatu......Caritas peribus