Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
Kumbe wewe ni mtu usiye na hoja kiasi hiki
swala alikopeshwa na wala hajajikopesha,..alikubaliwa sababu alitimiza vigezo vya kukopa
swala la kujiuliza je mkopo ulikuwa na interest?kama ni kweli huoni kuwa hiyo interest inakwenda cdm?
Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
:A S angry: 140,000,000-20,000,000=120,000,000/= asante babu kwa kulipa baadhi ya mzigo,nauliza hivi hizo pesa zilizobaki ziko wapi????
Sioni hata hoja ya kujadili hapa. Chama kilimkopesha mtumishi wake na ameshalipa. Hakuna issue tena ya kujadili hapa.
Huyu mzee mbona anataka kudanganya mchana kweupe!!! Watumishi wa chama hawawezi kukopa kwingine?????? Huyu mzee anadhani kila mtu anadanganyika kama nanihii...
Swali jingine katiba inaeleza mwanachama anaruhusiwa kukopa fedha za chama? Kama ipo basi chama kikikusanya pesa kiweke wazi kuwa hizo pesa zitatumika kukopeshana pia sio kujenga chama peke yake.
We usituletee arguments za kifala hapa jf,kwani Dhaifu hana madeni?Hana mkopo?Sasa kamuulize kama ameshayalipia akupe na ushahidi utuletee hapa.Majitu mingine kama matoto yaani...!Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
Mkuu Aweda,una fununu zozote za matumizi ya mkopo wa tsh 140 mil alizokopa babu?Sasa Mwita Maranya, na wale wanaopata mgao wa zile bil 3 zilizotengwa kwa ajili ya kumchafua Dr Slaa na Chadema nao hawana cha kuandika kweli kama wewe??