Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Huu umati hadi kufika hapa ungewagharimu sana magamba,
We kweli mlaghaiwa!
Mtu watoto aliowazaa mwenyewe kawatelekeza halafu wewe unamwita baba yako!
By the way, hapo walimchangia sh. ngapi? Maana Slaa kila anakoenda anakusanya michango ya kumalizia nyumba yake...
Unafikiri kwa Masaburi wewe,Buku saba za Lumumba vipi zimeisha?Mh! Picha za kuedit?
MTAKOMA KURINGA CCM MWAKA HUU!![]()
Utaipenda tu, CDM Bana!
ZeMarcoPolo,
Ha ha ha ha....... Asante kwa kunichamsha asubuhi na porojo zako. Angalau nimecheka na kucheka ni afya.
Mnambowa,
Tatizo lako ni kutofanya utafiti. Hivi umejiuliza TANU tangu 1955 ofisi zake zilikuwa wapi, na tangu 1961 hadi 1975 ofisi zake zilikuwa wapi, na ni kwenye mikoa na Wilaya zipi ilikuwa na ofisi, achilia mbalimbali ofisi za hadhi?
Ndugu zangu fanyeni utafiti badala ya kujiaibisha na hoja zisizo na maana.[/QUOTE Dr.W.Slaa MUNGU AKUBARIKI,TUNAKUSUBIRI 2015 TUKUPE NCHI KABISA!
sasa yuko vwawa mbozi watu nyomi
ZeMarcoPolo,
Ha ha ha ha....... Asante kwa kunichamsha asubuhi na porojo zako. Angalau nimecheka na kucheka ni afya.
Hongera Dk Slaa.Mungu akubariki sana.Mnambowa,
Tatizo lako ni kutofanya utafiti. Hivi umejiuliza TANU tangu 1955 ofisi zake zilikuwa wapi, na tangu 1961 hadi 1975 ofisi zake zilikuwa wapi, na ni kwenye mikoa na Wilaya zipi ilikuwa na ofisi, achilia mbalimbali ofisi za hadhi?
Ndugu zangu fanyeni utafiti badala ya kujiaibisha na hoja zisizo na maana.
kila la kheri cdm
Kama hujui kujitafutia hela wewe mwenyewe lazima uwe mtumwa wa magamba,miko yoote ambayo ina watu wanaojua kutafuta hela wenyewe CCM haipati kura hata siku moja.Hakuna kiongozi yeyote wa serikali mwenye uthubutu wa kuhutubia Tunduma,muulize Raisi 2010,Makamu wa rais 2012,, shamsa vuai nahodhag,salma kikwete na mwenge!!!!hah hah
Karibu CDM!Nimekubali hawa watani zetu wanaenda kwa kasi ambayo si ya kubeza hata kidogo,nami kwa mbaaali uzalendo unaanza kunishinda ,sijui nisiwe naingia jamii forum, wandugu kazi ipo 2015 !!?? mdharau mwiba mguu utaota tende.
Njaa ni mbaya sana,najua hawa madogo wanajilaumu sana.View attachment 93202View attachment 93204View attachment 93203
huyo kijana na shoga yake uelewa wao kama wasira au Lamaeck mkumbo a.k. Mwigulu mchemba