Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Dr. Slaa ndie rais wa Watanzania wengi...na ndie tumain pekee
 
Kwa mikakati inayowekwa magamba kwisney ,watumie fursa ya muda uliobaki kujifunza kuwa wapinzani makini iwapo wata survive baada ya uchaguzi
 
Kwa kile kinachoonesha jinsi gani wananchi wa mbozi walivyo na mapenzi na chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)wameufuata msafara wa katibu mkuu wa CHADEMA DK Wilboard Slaa mara baada ya Mkutano kuisha na kulazimika barabara kufungwa kwa muda na hata shughuli kusimama.hali ililejea katika utulivu baada ya Dkt slaa kuwataka wawe watulivu na kuwashukuru kwa upendo wao.
 
uploadfromtaptalk1368377533590.jpg uploadfromtaptalk1368377570470.jpg

Wananchi wakimsindikiza Dr.Slaa jana Tunduma.!!!
 
Inna lillahi waina illaihi Rajiiun...Marehemu CCM inasemekana huko Tunduma hakuacha watoto wala wajane! Baada ya kuundekeza ushoga na kuishia kuuza vidani vya ndani vikiwemo Dhahabu, Almasi, Tanzanite pia aliendelea zaidi kuharibu bustani nzuri ya wanyama na inasadikika Twiga wengi amewauza ikiwa ni pamoja na kuua Tembo wengi sana... Marehemu CCM aliendelea kuwahonga mahasha wake wa huko ulaya kwa kuhamisha mabilioni ya dola ndani na kuwapelekea mabasha zake eti wamtunzie!
 
Katika hali kama hii ambayo watu wanajitokeza kwa wingi sana kuiunga mkono Chadema ni dhahiri kuwa magamba yanatishika kwakuwa wanatambua kuwa muda wao umekwisha.

Singo zao zote zinachuja haraka kama nyimbo za bongofleva za kutongozea mademu.
 
Tunduma ndio kitovu cha mabadiko kanda ya kusini hapa CHADEMA ni sisi,sisi ni CHADEMA leo kesho na milele.!!!

Hutaki unaacha..!!! uploadfromtaptalk1368382492251.jpg
 
nimeamini ckio la kufa halickii dawa! nikickia jina la mwigulu naona watu wenye miguu mitatu? afu we unamwita nani? jembe? jembe ma foot! cjaona bado taahira wakumzdi Nchemba.
 
sikupendi na nakuchukia cdm

Nyie hakuna mnachopenda nchi hii hata makabisa hamuapendi maana ndo mnasema yamewafanya mkose kazi.. Wenzenu wanasoma nyie mko bize kuandik kukota kulia kwenda kushoto
 
hakuna ubishi CHADEMA wanakubalika,maana hadi kule kwene mtaji wa CCM vijijini watu wameamka,maana hadi interior kabisa ambako hata network za mawsiliano hakuna wamechoka na serikali ya ccm.
 
Huwa napata shida navyosikia eti kwenye maeneo kama haya wanapata kura nyingi najiuliza zinatoka wapi ndio naanza kuelewa kuwa ni wezi wa kura na ndio maana Arumeru baada ya janja kubainika waliabika mno, viva CHADEMA viva Dr.Slaa
 
CHADEMA nchi yao hakika nimekubali mimi ni mwana CCM ila kwa hili lazima Lowasa, Membe, Sitta, Migiro, Mwinyi, Karume, Wassira, wajipange sana na nguvu itumike kubwa tena kwa msaada wa jeshi na police na usalama wa taifa na ikiwezekana na damu imwagike ndo wanaweza rudi madarakani lakini kwa hali nayo iona CCM kwisha habari yao.
 
Hivi TUNDUMA ipo kaskazini au kale kawimbo kao hawa magamba wameacha kukaimba.
 
Inna lillahi waina illaihi Rajiiun...Marehemu CCM inasemekana huko Tunduma hakuacha watoto wala wajane! Baada ya kuundekeza ushoga na kuishia kuuza vidani vya ndani vikiwemo Dhahabu, Almasi, Tanzanite pia aliendelea zaidi kuharibu bustani nzuri ya wanyama na inasadikika Twiga wengi amewauza ikiwa ni pamoja na kuua Tembo wengi sana... Marehemu CCM aliendelea kuwahonga mahasha wake wa huko ulaya kwa kuhamisha mabilioni ya dola ndani na kuwapelekea mabasha zake eti wamtunzie!


Aiiiii Ilboru huo wasifu umea mkuu wangu teh teh.....

Usisahau atakumbukwa kwa mema yake ya kugawa chumvi, kofia, fulana na ubwabwa wakati wa uchaguzi vilivo wapumbaza masikini wakampigia kura kila mara kabla ya kujitambua kupitia M4C
 
Back
Top Bottom