Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
- Thread starter
- #41
Katibu mkuu wa chadema Dr. Willibrod Slaa Leo atafungua Matawi mapya kadhaa pamoja Na ofisi ya Jimbo la Momba CHADEMA pamoja na kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma. Fuatana Na thread hii Kwa matukio mbalimbali yatakayojiri leo.
Peopleeeeees!
Mkuu Chilipamwao najua utakuwa maeneo husika hakikisha unapata picha za kutosha.
Last edited by a moderator: