Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Ma housegirl wanalika mkuu na wengi tunajisevia. Me mwenyewe baada ya kuona mke wangu anatoka na jamaa mwingine niliamua kupooza makali kwa housegirl wangu na nikawa naenjoy kwelimaana wanajua kucare na heshima inakuwa juu. Maana huku bosi, kule ni honey. So kunakuwa na utulivu kweli. Sasa nimeamua kumuacha huyu zumbukuku na nimetulia na house girl na nimefunganaye ndoa huku tukibarikiwa kwa kupata watoto mapacha wawili wa kike nakiume. Thanks God. Wakati mwingine Mungu ana makusudi yake. Ila kwa kuchukua mke wa mtu ni kashfa kubwa na huko ni kukosa ujasiri wa kutongoza. Maana wake za watu hawatongozwi bwali ni makubaliano tu hufanyika. Salamu pekee yatosha kumpata mke wa mtu hasa ikiwa mjamaa ni mvivu wa ule mchezo au kama ana kale kamchezo ka bafuni kama anavyofanya katibu mkuu wa chama fulani

atongwele we ni mngese kweli. umeadmit sio mwanamme wewe. umekubali mkeo atafunwe nawe umekubali. huyo mke ulimtafuta mwenyewe au uliletewa na wazazi lkn hukumpenda?
 
Lowassa anatakiwa kuangalia umati huu apime kama agombeee kupitia ccm au akaye nyumbani ???
Maana watu wamechoka kuongozwa na ccm !!!!

Mtaji wa lowassa upo makanisani na kwa makusudi ya wenzake ccm imechafua mtaji huo kwa suala la nani achinje !!!!
Maaskofu nchini ambao ni mtaji wa lowassa wamechoka!!!
 
lowassa anatakiwa kuangalia umati huu apime kama agombeee kupitia ccm au akaye nyumbani ???
Maana watu wamechoka kuongozwa na ccm !!!!

Mtaji wa lowassa upo makanisani na kwa makusudi ya wenzake ccm imechafua mtaji huo kwa suala la nani achinje !!!!
Maaskofu nchini ambao ni mtaji wa lowassa wamechoka!!!

Magamba kama kweli wanaithamini amani ya nchi hii, wakubali yaishe!
 
Wengi wamejitokeza kumjua huyu anayepola wake za watu na kupanga mipango ya kuuwa watu huyu ni nani? Wamsikia tu kwamba kunagwiji anitwa slaa anaandaa mipango ya kumuuwa zito ,mama zito na msaki.

Kwenye jina lako si utoe b uweke k iwe kikwete kabisa
 
Usishangae idawa kwani WanaTunduma wanamuita ni Mfalme wao.
mkuu mpaka kesho tunduma tunaamini raisi wetu ni dr. Slaa

maana kura tulizompa diwani,mbunge na ndio hizohizo alizopata dr.Slaa..
 
Last edited by a moderator:
Wengi wamejitokeza kumjua
huyu anayepola wake za watu na kupanga mipango ya kuuwa watu huyu ni
nani? Wamsikia tu kwamba kunagwiji anitwa slaa anaandaa mipango ya
kumuuwa zito ,mama zito na msaki.

yalishachuja haya na hayana mashiko tena.peter serukamba!
 
maswali mengine muulizane kwenu yaani kuku unaweza kuchanganya na bata? kinana ni kiongozi na wengine ni wanaharakati.
 
CDM walipanga mkakati mzuri sana wa kiuongozi Bungeni na nje ya Bunge ambao unatoa mbadala sawia kwa serikali iliyoko madarakani.

Kwamba; kila kiongozi wa CCM bungeni na nje ya bunge anaye mbadala wake ndani ya CDM, Kifo cha CCM 2015 ni dhahili, hata wana CCM wengi wanalijua hilo.

Madam Supika, Makinda -------------- Mbowe, Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Waziri Mkuu, Pinda -------------------- Zitto, Makamu Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Msemaji wa CCM bungeni, Lukuvi ------- Tundu Lissu, Mnadhimu Kambi ya upinzani bungeni
Raisi aka Mkuu wa nchi, Kikwete ------- Dr. Slaa; Katibu Mkuu CDM; Rais Mioyoni mwa waTZ (Majority)
Mawaziri, --------------------------------- Mawaziri Vivuli
Wakuu wa mikoa -------------------------- Wakuu wa Kanda
----------
----------
---------
Mkuu wa PoliCCM; Saidi Mwema --------------------------------- Rwakatare (haaaa haaa ), Mkuu wa Usalama CDM

Mkuu hiyo nimeipenda, chadema wako makini pia niwabunifu.wana twanga kotekote!
 
  • Thanks
Reactions: MC
mwambie muhudumu akupe kinana lager mbili kwa bili yangu

Hahaha hahaha hahaha mkuu, hiyo nimeipenda...na mimi nahitaji kinana lager 2 kwa bili yako mkuu.tena ziwe bariiiidi tafadhali!
 
amekuja na mama yako this time........

Hahaha! Hahaha! Hahaha! Mkuu kakuku wewe ni noma...kweli dr slaa ni kipenzi cha watu.wananchi wanampenda toka mioyoni.Mungu ambariki sana dr dlaa..sio kikwete ni safari tuuu zisizo na kichwa wala miguu zisizo na manufaa yoyote kwa taifa.zaidi ni kuharibu pesa wakati elimu haijaboreshwa watoto wanakaa chini kwenye vumbi, madawati hakuna yeye mwenzetu ni trip tuu na kutanua kwenye hoteli za kifahati.ama kweli kosa mali upate akili.
 
Dr slaa ni kipenzi cha watu, Mungu wetu amlinde baba yetu, dr wetu , kiongozi wetu mpendwa dr slaa.

We kweli mlaghaiwa!

Mtu watoto aliowazaa mwenyewe kawatelekeza halafu wewe unamwita baba yako!

By the way, hapo walimchangia sh. ngapi? Maana Slaa kila anakoenda anakusanya michango ya kumalizia nyumba yake...
 
Ni haki yao Mkuu; sidhani kama kuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayependa habari mbaya. By the way, hivi tukiwa-rank, ni Katibu Mkuu yupi anashika nafasi ipi kwa uongozi mahiri ndani ya vyama vyao?

1. Col. Abdulrahmani Kinana (CCM)
2. Maalim Seif Sharif Hamad (CUF)
3. Sam Ruhuza (NCCR-Mageuzi)
4. W. P. Slaa (Chadema)
5. General Secretary Emeritus Nnape Nnauye (CCJ/CCK)
6. xxx (UPDP)
7. xxx (UMD)
8. xxx (Tadea)
9. xxx (NRA)
10. xxx (TLP)
11. xxx (ADC)
12. xxx (UDP)

Hebu tupe maoni yako hapo.
hapo kwa kazi na mvuto ni Dk Silaa wa Chadema
 
Back
Top Bottom