Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
sikupendi na nakuchukia cdm
sawa marehemu sh.. yahaya........silly
sikupendi na nakuchukia cdm
2015 ccm hawatoki, hadi kijijini kwetu wazee waliokuwa wanaikumbatia ccm walisha badili mwelekeo. cdm kazeni boot nchi inachukulika.
Bora wewe unajisemea ukweli.sikupendi na nakuchukia cdm
Huyo gamba huku hana chake.Mkuu wangu ni mwanadamu gani anayependa habari mbaya?
kumbuka hapa ni nyumbani kwenu.
Chadema mnapenda habari nzuri nzuri kuhusu nyie.duh!
tunduma naona watu wameamka yaan wamebaki songea tu sijui kwa nini yaaan
daah hv huyo kwenye avatar ndo mtoto wa dr. wetuu? babu ni jembekumbuka hapa ni nyumbani kwenu.
acha kutukuza binadamu wenzio weweDr. Slaa hakika Mungu wa wote waislamu na wakristo na wasio na dini amekuleta ulikomboe Taifa hili ambalo kwa sasa viongozi wanashabikia uongo na dhuluma badala ya kushabikia haki na ukweli.
Dr. Slaa hakika Mungu wa wote waislamu na wakristo na wasio na dini amekuleta ulikomboe Taifa hili ambalo kwa sasa viongozi wanashabikia uongo na dhuluma badala ya kushabikia haki na ukweli.