Super H
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 1,070
- 405
All the best. Chukueni tahadhari zote.
nimepata tetes kuwa @mwingulu nchemba yupo maeneo hayo
All the best. Chukueni tahadhari zote.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anaanza ziara rasmi ya kichama leo katika wilaya za Momba na Mbozi.
Kiongozi huyo mwenye mvuto mkubwa wa kisiasa nchini leo atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Tunduma katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma.
Kesho Dr Slaa atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Vwawa katika wilaya ya Mbozi.
Dr Slaa anatarajiwa kupokea maelfu ya wanachama wapya wengi wao wakitokea CCM. Pia Mwanasiasa huyo asiyeyumba atazindua matawi kadhaa ya CHADEMA na kufungua ofisi mpya za chama hicho.
Katika ziara hiyo Dr Slaa atafuatana na maafisa kadhaa wa makao makuu,maafisa wa Kanda ya nyanda za juu kusini na Mbunge wa Mbozi David Silinde.
Kwa wiki hii nzima hapa Tunduma kuna hekaheka kubwa ya wananchi wakiwa na hamu kubwa na ujio wa Dr Slaa. Pia Polisi wanahaha kupiga doria huku na huko wakijipanga kusimamia usalama wakati wa mapokezi yake kwani sikuzote mapokezi ya kiongozi huyo hapa Tunduma yanautikisa mkoa mzima. Dr Slaa anachukuliwa na wananchi wa hapa kama Mfalme wa Tunduma.
Padre kuchukuwa wake za watu ndo heshima!!!
View attachment 93235View attachment 93236Tunduma saizi picha zaidi badae.!!!
View attachment 93238 umati wa watu
mkuu usishangae hii ndio Tunduma kikwete mwenyewe alikimbia hapa.!!Mh! Picha za kuedit?