Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Dr Slaa aizika CCM Tunduma

kwa jinsi Chadema ilivyojipanga ccm haina pa kuchomokea.
ccm inatia huruma

Jaman ivi katibu wetu mkuu mzee wa meno ya tembo aka dentist pia katibu wetu mwenezi yule kidomo domo waKo wapi?? au zomea zomea ya morogoro na ushind wa chadema uko kilosa vimewanyong'onyeza??
jamani naomba muamini kifo cha ccm ni mpango wa Mungu wala msisikitike sana. ah ah hii ni raha pia utamu.....
 
Wakuu kutoka hapa viwanja vya shule ya msingi mwaka Tunduma mkutano ndio umefungwa kinachoendelea ni wananchi kujitolea kwa ujenzi wa chadema.!!!!
 
Pamoja sana makamanda hapo boder ya Tunduma,tupo pamoja tunawapata bila chenga kupitia hapa JamiiForums.
 
attachment.php
Nimekubali hawa watani zetu wanaenda kwa kasi ambayo si ya kubeza hata kidogo,nami kwa mbaaali uzalendo unaanza kunishinda ,sijui nisiwe naingia jamii forum, wandugu kazi ipo 2015 !!?? mdharau mwiba mguu utaota tende.
 
Misukule ya lumumba na mikosi wao a.k.a lukosi, chilisosi.. Leo kimyaaa.... Chezea cdm weyeee
peopleeeeeeeeeeee, leo hakuna cha buku 7 mungu wangu sijui watakula nini wknd hii

lumumba bado mnaamini cdm ni chama cha msimu????, yaani hapo ni 4,4, 2 kama bayernmunich... Haahaa

cdm go go
r.i. P sisiemu.. Na ndimi zenu 7.... Itabidi mkamfufue shekhe wenu yakhya
 
Wakuu kutoka hapa viwanja vya shule ya msingi mwaka Tunduma mkutano ndio umefungwa kinachoendelea ni wananchi kujitolea kwa ujenzi wa chadema.!!!!
shukrani, ni kwa bidii yenu tumehudhuria pia na sisi humu jukwaani
 
maccm wakiona hivi matumbo ya watetemakaaaaa sasa kazi kuwatumia mapoliceccm kubakiza kes fakeeeeeeeee......
 
uploadfromtaptalk1368285830555.jpg

Rambo zikiwa zimejaa pesa kutoka kwa wanatunduma wapenzi na mashabiki wa chadema.
 
sikumbuki kumuona slaa kavaa suti kwenye mkutano wa chama kama anavyoonekana leo
 
Nzuri sana hii, nimeipenda sana, viva Dr Slaaaa na CDM kwa ujumla, mikutano mwanzo mwisho
 
attachment.php

Utaipenda tu, CDM Bana!

Sio CHADEMA hata gazeti la mkiti wetu ndo linaloongoza kwa kukubalika, mfano Tanzania Daima la jana liliisha mapema sana Dar na walokuwa wanaandika upuuzu wao hapo ndo walolinunua zaidi.Magamba na matamasha Makamanda kazi tu.
 
Nimekubali hawa watani zetu wanaenda kwa kasi ambayo si ya kubeza hata kidogo,nami kwa mbaaali uzalendo unaanza kunishinda ,sijui nisiwe naingia jamii forum, wandugu kazi ipo 2015 !!?? mdharau mwiba mguu utaota tende.

Unene ukweli hata kwa gharama kubwa, kwani utakuweka huru daima.
 
Barabara ya mji mdogo umefungwa kwa msafara wa Dr. Slaa.
Ama kweli watu wameichoka ccm.!!!
 
Jaman ivi katibu wetu mkuu mzee wa meno ya tembo aka dentist pia katibu wetu mwenezi yule kidomo domo waKo wapi?? au zomea zomea ya morogoro na ushind wa chadema uko kilosa vimewanyong'onyeza??
jamani naomba muamini kifo cha ccm ni mpango wa Mungu wala msisikitike sana. ah ah hii ni raha pia utamu.....
Slaa baada ya kushindwa kumuuwa zito na mama yake zito sasa wanapanga mipango mipya ya kumaliza zito.
 
Wakuu kutoka hapa viwanja vya shule ya msingi mwaka Tunduma mkutano ndio umefungwa kinachoendelea ni wananchi kujitolea kwa ujenzi wa chadema.!!!!

Asante sana idawa Mungu akubariki kwa kazi nzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu idawa hivi MWANDUSU alikuwepo eneo la tukio? Na kama alikuwepo kadi ya magamba lazima ataludisha,
 
Back
Top Bottom