Huo moto mtawasha nyie,waoga kama yeye mwenyewe. Nimesikia na Mnyika ameomba awe analala CRDB tena ndani ya sefu.Dr Slaa ni mwanaume wa Shoka, wakamtoe meno na kucha waone kama nchi haijawaka moto. Pumbavu sana.
Huo moto mtawasha nyie,waoga kama yeye mwenyewe. Nimesikia na Mnyika ameomba awe analala CRDB tena ndani ya sefu.Dr Slaa ni mwanaume wa Shoka, wakamtoe meno na kucha waone kama nchi haijawaka moto. Pumbavu sana.
pumbavu wewe
Katibu mkuu wa Chadema na aliyekuwa Mgomba wa urais mwaka 2010 kupitia chama cha CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani na kinacho ongoza kwa umaarufu na kupendwa na watu wote hasa vijana Nchini tanzania na Nchi za jirani Dr.W.Slaa, amesema hatokubali kuhojiwa na polisi juu ya habari za kutishiwa kuuwawa kwa viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho kwa kile alicho dai kwamba hana imani na jeshi hilo la polisi.
Ni hayo tu.
dr slaa ni mwanaume wa shoka, wakamtoe meno na kucha waone kama nchi haijawaka moto. Pumbavu sana.
Singo imegoma kuuzika, kwa hiyo anataka kuhojiwa na nani KGB au FBI.
Akitaka atake asitake atahojiwa tu, hao vibaraka zake wa nchi za nje walio mwambia alete uzabi zabina wa maneno ya uwongo waje wamsaidie, kwani kwa hili hatoki hata chembe.
Singo imegoma kuuzika, kwa hiyo anataka kuhojiwa na nani KGB au FBI.
mods siku hizi wapo likizo au wamegeuza jukwaa hii kuwa la vilaza wa kila aina mtu kama huyu anatukana hasatahili ban???
Huo moto mtawasha nyie,waoga kama yeye mwenyewe. Nimesikia na Mnyika ameomba awe analala CRDB tena ndani ya sefu.
sibishani na kobe kama wewe!!
atume number? We hujui hakuna watu waoga kama hawa mapambe wa Slaa.tuma namba ya simu tu,
Ni kweli acha akatae manake hii serikali dhaifu ya JK hata haijulikani nani police nani alshababu.....anaeza kwenda kwa mahojiano afu akajikuta msitu wa pande akiwa hana meno wala kucha!......asiende asee!
Nilidhani unajipendekeza kwa William Malecela tu ili akutafune kumbe hadi ubongo wako mwenyewe kumbe umeshaooza!! Jingas kabisa.Huo moto mtawasha nyie,waoga kama yeye mwenyewe. Nimesikia na Mnyika ameomba awe analala CRDB tena ndani ya sefu.
Hii ndio faida ya kuwa msomaji wa hadithi za shigongo
Sema wewe kama wewe!!! na huyo mtu wa kawaida ndo yupi???pamoja na hayo.Umeandika taarifa hii kwa ushabiki mno mpaka mtu wa kawaida anaelewa wewe uko katika itikadi gani! Na kupoteza reputation ya kuwa jf!