Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Dr Slaa ni mwanaume wa Shoka, wakamtoe meno na kucha waone kama nchi haijawaka moto. Pumbavu sana.
Huo moto mtawasha nyie,waoga kama yeye mwenyewe. Nimesikia na Mnyika ameomba awe analala CRDB tena ndani ya sefu.
 
Katibu mkuu wa Chadema na aliyekuwa Mgomba wa urais mwaka 2010 kupitia chama cha CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani na kinacho ongoza kwa umaarufu na kupendwa na watu wote hasa vijana Nchini tanzania na Nchi za jirani Dr.W.Slaa, amesema hatokubali kuhojiwa na polisi juu ya habari za kutishiwa kuuwawa kwa viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho kwa kile alicho dai kwamba hana imani na jeshi hilo la polisi.
Ni hayo tu.

Ni hivi kwanini genge linalotaka kuwaua ndo liwahoji? Safi Dr. Slaa
 
Huyo Dume la Mbegu za bamia anafurahisha kweli, naona anafikiri kuwa Watanzania wa leo ni wa kupelekwapelekwa, safari hii mtu hata akiingizwa jela bila hatia ya kweli, polisi watajuta, Mahakama zitashtuka, Askari Magereza watalia na Magereza yatavunjwa ili hao wasio na hatia watolewe, wawe huru na waendelee na shughuli zao za kimaendeleo na za kuikomboa jamii,

Wakiwalisha kitu chochote kibaya au kuwachoma sindano za sumu pindi wakiwa jela ili zije kuwadhuru au kuwaua taratibu, au wakiwaua wakiwa humo ndani au chini ya polisi wao wahuni, watalia kilio cha ajabu mno, watasambaratishwa, watapotezwa mpaka watashangaa,

Wananchi watawamaliza Waheshimiwa, msijifanye nyie mnajiamini sana, Wananchi wa leo wana hasira sana na nyie, nyie ni binadamu tu, msilete jeuri, mkileta ujinga wenu tena, mtapotezwa fasta
 
Ni kweli acha akatae manake hii serikali dhaifu ya JK hata haijulikani nani police nani alshababu.....anaeza kwenda kwa mahojiano afu akajikuta msitu wa pande akiwa hana meno wala kucha!......asiende asee!

Ni polisi wepi wa kumhoji? Ni walewale waliojifanya kwenda mhoji alipokuwa mbunge na kutegeshewa vinasa sauti; kuvichukua na kutokomea navyo? Walewale waliochunguza hujuma za kumwagiwa tindikali waandishi, kuuwawa kwa makada wa Chadema Igunga, Arumeru na "waliochunguza kushambuliwa kwa mapanga wabunge wa Chadema kule Mwanza mbele ya mapolisi na ambao hadi leo hawajapatikana? Kwa mtaji huu hana ulazima wa kujieleza kwanikufanya hivyo kutawapa maarifa ya "kuboresha" uhalifu dhidi yake na chama chake.
 
Kuna sababu nyingi ambazo zinasababisha akatae kuhojiwa na vyomba vya magamba usalama,mfn kutwekwa kwa wabunge wa chadema mwz,kunusurika kuuwa kwa mch.msigwa,kutekwa na kuchinjwa mwenyekiti wa cdm arusha,kuuwawa vijana wa bodaboda waliokuwa wanapeperusha flag ya cdm kwenye kampeni arumeru,kutekwa kwa wafanyabiashara wa madini chini abdalah zombe na mengine mengi sana.dr kawashtukia hawa wauwaji.
 
Mods nitendeeni haki vp?thread yangu mmeibania,ukweli haki yao tuwape hawa magamba.
 
Back
Top Bottom