Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Kama mtu alikua hana habari basi na ajue tangu sasa kwamba wananchi tuliowengi HATUNA TENA IMANI na vyombo vyetu kibao vya usalama na mahakama vyote ambavyo hivi sasa vinaongozwa na MAKADA-WA-CCM kwa ushabiki wa hali ya juu na MAELEKEZO YA KILA DAKIKA toka Magogoni.
Siwadanganyi ndugu zangu wana JF. Mi mwenyewe sina imani na Jeshi la Polisi, Serikali, Usalama wa Taifa (Kama siyo Uhasama wa Taifa) na CCM. Dr. ana haki ya kutokuwa na imani na hawa watu maana ni matukio kibao ambayo amewapelekea lakini hawajafanyia kazi. Dr. Mwakyembe ambaye ni mwenzao, alilalamika kuchakachuliwa na watu wake, lakini hadi leo Jeshi hilo hilo halijawahi kutoa majibu yenye maana, sembuse mpinzani?. Sijaona wenye usafi wa kumhoji Dr.:behindsofa: