Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Dr.Slaa kasema kuna mahojiano mengi alishafanya na polisi lakini hamna matokeo yanayo onekana. Kasema moja ya mambo aliyo fanya mahojiano na polisi bila majibu ni;
1.Watu waliotegesha kwenye kitanda chake vinasa sauti alipokuwa Mbunge. kasema Polisi waliondoka na vile vinasa sauti hadi leo hamna majibu yoyote.
2.Wabunge wake walio pigwa jijini Mwanza, hadi leo polisi hawajatoa majibu au maelezo juu ya mahojiano hayo.kasema polisi watoe taarifa kwanza.
Ni hayo tu.
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa...

006.WALK.JPG


Hapa siongelei viatu walivyovaa. Kwi kwi kwi teh teh teh
 
...Mbona hawakuwahoji wale raia ambao hawakuwa hata na manati kule Songea, Arusha, ZNZ na Mara?mahojiano ya mano o mano POLIMAGAMBAZ hawawezi kwakuwa ni dhaifu sana, ndiyo maana WAMEANZISHA MAHOJIANO MAALUM NDANI YA MSITU MNENE WA MABWE PANDE! ... Mtu mwenye akilini hawezi kukubali kuhojiwa na wauuaji ...
 
Kwani ni pombe gani isiyotumia hiyo process ambayo we unaiita "kuoza"? unajuwa "aging" wewe?

Hata uiite vipi ni uozo tu. Halafu pembeni utumbo wa kuchemshwa bila kuoshwa, mnhhh, mna moyo kweli nyie.
 
Kwa vyovyote vile, hata me nisingekubali kuhojiwa na watuhumiwa!!!!
 
Dr Slaa unahitajia mkutano kutoa na kuhubiri imani hio ,na isitoshe huna imani na jeshi la polisi na pia huna imani na mahakama ni mambo ambayo wananchi watapenda wayasikie kupitia kwenye mikutano na sio vipembeni .

Mbona kesha sema na hata juzi karudia kawauliza ziko wapi tape walizo chukua kuchunguza akiwa Mbunge alizo tegewa chumbani .Unataka aseme in the open mara ngapi Mwiba ?
 
Hata uiite vipi ni uozo tu. Halafu pembeni utumbo wa kuchemshwa bila kuoshwa, mnhhh, mna moyo kweli nyie.


Zomba hii ni njaa ya mshahara mdogo UD ? Kwa akili hii hata somo lako la Uchumi sijui kama lina kichwa wala miguu
 
Wenye akili tumeshapata jibu. Madai yao ni ya uongo

Hivi polisi walitoa taarifa ya uchunguzi wa tukio la kuwekewa (Slaa) vinasa sauti chumbani? Au bado wanasubiri awapelekee ushahidi?
 
mchumba wake alipovamiwa na majambazi na risasi kurindima ni polisi hao hao waliofanya juhudi za kuwasaka na hatimaye kunaswa na mchumbawe akaitwa kuwatambua na aliwatambua...... leo hii hana imani nao...!!!! SIASA MCHEZO MCHAFU!!!
 
Mkuu ni wazi hatutaweza kuelewana.

Halafu ule utumbo niliujaribu nikaona una kaladha kauchunguchungu kuuliza nini inafanya hivyo? jibu nililopewa hata kuliweka nachafukwa (ıʌɐ&#623😉.
 
Jamani mnyika bado tu kajificha? Mwambieni asiogope tumemsamehe.
 
mchumba wake alipovamiwa na majambazi na risasi kurindima ni polisi hao hao waliofanya juhudi za kuwasaka na hatimaye kunaswa na mchumbawe akaitwa kuwatambua na aliwatambua...... leo hii hana imani nao...!!!! SIASA MCHEZO MCHAFU!!!


Umeona eeeh, halafu juu huko post #167 nimeweka picha, kamuomba Rais wa hiyo Serikali asiyokuwa na imani nayo akaongoze matembezi ya kumchangishia fedha za kazini kwake. Isitoshe, "sponsor" mkuu wa hayo matembezi ni Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Vodacom.
 
Halafu ule utumbo niliujaribu nikaona una kaladha kauchunguchungu kuuliza nini inafanya hivyo? jibu nililopewa hata kuliweka nachafukwa (ıʌɐ&#623😉.
Kati ya yote unayosema sioni hata moja la ajabu kwangu, ndo maana nikasema hatutaweza kuelewana, ungekuwa unatumia akili ungenielewa kuwa hatutaweza kuelewana, wewe mswahili?
 
Hapo kwenye red, una uhakika gani na uliyoandika? Yaani Mungu aache kushughulikia ukombozi wa mwanadamu toka dhambini, aanze kushabikia Chadema au chama chochote kile cha siasa? Kajipange kwa ushabiki usio na tafakuri mkuu.
Ni neno la kukubalika, tena lasitahili kuaminiwa ya kuwa Kristo alikuja awaokoe wadhambi, ambao wa kwanza wao ni mimi.

Well.. Mungu yuko bize na kuwarudisha walio litumia vbaya jina lake kwa Viapo feki na kuupa UTUKUFU UKUMBI UNAOTUNIKA KUPABGA NJAMA ZA KUWANYONYA WATANGANYIKA.(Bunge)
. Shalom.. Wajumbe wa Mungu wanadanya kazi vyema (CDM) Kuwaelimisha Watanganyika.. Japo tunao wanao wadhihaki wateule wako (kana wayahudi walivyo mtenda mwanao) ila wengi tunaimani saa ya UKOMBOZI IKO NJIANI.. M4C Daima!!!
 
Ni polisi wepi wa kumhoji? Ni walewale waliojifanya kwenda mhoji alipokuwa mbunge na kutegeshewa vinasa sauti; kuvichukua na kutokomea navyo? Walewale waliochunguza hujuma za kumwagiwa tindikali waandishi, kuuwawa kwa makada wa Chadema Igunga, Arumeru na "waliochunguza kushambuliwa kwa mapanga wabunge wa Chadema kule Mwanza mbele ya mapolisi na ambao hadi leo hawajapatikana? Kwa mtaji huu hana ulazima wa kujieleza kwanikufanya hivyo kutawapa maarifa ya "kuboresha" uhalifu dhidi yake na chama chake.

Hatuna police tanzania.....tuna genge la wauaji walojivika jina la police!
 
Kati ya yote unayosema sioni hata moja la ajabu kwangu, ndo maana nikasema hatutaweza kuelewana, ungekuwa unatumia akili ungenielewa kuwa hatutaweza kuelewana, wewe mswahili?

mie mrombo!
 
Back
Top Bottom