Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Katibu mkuu wa Chadema na aliyekuwa Mgomba wa urais mwaka 2010 kupitia chama cha CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani na kinacho ongoza kwa umaarufu na kupendwa na watu wote hasa vijana Nchini tanzania na Nchi za jirani Dr.W.Slaa, amesema hatokubali kuhojiwa na polisi juu ya habari za kutishiwa kuuwawa kwa viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho kwa kile alicho dai kwamba hana imani na jeshi hilo la polisi.
Ni hayo tu.

Chama kinachoongoza nchi hukijui?
 
Kuna kipindi nilisikia na kusoma kwenye Magazeti kuwa CCM ilitaka kuwatumia Al-Shabaab kipindi fulani, ule Uchaguzi uliopita ili wawadhuru baadhi ya Viongozi wa Upinzani wa Tanzania, sijui wanategemea Africa na Dunia kwa ujumla itawafanyaje?!,

Watu wanapambana na magaidi wao wanataka kuwa marafiki wao, halafu watu, Viongozi wa Dini, wasikubali Ugaidi uhusishwe na Uislamu, ni kwamba tu Magaidi wengi ni waumini wa Dini hiyo, Magaidi wanatumia Dini waliyomo kujieleza kuwa wanaonewa na Dini nyingine, kama mtu wa Dini yako au Kabila lako anatenda uovu, ona uovu anaoutenda, usimtetee kama ni hatari kweli kwa jamii, naona Magaidi wanataka Vita yaTatu ya Dunia itokee, na iwe ni ya Kidini,

Kwa hili watu wawe makini nalo, waovu wa kweli, wanaohatarisha maisha ya watu, wasitetewe kwa misingi isiyo ya kweli, Waislamu wasikubali kupewa reasons za uongo na wenzao, kuwa wanaitetea Dini, wakati wanataka just kuleta fujo Duniani kwasababu zisizo za kweli, zaidi ya kutaka kujinufaisha wao binafsi kwa namna fulani, wakatae kupokea misaada na fedha za misaada, hata mikopo kutoka kwa watu ambao wanajihusisha na Ugaidi Duniani kama tulivyoikataa misaada ya wale Mashoga, umaskini wetu, usitufanye tujiingize kwenye matatizo makubwa, yatakayotutesa na kutukosesha raha, tujitahidi kufanya kazi na tujitahidi kutumia fedha za jasho la kweli, fedha safi
 
THE GOVERNMENT CANNOT STAND ACCUSED FOR 'A CONTINUED PLANNED POLITICAL KILLINGS' AND AGAIN PRESENT ITSELF AS AN INVESTIGATOR TO INVESTIGATE ITSELF!!!

It beats logic and common sense for anybody to expect Dr Slaa to present himself for an interogation by the NOW POLITICALLY SCANDALOUS ARMED FORCES that are widely believed to be on the loose in KILLING THE CITIZENS of dissenting voices throughout the country.

Many heinious killings by police in the country to-date are still fresh in everyone's mind yet nothing is being done to bring people to justice apart from shear concerted efforts by the authorities to undertake state cover-up on everything.


Jeshi hili la polisi unaliliongelea si ndio liliofanya uchunguzi na hatimaye kumkamata mtuhumiwa wa mauji wa mwenyekiti wa Chadema kule Arumeru? Iweje leo hii mdai eti jeshi haliamiki kama si uongo ni kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
THE GOVERNMENT CANNOT STAND ACCUSED FOR 'A CONTINUED PLANNED POLITICAL KILLINGS' AND AGAIN PRESENT ITSELF AS AN INVESTIGATOR AND THE JUDGE IN A CASE AGAINST HER OWN SELF!!

Ewe Ndugu CHAMA,

Kama ni kweli wewe ni Great Thinker mojawapo humu, na kwamba unajua kusoma na kuandika vema, basi sina neno zaidi kwako zaidi ya kukuelekeza kusoma upya na pengine kuendelea kupingana na NGUVU YA HOJA nilioikwishaitundika hapa ubaoni kama ifuatavyo ...

It beats logic and common sense for anybody to expect Dr Slaa to present himself for an interogation by the NOW POLITICALLY SCANDALOUS ARMED FORCES that are widely believed to be on the loose in KILLING THE CITIZENS of dissenting voices throughout the country.

Many heinious killings by police in the country to-date are still fresh in everyone's mind yet nothing is being done to bring people to justice apart from shear concerted efforts by the authorities to undertake state cover-up on everything.

Kimsingi, serikali kamwe haiwezi ikasimama kuwa Mpelelezi katika shutuma nzito kama hii dhidi yake. Ikitokea hali kama hiyo basi itakua ni jambo la ki-historia ajabu AND ONLY IN TANZANIA.

The next best thing that the scandal-ridden Kikwete government can at least do at this point is to let the same authority of the COMMANDER-IN-CHIEF OF THE ARMED FORCES, if any in our country, to revoke his illegal orders on a cross-section of the forces to kill, by guaranteeing a 24-hour safety and security of all CHADEMA leaders already in threat.

Anything lest of a 24-hour guaranteed safety and security of the CHADEMA threatened leaders, in my humble opinion,
is nothing but a TICKING BOMB yet to explode in the face of the much oppressing minority and desolate and most desparate Kikwete government the moment the youths chose to step in to defend and protect their CHADEMA leaders.

Jeshi hili la polisi unaliliongelea si ndio liliofanya uchunguzi na hatimaye kumkamata mtuhumiwa wa mauji wa mwenyekiti wa Chadema kule Arumeru? Iweje leo hii mdai eti jeshi haliamiki kama si uongo ni kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Huo moto mtawasha nyie,waoga kama yeye mwenyewe. Nimesikia na Mnyika ameomba awe analala CRDB tena ndani ya sefu.

Ukiwa unafikiri kabla ya kuandika sidhani kana utaandika kitu Kama hichi,zaidi ya hapo utakuwa umeandika kiushabiki
 
Kwako Dr.Slaa
Asante sana Dr.kwa busara uliyotumia na hasa kuthubutu kuweka mambo hadharani tulikuwa tunasubiri watu jasiri kama wewe na Dr,Ulimboka na Mnyika hakika mwezi juni na julai nimeiandika kwenye historia ya nchi hii kama miezi ya mashujaa wetu.
Nani amewahi kuisema hadharani UWT kwa matese wanyofanyia watanzania wengin tulikaa kwa hofu ya kutoisema serikali vibaya.Uoga wetu uliwafanya UWT kuota kiburi sasa ni muda muafaka baada ya wewe na Ulimboka kufungua ukurasa mpya kwamba hata wao UWT wanaweza kusemwa hadharani.Ndiyo maaana nadiriki kusema DR.W.P.SLAA na Dr.Steve Ulimboka NI MAJEMEDALI wetu, na kuanzia sasa UWT hawana chao wametuibia sana na wametuua sana.kWA UJASIRI HUO wa Dr.SLAA naamini hutayumbishwa na statement ya nchimbi tulia mzee vuta pumzi 2015 iko karibu tutakuja kukusalimia ikulu tutapokutembela kuja kutoa ushauri namna ya kushusha zaidi bei ya mabati , cement na sukari just few.
 
hiki kibabu kibachela nacho kishapoteza umaarufu wamebaki majuha wenzake ndio wamuungao mkono

Ndoto za alinacha zinakusumbua! Endelea kuota kwa kudhani jk anapendawa na watz woote na ccm inapendwa mno!
Inakusaidia, maana ukiujua ukweli unaweza kunywa sumu!
 
Na wewe umekosea kidoooogo Mkuu, sio Ulaya, America, Asia, Australia, bali hata Mungu na Malaika wanakipenda hicho chama, na ndio maana Sisi tuna Mungu, wao wana walichonacho.

Hapo kwenye red, una uhakika gani na uliyoandika? Yaani Mungu aache kushughulikia ukombozi wa mwanadamu toka dhambini, aanze kushabikia Chadema au chama chochote kile cha siasa? Kajipange kwa ushabiki usio na tafakuri mkuu.
Ni neno la kukubalika, tena lasitahili kuaminiwa ya kuwa Kristo alikuja awaokoe wadhambi, ambao wa kwanza wao ni mimi.
 
Siku zote sauti ya wengi huwa ni sauti ya Mungu. Sasa mpaka hapo jibu unalo kuhusiana na alichokiandika mwenzetu hapo juu.

Ukombozi wa umma kuondokana na serikali ya wala rushwa ni juhudi zimpendezao Mungu pia.


Hapo kwenye red, una uhakika gani na uliyoandika? Yaani Mungu aache kushughulikia ukombozi wa mwanadamu toka dhambini, aanze kushabikia Chadema au chama chochote kile cha siasa? Kajipange kwa ushabiki usio na tafakuri mkuu.
Ni neno la kukubalika, tena lasitahili kuaminiwa ya kuwa Kristo alikuja awaokoe wadhambi, ambao wa kwanza wao ni mimi.
 
Watoe kwanza taarifa kuhusu kinasa sauti na mengine mengi tu, wasidha wanakabiliana na wakurupukaji, unajuwa watawala wetu niwa tu wa kujisahau sana.Yani wanaona watu ni wajinga sana, wapi hizo ripoti nyingine?Mbona mtuhumiwa aliyetambuliwa hajakamatwa?Nampongeza Dr Slaa kwa hatua yake hii, i thought he should've done, and thats what he did.
Kukubali kuhojiwa kabla ya kutoa maelezo ya uchunguzi wa awali wa mambo aliyofanyiwa Dr Slaa ni biashara kichaa.
 
Nikipata nauli mjini nitakufwata iyeee, mjomba iyee.......
 
Nyinyi pigeni kelele tu Mkwele leo ametuwa London UK, kuendelea na utalii wake, nadhani Membe hana kazi kama waziri wa mambo ya kigeni.

Wangetumia akili kidogo basi waondoe cheo cha waziri wa mambo ya nje.
 
Back
Top Bottom