Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Ovyo dhaifu. Zomba wewe, ritz tume ya katiba na wengine wengi siku izi mmejipanga kutuharibia jf. Nahisi mko ofisi moja mnatega new thread mjibu mnavyojua ovyo kabisa.

Mdogo wangu jenga hoja acha kulia lia JF sio mali ya Chadema pambana.
 
Hana la kueleza,amejua ataumbuka.

acha kuchemka wewe! amesema anayetilia mashaka madai yake aende mahakamani huko ndiko atamwaga ushahidi wote! sasa hawa polisi ndio anawatuhumu halafu haohao waje kumhoji mbona na wewe upo kama yale maviazi yasioiva??
 
Wewe makalio peleka uchwara wako huko, na ukiingia kwenye anga nakutoa meno sita natoboa na macho yako yote pambaf
 
Dr Slaa ni mwanaume wa Shoka, wakamtoe meno na kucha waone kama nchi haijawaka moto. Pumbavu sana.
 
THE GOVERNMENT CANNOT STAND ACCUSED FOR 'A CONTINUED PLANNED POLITICAL KILLINGS' AND AGAIN PRESENT ITSELF AS AN INVESTIGATOR TO INVESTIGATE ITSELF!!!

It beats logic and common sense for anybody to expect Dr Slaa to present himself for an interogation by the NOW POLITICALLY SCANDALOUS ARMED FORCES that are widely believed to be on the loose in KILLING THE CITIZENS of dissenting voices throughout the country.

Many heinious killings by police in the country to-date are still fresh in everyone's mind yet nothing is being done to bring people to justice apart from shear concerted efforts by the authorities to undertake state cover-up on everything.

Kimsingi, serikali kamwe haiwezi ikasimama kuwa Mpelelezi katika shutuma nzito kama hii dhidi yake. Ikitokea hali kama hiyo basi itakua ni jambo la ki-historia ajabu AND ONLY IN TANZANIA.

The next best thing that the scandal-ridden Kikwete government can at least do at this point is to let the same authority of the COMMANDER-IN-CHIEF OF THE ARMED FORCES, if any in our country, to revoke his illegal orders on a cross-section of the forces to kill, by guaranteeing a 24-hour safety and security of all CHADEMA leaders already in threat.
 
acha kuchemka wewe! Amesema anayetilia mashaka madai yake aende mahakamani huko ndiko atamwaga ushahidi wote! Sasa hawa polisi ndio anawatuhumu halafu haohao waje kumhoji mbona na wewe upo kama yale maviazi yasioiva??

siku hiyo atakunya kunde
 
Kuna haja ya kuandaa report kama USHAHIDI kwa unyama na mauaji yanayofanywa na Serikali ya CCM na report hii ipelekwe UN na ICC. Lazima hawa majambazi wa CCM washtakiwe kwenye hakama za kimataifa.

Pambaf zao.



UN na ICC KUNA MABWANA ZENU HUKO? PAMBAF
 
maskini wabongo hakuna sheria ya kumlazimisha mtu aseme, kama hataki basi. kuhojiwa ni suala la hiari, labda kama akikataa kufanyahivyo mahakamani na penyewe ni suala la hakimu au jaji si serikali tena. kwelii nchi hii tuna mawaziri.
 
mtuambie kwanza mtaenda kumhojia wapi!?
A. Kwenye gari isiyo na plate number? Hapana nadhani itakuwa makao makuu ya chadema mtaa wa ufipa knondoni
b. Kwenye ile nyumba mliko mpeleka ulimboka? Hapana itakuwa uwanja wa taifa ndani
c. Kwenye ule msitu wenu maarufu. Nyumbani kwa mzee mtei
d. Pale kwenu lumumba?
hapana samora
 
Hongera Dr Slaa Rais.Mtarajiwa kwa maamuzi yenye hekima na busara kubwa.
busara gani alio tumia hapo, zaidi ya kuonyesha uzembe wa kufikiri,nyie mpeni kichwa tu huyo mzee,yuko njiani kwenda kunyea debe halafu huyo junior sijui atapatia wapi maziwa.
 
Back
Top Bottom