Usijadili usiyo yajua ndugu yangu.AL
Alikuwa mke wa mtu wakati silaa akiwa Chadema lakini baada ya usaliti na kutumika kama dodoki pale hotelini analindwa tena yupo juu ya sheria hashikiki.N;B hiyo picha hapo juu mbona sioni dalili ya pete kwa mwali au macho yangu?
Mkuu huwezi kuiona maana mushumbusi tayari ana ndoa yake hivyo siyo raisi avalishwe pete 2AL
Alikuwa mke wa mtu wakati silaa akiwa Chadema lakini baada ya usaliti na kutumika kama dodoki pale hotelini analindwa tena yupo juu ya sheria hashikiki.N;B hiyo picha hapo juu mbona sioni dalili ya pete kwa mwali au macho yangu?
Hata hiyo dua yako inatosha , wacha kutukumbusha wimbo ulikwisha tuchosha wa kuwambea watawalaMzee kaondoka kwenye siasa lakini siasa bado inamuandamisha, leo hii vijana badala ya kumpongeza wanamtolea maneno ya kashfa kisa aliamua kujitoa kwenye siasa za kishenzi. Ndugu zangu,tumpongeze Mzee Slaa na tumuombee maisha mema ya ndoa.
U must be idiot..... U need to check up ur mental health.....Kama unataka kuolewa si useme tu, au uliachwa na mmeo? Acha kuongea kunyume nyume.
He's a quieter. It is difficult to.say what he likes to do most. Cause...Mzee kaondoka kwenye siasa lakini siasa bado inamuandamisha, leo hii vijana badala ya kumpongeza wanamtolea maneno ya kashfa kisa aliamua kujitoa kwenye siasa za kishenzi. Ndugu zangu,tumpongeze Mzee Slaa na tumuombee maisha mema ya ndoa.
MUNGU HANA MOYO MGUMU KAMA WAKO...HATA DHAMBI YAKO IWE NYEKUNDU KAMA DAMU LAKIN ATASAFISHA NA KUWA CHEUPE KAMA JUA......alieuacha upadri.....akavunja nadhiri ya upadri wake aliowekewa mikono na mapadri......akashindwa kuuvumilia upadri.....akafanya unyanganyi ....hatimaye ....akaoa......mungu amsimamie.....!?
toka utoswe ubunge wa rombo una hasira sana na chadema..si uhame chama tu yanini kuutesa moyo wako hivi hamia act wazalendoTatizo kwetu waafrika Dini imegeuka kuwa uchawi mbaya kuliko hata uchawi wenyewe.Na wewe inawezekana ni victim
huyu ndio Ben sa 8 aka Kifaranga cha Babu, sasa kina lia lia hakimuoni mama na hakijui pa kwenda... ha ha ha !! siasa bwanaNikisoma comments za watu wanaoongea negative kuhusu mtu kufunga ndoa inanishangaza sana
Kisaikolojia naona dalili za wivu tu hakuna kingine
Kuna kijigazeti fulani kinamilikiwa na makanjanja fulani toleo lifuatalo utaona kitaweka suala la ndoa na hii picha front page na au ukurasa wa katikati.Kisha kitajiita "Gazeti la Uchunguzi"
That's just how losers and mediocres console themselves
You should face your own life if you have one
Wengine watakuja hapa kulalamika mbona hajafungia nchini kama wale waliolialia kwenye thread ya jana usiku
Hii tabia ya kuzamia kwenye sherehe za watu ipo Tanzania tu.Dunia haiko hivyo
Tubadilike tuache majungu,Wivu na Chuki.
It will cost you nothing kutoa maneno ya Baraka kwa mwenzako aliyetenda jambo la kheri
Who the hell are you to judge others?
Tena wengine kama huyu anamtaja "mungu" wake kwa kumuandika kwa kuanza kwa Herufi ndogo,unafiki tu wa kutaka kuonyesha kuwa sisi tunamjua Mungu zaidi kuliko wengine.
Get a life !
Josephine amevaa gloves au?Kubenea njoo chukua picha hizi ukauzie kipeperushi chako cha Mwanahalisi
![]()
toka utoswe ubunge wa rombo una hasira sana na chadema..si uhame chama tu yanini kuutesa moyo wako hivi hamia act wazalendo
Hapa nimegundua vitu viwili siasa na maisha binafsi yamtu,watu lazima tuelewe kwamba kila binadamu anayo haki ya kufanya kitu chochote kile pasipo kuvunja sheria ya nchi. Dr slaa ametimiza ekaristi takatifu(imani za kiroma) katika dini.
Siasa;watu hili suala la Dr Slaa kufunga ndoa limewagusa watu wengi,ikumbukwe kwamba Dr Slaa alikuwa kada wa CHADEMA na jinsi alivyotoka paleCHADEMA makada wa CHADEMA hawakufurahishwa japo sio wote. So makada hao wamejenga package kwenye mioyo yao ambapo inapelekea lolote atakalo fanya DR halitakuwa positive hata likiwa jambo lenye manufaa kwa Taifa.
MAISHA BINAFSI; hili ndilo tatizo la siasa ugomvi wake hauishi kirahisi yaani kuna long-term course na short-term course,CHADEMA wana long-term course maana tangu last year haya matatizo hayaishi kuhusu Dr Slaa. Lazima watu tuelewe kwamba sio kila muda mtu utazungumzia siasa kuna muda mwingine mtu utafanya mambo yako binafsi,ikiwa ni pamoja na hilo alilolifanya la kufunga ndoa
Aisee!Kubenea njoo chukua picha hizi ukauzie kipeperushi chako cha Mwanahalisi
![]()
![]()