Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Hongera sana Dr salaa, maana huku ughaibuni na hasa wazungu huwezi kusikia wanaoana kanisani! ni kuishi kama partners tu, ndoa za hivi zimebaki Afrika tu
 
Aliposimamisha jiji mbona hapaonekani,kweli badhunguu washangae ndoa ya mswahila,unatania wewe
 
What's the big deal?

Watu wameamua maisha yao kwa faida yao na watoto wao.

Stop poking your nose into their family affairs.
Enzi zetu tukiwa secondary kila weekend tulikuwa tunapanga foleni pale kisutu ili kupata service na uzoefu, sijui Padri wetu alisomea wapi!
 
Mungu ana makusudi sana hili zee tungelipa urais 2010 lingeuza nchii.. Kaukana upadri kaiba mke wa mtu na kafunga naye ndoa bila aibu.. Duuu zee limeshikwa masikio hili sijawai kuona
....i concur with you....zee limekamatwa haswa...btw ....kuna watu wanajipambanua kumtetea huyu mzee humu...wanasahau kuwa huyu alikuwa public figure hapa TZ....in fact huyu aligombea hata urais hapa TZ...sasa hao wanaopinga yeye kujadiliwa wao ndio wana yao....Aibu yake ndio imemkimbiza kufungia ndoa nje ya nchi...
 
Duh ushabiki mwingine unataka moyo kasimamisha miji yote kisa ndoa yao haya bwana tunamtakia ndoa nje si ya kufungiwa nje.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa Hatimate Dk Slaa alifunga ndoa na mchumba wake wa mda mrefu Josephine Mshumbusi na kufanya nchi ya Canada kusimama kwa masaa kadha ambapo vifijo na nderemo vilisikika toka miji tofauti Montreal, Calgary na kushambaa hadi Toronto na ottawa ya nchi.
Katika harusi iyo raisi wa mioyo dk slaa alivalia suti moja matata ya rangi nyeusi na shati ya blue uku bibie first lady wa mioyo wa Tanzania alivaa gauni moja matata la rangi la blue ilioivaa na mda wote walikuwa wanatoa tabasamu murua.
Heko kwa dk slaa na Josephine muwe na maisha marefu na ndoa yenye furaha
60d71b38bb522ae8d56c19461d3ef862.jpg
Hawana furaha kwenye nyuso zao dhamira zao zinawahukumu
 
HONGERA sana Dr. Slaa na Mama Mshumbuzi kwa kufanikisha matamanio yenu. Jamani hakuna mkamilifu duniani tusimlaumu bali tuwapongeze. Lakini wosia wangu atunze watoto wake wote.
 
jamani hizi smartphone zimeingia kwelikweili sijui na mm ninavyojiremba hapo wameshanismatisha
na kuniwasapusha
 
Duuuh mushumbusi kanywa maji mengi mpka kawa mzungu ila mikono ndio imebaki ya kiafrika...aongeze kunywa maji ndoo 2 kwa cku
 
Hongera zao,

Ila naomba picha za waliosimama hapo Canada kisa harusi ya Dr. Mihogo
 
Nasubiria kile kijigazeti cha makanjanja na half-schooled columnists kitakavyokuwa kinaandika majungu na umbea toleo lijalo.Hii kwao ndio story ya kuuzia Gazeti
 
ulaya kama mkimbizi lazima atafute makaratasi ya kuishi kiumimbizi.


swissme
 
Hahaha lazima kaandike kamepata kiki.
Nasubiria kile kijigazeti cha makanjanja na half-schooled columnists kitakavyokuwa kinaandika majungu na umbea toleo lijalo.Hii kwao ndio story ya kuuzia Gazeti
 
Back
Top Bottom