Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,660
Hahahahahaha inaelekea maji yamemkubali juu bado chini.Duuuh mushumbusi kanywa maji mengi mpka kawa mzungu ila mikono ndio imebaki ya kiafrika...aongeze kunywa maji ndoo 2 kwa cku
Hahahahahaha inaelekea maji yamemkubali juu bado chini.Duuuh mushumbusi kanywa maji mengi mpka kawa mzungu ila mikono ndio imebaki ya kiafrika...aongeze kunywa maji ndoo 2 kwa cku
kale ka uhuru sio???Nasubiria kile kijigazeti cha makanjanja na half-schooled columnists kitakavyokuwa kinaandika majungu na umbea toleo lijalo.Hii kwao ndio story ya kuuzia Gazeti
YamedundaHahahahahaha inaelekea maji yamemkubali juu bado chini.
Naona umejitokeza kumtetea dr mihogo,sijui kama bado anazo leo ungeambulia buku7NI WAPI MUNGU AMEWEKA NADHIRI YA UPADRI KWENYE BIBLIA? KUACHA UPADRI NA KUOA NI UAMUZI BINAFSI, MAHUSIANO YA DR. SLAA NA MUNGU NI YAKE BINAFSI. ASIHUKUMIWE NA WATU.
Dr mihogo alifukuzwa na mushumbusi na kulala kwenye gari,hii ni aibu ya mwakakuna wengi wanaomponda lakini kiukweli wengine hata ndoa hawajafunga,wengine wamefunga lakini ndoa zao zina matatizo kibao wengine wako kwa wazazi ambao ndo zao zina matatizo kabla ujamshambulia mwenzako jiangalie na wewe
Mimi sio wa Buku 7, take time to read my comments, Am Independent. Acheni kuingilia maisha ya watu kwa siasa uchwala.Naona umejitokeza kumtetea dr mihogo,sijui kama bado anazo leo ungeambulia buku7
Wedding in exile away from your beloved country, ancestors, friends foes and relatives. . . something is very wrong somewhereNaona umejitokeza kumtetea dr mihogo,sijui kama bado anazo leo ungeambulia buku7
Mkuu umenikumbusha kifo na mazishi ya dr gavana wetuWedding in exile away from your beloved country, ancestors, friends foes and relatives. . . something is very wrong somewhere
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, kachukue angalau buku 3 kwa mwakyembeMimi sio wa Buku 7, take time to read my comments, Am Independent. Acheni kuingilia maisha ya watu kwa siasa uchwala.
Nadhani huyu mtu hakufa bali alipaaMkuu umenikumbusha kifo na mazishi ya dr gavana wetu
Kama unataka kuolewa si useme tu, au uliachwa na mmeo? Acha kuongea kunyume nyume.Unafaa kuwa mke wa pili wa Dr Slaa....
Waliniwacha hoi waliposema kuwa hata familia yake haitakiwi kwenda kushuhudia mwili wa ndugu yaoNadhani huyu mtu hakufa bali alipaa
OMG hata familia...! Halafu likaandaliwa lile kaburi bandia...kuna siku huyu mtu atarejea au la ukweli utajulikana hakuna siri ya mileleWaliniwacha hoi waliposema kuwa hata familia yake haitakiwi kwenda kushuhudia mwili wa ndugu yao
Alikuwa mke wa mtu wakati silaa akiwa Chadema lakini baada ya usaliti na kutumika kama dodoki pale hotelini analindwa tena yupo juu ya sheria hashikiki.N;B hiyo picha hapo juu mbona sioni dalili ya pete kwa mwali au macho yangu?Mkatoliki tena padre ameruhusiwa kufunga ndoa Na Mke wa MTU? Au Dr. Alibadili dini amefunga ya kiisilamu?
Kweli mkuu hapo ndio watawala watatamani dunia ibadiishe mzunguko wake,yaani usiku uwe mchana na mchana uwe usikuOMG hata familia...! Halafu likaandaliwa lile kaburi bandia...kuna siku huyu mtu atarejea au la ukweli utajulikana hakuna siri ya milele
Alikuwa mke wa mtu wakati silaa akiwa Chadema lakini baada ya usaliti na kutumika kama dodoki pale hotelini analindwa tena yupo juu ya sheria hashikiki.N;B hiyo picha hapo juu mbona sioni dalili ya pete kwa mwali au macho yangu?Mkatoliki tena padre ameruhusiwa kufunga ndoa Na Mke wa MTU? Au Dr. Alibadili dini amefunga ya kiisilamu?