Hahahaah nenda mkuu kuna mambo adimu huko.Natamani kuoa bukoba haiwezekani yaekekea kuna mambo, mazito huko!si bure mpaka mwanakondoo avurugikiwe!/
******Hahahaah nenda mkuu kuna mambo adimu huko.
Jiko jipya? Asante kwa kumdanganya mzeeWa Bongo mmepiga figisuu wee, sasa Mzee kaibukia ughaibuni tuone sasa kama mtatengua ngoma iliyofungwa mbinguni na duniani.
Hongera DR.Slaa kupata jiko jipya - Bongo lini?
Vipi mkuu unamaanisha mama koku kapiga mkorogo!? Mimi nadhani kanywa maji mengi tu kama Ray!
Hahahaaah.......ni balaa******
mwanakondoo badala ya kulia bah bah bah, badala yake analia mee mee mee hatari sana! mpaka rose kamili ali- sign off.
Huku mlizidi kuwawekea figisufigisu..!!Jamani kwanini msaliti wa upinzani kafungia ndoa ughaibuni?
Malizia mkuu..... Wafadhili vigogo wa CCM...Ndoa Canada,deni la nyumba kwa hisani ya wafadhili.
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Vipi mkuu unamaanisha mama koku kapiga mkorogo!? Mimi nadhani kanywa maji mengi tu kama Ray!
Tuombe administrators kuuhamishia uzi celebrity forum. Vinginevyo utaendelewa kuchangiwa kisiasa.Mzee kaondoka kwenye siasa lakini siasa bado inamuandamisha, leo hii vijana badala ya kumpongeza wanamtolea maneno ya kashfa kisa aliamua kujitoa kwenye siasa za kishenzi. Ndugu zangu,tumpongeze Mzee Slaa na tumuombee maisha mema ya ndoa.
unajua ya Tundu lissu na mkewe hayasemekiDr mihogo alifukuzwa na mushumbusi na kulala kwenye gari,hii ni aibu ya mwaka
Huyu Mama ni Lewinsky wa TZ aisee, sijui alimwambia nini alivyouza nyumba kwa mkopo kwa Equity BankGiant men wengi ni victim wa kuangushwa na wanawake.angalia
Samson na Delila
Daudi na Berthsheba
Solomon na wanawake wake (Queen of Sheba nk)
Adam na Eva
Clinton na Monica Lewisky ....
udhaifu mkubwa wa mwanaume upo kwenye sehemu zake za siri I guess...
Inapofikia hatua ya wananchi kushindwa kutenganisha ushabiki wa soccer na Ushabiki wa Siasa basi ujue "brainwashing is on point! " Hivi mtu mzima na akili zako unashindwaje kutofautisha maisha binafsi na Siasa?!
Besides Doctor Slaa kalifanyia mengi Taifa, mbali na makosa yake na madhaifu yake bado anastaili heshima kama binaadam yeyote yule bila kujali itikadi za Kisiasa, kiimani na wala kikabila!
**Siku watanzania tukijifunza kuheshimiana na kuheshimu mipaka baina ya utu wetu, undani wetu na utendaji wetu ndio siku tutakayopiga hatua mbele kutoka hapa tulipo ila kwa sasa "Sifa za pekee ziwaendee wale wanasiasa (sio wote) waliofanikisha Zoezi la DIVIDE & RULE (aka ABUSE)!!" mmefanikiwa sana kuhakikisha nchi haiongozwi unless FITNA & UZANDIKI vishike hatamu!
**Hongera sana wanandoa!