Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Huyu Mzee anakula Bata Uzeeni....... Hongera sana kamanda aliyejiuzulu...
 
Ni mwanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa(Political Maturity) atakayemshambulia Dr.Slaa kipindi hiki au kumtakia mabaya.

Nje ya Siasa kuna maisha.Hizo nadiriki kuziita ni siasa za kipumbavu kabisa kabisa

Hakuna Mwanasiasa aliyeenda shule anyeweza kufikiria kutengeneza uadui wa namna hiyo ikiwa mwanasiasa huyo anajitambua na anajua potentials zake au kama yupo real kwa ajili ya utumishi wa watu.

Kuna comments za chuki nimezisoma,sidhani hao wanaofanya hivyo kama ni wanasiasa kweli.Comments hizo pamoja na kwamba naheshimu maoni ya watu lakini nyingine ziko ranked katika level ya takataka.Comment zozote za chuki dhidi ya mtu na maisha yake ambayo has nothing to do with you ,Kwangu mimi ni Takataka tupu.
Aisome Mmawia
 
katika saikolojia tunasema kwamba mtu unapomzungumzia adui wako kila mara ina mana kwamba bado ana thamani katika maisha ndio maana hata ulipogombana nae umeshindwa kujizuia kuishi pasipo kukzungumzia

pia tunasema kwamba kila unapo mzungumzia adui yako ndivyo unavyo zidi kushuka chini kimawazo maana utakuwa hautoi mawazo ya kusaidia Taifa utakuwa kila mara unatengeneza bomu la kumuangamiza.

Unavyomzungumzia sana adui yako ndivyo unavyozidi kumpa kick na kuutesa moyo wako pale anapogundua kwamba nusu ya maisha yako yanachunguza maisha yake so atakuwa anafnya kila jambo ambalo anaona litakuwa negative au litakufanya ucoment kwa kila jambo analolifanya

Ulishawahi kujiuliza kwanini Tanzania Wanaume na Wanawake wengi wakiwa wapenzi halafu waka-break up wengi huombeana mabaya?

Comments nyingi katika thread hii zina-reflect tabia za watu ku-handle break ups na jinsi ya ku-move on!

Inaogofya!
 
Hapa nimegundua vitu viwili siasa na maisha binafsi yamtu,watu lazima tuelewe kwamba kila binadamu anayo haki ya kufanya kitu chochote kile pasipo kuvunja sheria ya nchi. Dr slaa ametimiza ekaristi takatifu(imani za kiroma) katika dini.
Siasa;watu hili suala la Dr Slaa kufunga ndoa limewagusa watu wengi,ikumbukwe kwamba Dr Slaa alikuwa kada wa CHADEMA na jinsi alivyotoka paleCHADEMA makada wa CHADEMA hawakufurahishwa japo sio wote. So makada hao wamejenga package kwenye mioyo yao ambapo inapelekea lolote atakalo fanya DR halitakuwa positive hata likiwa jambo lenye manufaa kwa Taifa.

MAISHA BINAFSI; hili ndilo tatizo la siasa ugomvi wake hauishi kirahisi yaani kuna long-term course na short-term course,CHADEMA wana long-term course maana tangu last year haya matatizo hayaishi kuhusu Dr Slaa. Lazima watu tuelewe kwamba sio kila muda mtu utazungumzia siasa kuna muda mwingine mtu utafanya mambo yako binafsi,ikiwa ni pamoja na hilo alilolifanya la kufunga ndoa
Yeye ni mtu popular kumtakia excuses ili watu wasimseme haitosaidia.

Ameleta impact kubwa sana katika maisha ya watu na jamii kwa ujumla, iwe positive ama negative..

Watu watasema tu. Hata kama sio kisiasa...
 
Hilo kanisa sio la Chung moon Jung kweli? The unification church ambalo ASKOFU Millingo nae alifunga ndoa na mkorea mwaka uleeee? Maana naona wapambe ni wakorea/wachina!
Ze Dk kapigwa roba la hatari
 
Kuna bendera nyingine hazina rangi nyingi....tafuta mfano mwingine....[emoji6]
Nazungumzia bendera ya Tanzania wewe kiroboto.
huyu mke wa bwana wako ni mweupe usoni tu! Huku mikononi na kwingineko ni mweusi kama mkaa!
 
......alieuacha upadri.....akavunja nadhiri ya upadri wake aliowekewa mikono na mapadri......akashindwa kuuvumilia upadri.....akafanya unyanganyi ....hatimaye ....akaoa......mungu amsimamie.....!?
Toa kwanza boriti lililo jichoni kwako ndio utoe kibanzi cha Dr. Slaa sawasawa Crocodiletooth?!?!?!
 
[QUOTE"NapigaNgumi, post: 15463881, member: 292623"]limama limejihakikishia mali za slaa. masikini watoto? sema tu mama yao ni mbunge.[/QUOTE]
Dr ni maliyoo kama haujui
 
Kikristo inaruhusiwa hii?
NDIYO. Upadre ni choice. Mtu haziliwi nao. Ana haki ya kuuacha muda wowote ule kama alivyoupata.Priesthood is an office. Not an inborn status. It is aquired. And it can likewise be terminated.
 
Back
Top Bottom