Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Ni aibu juu yangu kusimulia kisa hiki lakini ni uso wa Mwanamke mzuri ndio ulioniangusha(Umsplopagaaz na Inkoskazi Mke wa Mfalme) By Rider Haggard.
 
Kuhusu Talaka: "Aliyemwacha mkewe na kuchukua mwanamke mwingine huyo azini na mwanamke pia aliyeolewa na huyo mume wa mtu yuu azini" - Yesu Kristu Mungu Kweli na Mtu Kweli.
NB: siyo nakili ya neno kwa neno.
 
Mkatoliki tena padre ameruhusiwa kufunga ndoa Na Mke wa MTU? Au Dr. Alibadili dini amefunga ya kiisilamu?

Nahisi ndio maana ameenda uzunguni. Angekuwa bongo angeenda bomani. Kanisa lisingekubali
 
Ahaaa ht mi mkatoliki! Kufunga ndoa katoliki haimaanishi ni takatifu, ht madhehebu mengine yana ndoa takatifu!

Hoja yangu ni kuwa ndoa takatifu ni ile ambayo ni mpango wa Mungu, Kwahiyo unaweza ukafunga ndoa popote iwe katoliki au popote na isiwe mpango wa Mungu! Nina mifano kibao ambao walienda kwa waganga na wakafunga ndoa madhabahuni katoliki nk. Huwezi kuniambia ni mpango wa Mungu huo, au ni ndoa takatifu hiyo!!

Utakatifu wa ndoa hauletwi na dini /dhehebu Bali na Mungu /Yesu mwenyewe....

Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe..... Unfortunately nyingine zimeunganishwa na wanadamu sio Mungu.
Nina uhakika 99% wewew si Mkatoliki! Utakuwa wale wa injili sukari wewe!
 
Mkatoliki tena padre ameruhusiwa kufunga ndoa Na Mke wa MTU? Au Dr. Alibadili dini amefunga ya kiisilamu?
Dini ya Kiislaam haiendekezi upumbavu na ndio maana kuna Talaka ! ..... upumbavu upo huko Ugalatiani, hammjielewi hamjitambui ! mwembemdogo
 
......alieuacha upadri.....akavunja nadhiri ya upadri wake aliowekewa mikono na mapadri......akashindwa kuuvumilia upadri.....akafanya unyanganyi ....hatimaye ....akaoa......mungu amsimamie.....!?
Papa Benedict alisema Ukiristo ni dini ya kupanga !
 
Giant men wengi ni victim wa kuangushwa na wanawake.angalia
Samson na Delila
Daudi na Berthsheba
Solomon na wanawake wake (Queen of Sheba nk)
Adam na Eva
Clinton na Monica Lewisky ....
udhaifu mkubwa wa mwanaume upo kwenye sehemu zake za siri I guess...
Mugabe and beauty.JPG
 
Mkatoliki tena padre ameruhusiwa kufunga ndoa Na Mke wa MTU? Au Dr. Alibadili dini amefunga ya kiisilamu?[/QUOTE]

Hapo kwenye wekundu nadhani hakuna ukweli, sababu Waislamu HAWARUHUSU kufungisha ndoa na mke wa mtu. Waislamu ni Dini yenye maadili mema. Sijawasikia wakiozesha wake ambao walishaolewa.
 
......alieuacha upadri.....akavunja nadhiri ya upadri wake aliowekewa mikono na mapadri......akashindwa kuuvumilia upadri.....akafanya unyanganyi ....hatimaye ....akaoa......mungu amsimamie.....!?
Yani kwa maelezo yako nimejifunza kitu, Nimegundua huyu baba hapendi UNAFIKI si mbele ya Mungu wala Binadamu Mungu Amsimamie naungana na wewe, Mana kuna watu mpaka kesho ni Mapadre lakin wanazini na wamezaa hizo kesi ziko nyingi tumeshazisikia, Kuliko kuwa Mnafiki na Muongo mbele ya kondoo na mungu wako, ni vyema kuweka wazi kuwa kama binadamu nimeshindwa nataka maisha hayo Salute Dr. Slaa hata baba yako Adam alishindwa nae akakosea, wewe hukutaka kushindwa halafu umsingizie shetani,

Na alienyanganywa alikwenda Mahakamani kwanini dr. hakuchukuliwa hatua?? kuna kuoana na kuachana imeruhusiwa, na kuolewa tena na tena imeruhusiwa. Mna chuki binafsi. Ishi utakavyo baba na sivyo watakavyo.
 
limama limejihakikishia mali za slaa. masikini watoto? sema tu mama yao ni mbunge.
hahahaaaa kwa mawazo haya hautaoa wewe....maisha tunapita ndugu hakuna atakaye enjoy mali za dunia maisha yote
 
Never please anyone at your own detriment.Simple!

Kwa mtu asiyejitambua ndiye anayeweza kuyumbishwa tu.

Kuna watu hapa wanatoa comments utadhani wao wanaufahamu Ukatoliki kuliko aliyekuwa Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC)

Wanajifanya wanajua Dini na sheria zake kuliko Ph.D Holder wa Canon Law

Yet wao hata Bible Knowledge,Islamic Kwa Form Four au Divinity kwa Form Six hawajawahi kupata hata daraja C ziwaongezee Credit za daraja la ufaulu
Kuufahamu ukatoliki ni Jambo mmoja na kuuishi ukatoliki ni Jambo jingine, kuwa katibu wa Baraza la maaskofu haifanyi mtu awe mkatoliki bora kuliko wengine, mteteeni lakini ongeeni vitu vya maana sio hizi bla bla
 
Tatizo kwetu waafrika Dini imegeuka kuwa uchawi mbaya kuliko hata uchawi wenyewe.Na wewe inawezekana ni victim
 
Mungu ana makusudi sana hili zee tungelipa urais 2010 lingeuza nchii.. Kaukana upadri kaiba mke wa mtu na kafunga naye ndoa bila aibu.. Duuu zee limeshikwa masikio hili sijawai kuona
 
Mungu amtangulie Aoe ajiepushe na dhambi kongwe ya Zinaa!
 
Ahaaa ht mi mkatoliki! Kufunga ndoa katoliki haimaanishi ni takatifu, ht madhehebu mengine yana ndoa takatifu!

Hoja yangu ni kuwa ndoa takatifu ni ile ambayo ni mpango wa Mungu, Kwahiyo unaweza ukafunga ndoa popote iwe katoliki au popote na isiwe mpango wa Mungu! Nina mifano kibao ambao walienda kwa waganga na wakafunga ndoa madhabahuni katoliki nk. Huwezi kuniambia ni mpango wa Mungu huo, au ni ndoa takatifu hiyo!!

Utakatifu wa ndoa hauletwi na dini /dhehebu Bali na Mungu /Yesu mwenyewe....

Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe..... Unfortunately nyingine zimeunganishwa na wanadamu sio Mungu.

MUNGU/YESU"". NDO NINI ,
SIJAELEWA MTUMISHI
 
Aliposimamisha jiji mbona hapoenekani,kweli badhunguu washangae ndoa ya mswahila,unatania wewe
 
Back
Top Bottom